VoiceOfReason
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,194
- 1,375
MY TAKE...
- Desire to be independent.
- Getting attracted to another person.
- Infidelity.
- Physical incompatibility.
- Less attracted to the person in a sexual way.
- Lack of proper body maintenance, like becoming too fat.
- Conflict in tastes and desires.
- Continuous nagging.
- Comparing the man or woman to others constantly
- Imparting unsolicited advice all the time
- Addiction to alcohol or drugs
- Deterioration in the health of one spouse or suffering from incurable ailments like HIV
- Physical and mental abuse and exhibiting sadistic tendencies
- Ignoring or showing disrespect to friends and relatives of one spouse
- Impotency or inability to bear children.
Mengi hapo juu tunaweza kuyavumilia ...... UVIMILIVU..., thats all needed in Relationship..., Je mnadhani among the above ni kipi hakivumiliki?
Mkuu ukame wa mshiko(pesa) unaweza kuwa sababu pia?
Siwezi kuvumilia infidelity jamani.
Mambo!
number 4,7,13,14 :A S-fire1: yanakera kulikoni na wengi wanaachana kwa vile ya hayo. Magojwa, malalamiko na mengineyo yanahusisa sana husiano wa wapenzi kuvumiliana.
Je kuachwa??, au ni kipi ambacho mwenzako leo akikileta utamuonesha mlango....,Jamani kwa kua sina experience ya kuacha sina neno katika hili...ngoja nizeeke zeeke kwanza!
kwahiyo mtu akiwa muaminifu hayo yote mengine hakuna neno....? mi nadhani physical and mental abuse ni mbaya zaidi..., je vipi kuhusu kumpenda mwingine au wewe moyo wako ukashapenda hauwezi kuacha ?, Does this mean kwamba wewe utakuwa faithfully wakati wote?
Nielekeze kwenu nilete posa....🙂uaminifu wa mtu huweza kuvunjika jambo la 2, 5 na hata la 9. Matokeo ya infidelity inaweza kuwa 12,13 na 14. Kwa hiyo uaminifu pekee. haujajitosheleza hapo.
Kuhusu kumpenda mwingine ni kwamba moyo wangu ukipenda huwa unaridhika na nikipenda nimependa na siwezi kuacha labda kama itanilazimu kuacha kutokana na sababu ulizotaja.
Mwisho, sijui kama naweza kuwa faithfull siku zote kwa sababu sa nyingine mpenzi wako anaweza akafanya na wewe usiwe faithfull kutokana na tabia/matendo yake.
Nielekeze kwenu nilete posa....🙂
All in all kwa maoni yangu kujua/gundua chanzo cha tatizo kunarahishisha maamuzi ya je mtu anaweza kuvumilia au la!!!
ha ha ha ha!
Tatizo kwetu mbagaraaaaaaaaa
mmh.. sasa hizi ndizo mada zinahusiana na mahusiano ya ukweli siyo "nilimchungulia jirani akioga, sikujua nifanye nini" !
Kizuri ni Kizuri tu hata kiwe wapi, Sometimes Roses zinaweza kuwa kichakani lakini kwa uzuri wake inabidi ulifate..., na ukiliweka kwenye glass nzuri linapamba nyumba....
Uliyoongea ni ya kweli kabisa hadi nimeshindwa kukuchallenge... Lakini nadhani problem kubwa people never show their true colours mpaka umekaa nae kwa muda mrefu.. unaanza kusema mmmhhh fulani kabadilika siku hizi, kumbe ndivyo alivyo ila it was honeymoon period.
Pia Couples wengi huwa wanaingia kwenye mahusiano wakidhani kwamba wanaweza wakambadilisha mtu tabia zake, ambapo mara nyingi ni vigumu ... "A Zebra never Changes its Stripes...." so the only way out is to accept a Rose with its Thorns