Shikamoo the donUsione giza dada, wala mazingaombwe. Unajua kuna vipaji vya aina nyingi duniani, enzi niko shule kibaha,mzumbe, mzumbe(chuo) , nlihisi nina kipaji cha kusoma kumbe kipaji changu ni cha bata aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
Mweeeh??? Hivi bado umepanga?kweli zipo sana tu hizo bei zake sasa mkuu mtu umepanga uwanja wa mkanada huko rumu 80000/ nanunuaje wine aghali namna hyo
Usione giza dada, wala mazingaombwe. Unajua kuna vipaji vya aina nyingi duniani, enzi niko shule kibaha,mzumbe, mzumbe(chuo) , nlihisi nina kipaji cha kusoma kumbe kipaji changu ni cha bata aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante dada, nahisi haitakua vyema kuipokea shikamoo yako japo kiumri....Shikamoo the don
Si unajua ukiwa boss hadi wazee wanakuamkia?Asante dada, nahisi haitakua vyema kuipokea shikamoo yako japo kiumri....
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes ni kuning'inia halafu ukicheck kidogo kwenye business una turnover ya dash point dash Ms unashukuruhahahahah ! kipaji cha kuning'inia '!be forwad' mkuu
Ni kweli japo umri wangu na haya mapesa ni indirect proportional, mpaka kuna muda inabidi uongeze umri au uweke nywele lowasa style kusudi tu upate japo shkamoo though face inakua inNihukumuSi unajua ukiwa boss hadi wazee wanakuamkia?
Yes ni kuning'inia halafu ukicheck kidogo kwenye business una turnover ya dash point dash Ms unashukuru
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli japo umri wangu na haya mapesa ni indirect proportional, mpaka kuna muda inabidi uongeze umri au uweke nywele lowasa style kusudi tu upate japo shkamoo though face inakua inNihukumu
Sent using Jamii Forums mobile app
View attachment 580792View attachment 580793View attachment 580794
Pole na Karibu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha, mama tequila? Ni mwendo wa Cognac Croizet Cuvée Leonie 1858 (limited stuff. Ma kvant nawaachia wakina nanyu nani sijuihahhahahahahahahh ! asalaleeee wengn tunachomwa na joto la mabat !wengne mnakula kipupwe na tequila za kutosha olaallaa
Usijali mama mimi ndiye yle wanayeniita jiwe walilokataa waashihahaha unanikumbusha maisha fulan amaizng hapo nyuma ! kwakweli dunia haipo fair kbsa jaman ! ning'inia kaka
Hahah yes pambana na hali yako ila ukikwama unasema mkuu after all, jf ni familia moja. Hii mipunga isikutishe mama, yaan huyo lucchese mwenyewe alivyo simple ukikutana nae unaweza hisi labda ni nanyupuhaaaaaaaaaaahahaahhahhaaaaaaaaaa my ribs !asante sana mkuu !ngoja nipambane tu na hali yangu
Hahah yes pambana na hali yako ila ukikwama unasema mkuu after all, jf ni familia moja. Hii mipunga isikutishe mama, yaan huyo lucchese mwenyewe alivyo simple ukikutana nae unaweza hisi labda ni nanyupu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha, mama tequila? Ni mwendo wa Cognac Croizet Cuvée Leonie 1858 (limited stuff. Ma kvant nawaachia wakina nanyu nani sijui
Sent using Jamii Forums mobile app
Kigodoro ni nini mama? Btw huyo jamaa kalambwa ban asikutishehaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahhhhhhhhh naogopa kumuita hapa !hahaa ! nina kigodoro soon nitakuomba uniassist kwakwel! teh teh !
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji3] [emoji3] [emoji3] , kiukweli ukila vizuri, ukanywa vizuri na kulala vizuri lazima tu utakua tofauti na wenginehaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa ukinywa k vant koo linakwaruza asbh hahaaaaaaaaa jaman !hizo mie nazijulia wapi mkuu !hahahha!kwakweli mume wqangu anadharaulika namna hii !ngj tujipange