DVJ
Member
- Mar 23, 2018
- 15
- 11
Usiku huu majira ya saa 1:35 hivi tumevamiwa nyumban kwa kuwa wezi walikuwa wanakomaa kuvunja gate nikapiga 112 jaman haipokelewi mpaka nikabid nipige 111 lakin bado ikawa ni tatizo mpaka tulipo piga kwa majiran ndo mmoja alikuwa na namba ya askari akawaita lakini hakutokea ila muda huo jiran ndo wametoa msaada lakini polisi mpaka mwenyekiti alipo mpigia Ocd ndo wakatokea tena baada ya tukio sasa swali langu hizi namba huwa zinatolewa za nini kama hazina msaada mpaka wanazidiwa na voda imeniuma sana siezi sahau na huko mikoa mingine ni hv embu nijuzen ili nijaze namba za askar kila sehem ntakayofika nichukue namba za askari kuliko 112 au 111 maana nimejuta.
