Sasa wewe umeharibu, umezitoa hizo karoti kabla hazijazaa, zilikuwa zikiendelea na mchakato wa kutaka kuzaa karoti zaidi. Ona sas, umejipunja wewe mwenyewe, umejipunguzia mavuno, siku nyingine fukua,chungulia ukiona karoti zako zko katika mchakato huo fukia haraka ili ziendelee kuzaliana. Asante sana kwa kuwa na karoti za kibibi na bwana.