Hii ni siku ambayo sitakaa niiisahau akmwe. Ni Siku Ambayo Dr. W. P Slaa aliiadhibu Vikali CCM pale Mwembe Yanga, Ni Adhabu ambayo mpaka leo CCM bado wanaendelea kuitumikia. Ni Adhabu ambayo Imeziua kile Kilichitwa " Kujivua Gamba kwa Maslahi ya Chama".

Ni siku ambayo kwa mara ya Kwanza Dr. Slaa aliwafanya Wananchi waichukie CCM na ndio maana Dr. Slaa amekuwa adui namba Moja kwa CCM na makada wake ambao kila wakipata Fursa lazima Wamtaje lakini ni Siku ambayo Dr. Slaa alikuwa Kipenzi Kikubwa cha wananchi wa Tanzania.

Najua Dr. Slaa yuko busy na Kampeni ila naomba akipata nafasi achangie japo Maneno juu ya hii siku na nini CHADEMA wanapanga kufanya katika siku ya Leo.
alifanya nini dr slaa?
dah!!kweli bwana,hii ni sec uhuru kwa watanzania tunaolitakia MEMA taifa letu na watu wake,thanx mkuu kwa kuni apdateHii ni siku ambayo sitakaa niiisahau akmwe. Ni Siku Ambayo Dr. W. P Slaa aliiadhibu Vikali CCM pale Mwembe Yanga, Ni Adhabu ambayo mpaka leo CCM bado wanaendelea kuitumikia. Ni Adhabu ambayo Imeziua kile Kilichitwa " Kujivua Gamba kwa Maslahi ya Chama".
Ni siku ambayo kwa mara ya Kwanza Dr. Slaa aliwafanya Wananchi waichukie CCM na ndio maana Dr. Slaa amekuwa adui namba Moja kwa CCM na makada wake ambao kila wakipata Fursa lazima Wamtaje lakini ni Siku ambayo Dr. Slaa alikuwa Kipenzi Kikubwa cha wananchi wa Tanzania.
Najua Dr. Slaa yuko busy na Kampeni ila naomba akipata nafasi achangie japo Maneno juu ya hii siku na nini CHADEMA wanapanga kufanya katika siku ya Leo.

alifanya nini dr slaa?
hatari tena mkuu.Hatari kweli kweli
mleta mada ungeweka hata kido aliyoyasema dr slaa au hiyo list na wale aliowaongeza..
Asante kwa kunikumbusha.ngoja nikasherehekee.