Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,285
- 108,304
"Appendicitis" ni tatizo ambalo si ajabu kuwakumba wamama wajawazito.
Uzuri ni kwamba kwa umri wa mimba yako bado kuna nafasi ya kufanyiwa upasuaji salama.
Jaribu kukutana na wataalam wa upasuaji pamoja na wale waliobobea kwenye afya za kina mama.