Miller James

New Member
Joined
Aug 1, 2018
Posts
4
Reaction score
1
Habari wakuu, naomba kujua, nimelipia 8800 kwenye iflix ambayo ni gharama ya kujiunga kwa mwezi, sasa cha ajabu kila nikiingia data zangu za kawaida zinaisha, kwa anaejua anisaidie,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo umelipia Huduma ya hiyo program hatua itakayofuatia ni ununue unlimited bundle uenjoy hiyo huduma yako uliyolipia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…