Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Yaani acha tu, ni raha iso kifani, unajihisi dunia nyingine kabisaaaa, daaah mapenzi matamu ukipenda unapopendwa.
Teh nyie mapenzi haya mwee. Ishawahi kukukuta mtu kakukaa moyoni na mdomoni kiasi kwamba unajikuta tu mtu wa mbele yako unamuita jina la baby "pauloo" ( mfano tu)
Au ile Unawaza ngoja nimpigie, Unashangaa unanyanyua tu simu na yeye huyo anakupigia teh. Khaa yani kuna muda unahisi wewe ndo mwenye furaha dunia nzima, wenzio hawana teh
Kumbe wewe mkali ukichokozwa.Aisee nimechekaaa mpaka bas
Haya Bibi Bomba Endelea kuwinda Marioo wasiojitambua hapa MMU,ngoja niwashe mchuma niende site kuangalia Mafundi.
Khaa si mfano tu huo jamani au unadhani nimekumiss? [emoji12] [emoji12] [emoji12]Haha thank you. What can a brother say? I got it good.
Of course ni mfano tu. No need to stress kuwa umeni-miss. [emoji41]Khaa si mfano tu huo jamani au unadhani nimekumiss? [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Hahahaaaaa! Unaweza kuta mie ndio natoa ati! Wonders never seize ujue, chezea kukamatika!
Ha ha ha nkua namuelekeza huyo dada poa
Am playing solo...
Teh nyie mapenzi haya mwee. Ishawahi kukukuta mtu kakukaa moyoni na mdomoni kiasi kwamba unajikuta tu mtu wa mbele yako unamuita jina la baby "pauloo" ( mfano tu)
Au ile Unawaza ngoja nimpigie, Unashangaa unanyanyua tu simu na yeye huyo anakupigia teh. Khaa yani kuna muda unahisi wewe ndo mwenye furaha dunia nzima, wenzio hawana teh
Ukamatike bila hela? Thubutuuuuu
Mkuu ukiona hivyo ujue mhusika/Wahusika waliruka stage hiyo ktk Maisha yao.Kabisa sio wewe tu ni stage kila mtu atapitia/alipitia,kinachonishangaza mibibi bomba Kama kina Evelyn Salt ina wajukuu bado wana akili za watoto wa 20s wakati washafika hadi Menopause,kwa Mtoto kuandika Hiyo post haushangai kabisa.
Hapo itabidi ajitetee kwa magufuli na kwa bby alikuwa wapi lol
Haliwazalo Mjinga ndio linalomtokoea Hongera Sana kwa kukalia mijiti...Nadhani Mijiti ndio inayokuweka mjini.
Me more do the needfulmiss you!