:hatari: Duh! kweli kifo hakikimbiwi! :hatari:Kifo alimwendea kijana nakumwambia ''leo ni siku yako''Kijana akajibu ''sipo tayari''kifo akamwambia tena ''ila jina lako ndo linalofuata kwenye list yangu''Kijana akamjibu kifo ''kwanini usikae chini nikupe chakula ule kwanza?''kifo akajibu apewe huo msosi.Kijana akampa chakula ambayo amechanganyia na dawa za usingizi,kifo alipokula akajikuta amelala,kijana akachukua karatasi yenye majina na kulifuta jina lako mwanzoni na kuliweka mwisho...kifo alipoamka akamwambia kijana,''kwa ukarimu ulionifanyia nitaanza na mtu wa mwisho kwenye list kuja juu''.. mh kijana akaanza kujikojolea.
hahaaaaaaaaaaaaaaaaaa u made ma day boyKifo alimwendea kijana nakumwambia ''leo ni siku yako''Kijana akajibu ''sipo tayari''kifo akamwambia tena ''ila jina lako ndo linalofuata kwenye list yangu''Kijana akamjibu kifo ''kwanini usikae chini nikupe chakula ule kwanza?''kifo akajibu apewe huo msosi.Kijana akampa chakula ambayo amechanganyia na dawa za usingizi,kifo alipokula akajikuta amelala,kijana akachukua karatasi yenye majina na kulifuta jina lako mwanzoni na kuliweka mwisho...kifo alipoamka akamwambia kijana,''kwa ukarimu ulionifanyia nitaanza na mtu wa mwisho kwenye list kuja juu''.. mh kijana akaanza kujikojolea.
dah mkuu usikukute,kimya kingi sana mkuu
dah mkuu mi huwa naingia mida ya usiku ila makaratasi yananifanya niwe bize kupitiliza
kweli mkuu si unajua tena lazima utafute unga wa watoto,nikiharibu dah ni mazima