14 reasons to marry or date a military man

14 reasons to marry or date a military man

Mi nawapenda hasa nikiwaona kwenye magwanda. Natamani kuolewa na mwanajeshi ila awe na cheo asiwe anaenda vitani.
 
Hamna cha mjeda wala nani, hata comando inapokuja kei anasinyaa!
Suala la ulinzi, ni imani tu kuwa wewe kama mwanamke uko na mjeda, ila mmoja mmoja wajeda nao waoga tu kama wengine, labda awe jamaa wa ngerengere na mabawa yake ila sio sababu ya katoka depo au sababu ya jezi.
Unaongea unajipinga na kujisapoti mwenyewe Dont be mad brooo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom