1080, 4K Video downloader

Kama unataka video za YouTube kwa simu, hata videoder app inadownload fresh tu tena fasta. Sasa hiyo video ya dakika 5 ina mb 961View attachment 1628899

Mkuu natumia iPhone hiyo Videoder kwenye simu yangu ni changamoto, itapendeza ukinipa mbinu kupitia pc, Nahitaji hata hiyo 1080 sawa tu.
 
Mkuu natumia iPhone hiyo Videoder kwenye simu yangu ni changamoto, itapendeza ukinipa mbinu kupitia pc, Nahitaji hata hiyo 1080 sawa tu.

chukua vidabox,ila ni kuanzia ios 13 kuendelea.

na video ni kubwa sio kawaida.
 
Tatizo jengine la TV hazipo smart kama Simu/pc hivyo ukiweka video ambayo ipo compressed hata kama ni 4k ama 1080p inakuwa haina quality nzuri.

Na ukitaka top quality video tunaongelea hadi 5GB kwa nyimbo moja, space itakuwa tatizo unless umejiandaa ku invest haswa.

Tv yako ni smart? Tofatuti na TV una simu au pc? Os gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…