14 reasons to marry or date a military man

Matron mmoja pale 821 nikiwa kurutu msumbufu ananipa penzi na kunionya ni bora nichepuke na askari kuliko raia,ataua

Wao wanasema wanaume maraia huwa wana inferiority complex kwa hiyo ni bora muwe wote wafunga buti,mama kapteni,baba luteni
Anhaa, ndo maana cjazionaga couple kama hizo kitaa, zaod kwenye movies tuu

Hahaha
Ila mefurahi na info hyo ya kumchepua matron
 
Jamani lugha hio, tutafsirie basi hata kwa kipare tuu
 
Kila mtu atakufa haijulakan nani ataanza . Ila askari sometimez wapo katika mazingira hatarishi sana, watakiwa kuwa ready
Sana hasa nyakati za usiku wakiwa zamu..akiludi asubui nasema asante mungu akiondoka kwenda kazini naomba mungu amlinde.

Hahaha Unaouoga sana eeeh. Ila ni sehemu ya majukumu

Watu hawajui kuwa wanalla kwa aman usiku, wanakunyw bia , kuchati na mengine meng wanafanya kwa uhuru kwa sababu tu kuna watu wanawatu wanakesha na kurisk maisha yao kulinda nchi.

Stil wanadharau kwa vyombo vya usalama. Ikitokea a day askar wote walale wataona hali ilivyo
 
Hamna cha mjeda wala nani, hata comando inapokuja kei anasinyaa!
Suala la ulinzi, ni imani tu kuwa wewe kama mwanamke uko na mjeda, ila mmoja mmoja wajeda nao waoga tu kama wengine, labda awe jamaa wa ngerengere na mabawa yake ila sio sababu ya katoka depo au sababu ya jezi.
 
Naomba mnitafsirie pale juu nichangie jamani mbona mnachangia wenyewe tu!
 
Hahaha Unaouoga sana eeeh. Ila ni sehemu ya majukumu

Watu hawajui kuwa wanalla kwa aman usiku, wanakunyw bia , kuchati na mengine meng wanafanya kwa uhuru kwa sababu tu kuna watu wanawatu wanakesha na kurisk maisha yao kulinda nchi.

Stil wanadharau kwa vyombo vya usalama. Ikitokea a day askar wote walale wataona hali ilivyo
Aisee muoga haswa. Najitahidi kuzoea ila kunamda lazima kawasiwasi kawepo.. Si unajua moyo ndo ulipolala.
 
Hahha polee ila wengine hatukai zamu

Bt majukum stil yanafanna tu
 
kazi hii niliipenda mpaka kuwa chizi....acha nitume tehama uraiani tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom