[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji3] [emoji3] [emoji3] , kiukweli ukila vizuri, ukanywa vizuri na kulala vizuri lazima tu utakua tofauti na wengine
Sent using Jamii Forums mobile app
Heeeeeh, hivi haya mamboyapo kweli? Maana huku tangibovu kwetu sijawahi shuhudiahahaha wee kalambwa lini hyo? duh !mume mkorofi eh ? sijui aisee !ah kigordoro unakijua bwana !ni mwendo wa sasambu mmechafukaaa na madela mmeapply wanja km mnaenda fukuza majini makata na mauno ful teh teh
Heeeeeh, hivi haya mamboyapo kweli? Maana huku tangibovu kwetu sijawahi shuhudia
Sent using Jamii Forums mobile app
Amina [emoji3][emoji3][emoji3]haha haleujah bwana YESU apewe sifa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimeishia kusoma tangazo la tigo tu