Annie Josh
Senior Member
- Nov 17, 2010
- 184
- 67
Marrying a military man...[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] kuna wanaozimika nao na kuna wasiotaka hata kuwaona!
Wana vituo kila kona[emoji85]
Wana vituo kila kona[emoji85]
Hahahahahaha! Mkuu umenichekesha Sana. Sijui hata umewaza nnJibu Swali Mama HOW SERIOUS YOUR.
Sema MINE SERIOUS VERY.
Naona Kashindwa Kujibu....Hahahahahaha! Mkuu umenichekesha Sana. Sijui hata umewaza nn
Ukaamua kumsaidia. Ila we noumaNaona Kashindwa Kujibu....
Samahani wewe ndio wewe kwenye hiyo picha au ya mpwa wako[emoji6]Ukaamua kumsaidia. Ila we nouma
Game zao hupendi?? Au hujawahi kuwa Na mjeshi??Mi napenda tu magwanda yao baas
Sijawahi, hawajawahi kunitamanisha...Game zao hupendi?? Au hujawahi kuwa Na mjeshi??
Konda WA Boda boda vipi Aisee?Cc:MAKANYA jr, Nje ya Mada.
Ya sista wangu. Kwani vipi?Samahani wewe ndio wewe kwenye hiyo picha au ya mpwa wako[emoji6]
sipendiTry kujibu
Mdada mambozwanaume wanajeshi watamu sana tatizo tu wamezoea kucommand all the time.
mdada mambo????Mdada mamboz
Vip upande wa uaminifu mkuu wanao au sharing kama kawa.napenda pumzi....ukidate mjeda malalamiko ooh chips yai oooh mdaresalama hakunaga
kushea ni kote tu ndugu yangu....hii ni hulka ya mtu binafsi haihusiani na kaziVip upande wa uaminifu mkuu wanao au sharing kama kawa.
Asante kwa kunipa moyo. Maana na wivu too much .kushea ni kote tu ndugu yangu....hii ni hulka ya mtu binafsi haihusiani na kazi
Poa kabisamdada mambo????
Poa kabisamdada mambo????