masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,572
- 20,150
50???????
hizo ni orginal kweli?????????????
prove me wrong
hizo ni orginal kweli?????????????
prove me wrong
Nywele za marehemu..alafu how comes uvae nywele za mtu...ladies
Unauhakika na unachokisema? Unaamini kabisa weaving zote ni nywele za maiti kweli? Hao wahindi nao hawashonewi weaving?
Karibu tuendelee
50???????
hizo ni orginal kweli?????????????
prove me wrong
Hizo Nywele zenyewe kama zimetoka kwa mtu mwingine basi ni nywele zilizokufa aka maiti.
Uchafu mtupu.
Hizo Nywele zenyewe kama zimetoka kwa mtu mwingine basi ni nywele zilizokufa aka maiti.
Uchafu mtupu.
Wanawake kazi mnayo, hivi hamuwezi kubaki na nywele zenu za asili mkazitengeneza mpendeze? Inakuwaje unavaa kichwani minywele ambayo ht hujui huyo marehemu alikuwa na nuksi gani kwny maisha yake, Faiza Foxy mshauriane wanawake m'badilike bwana
Wanawake kazi mnayo, hivi hamuwezi kubaki na nywele zenu za asili mkazitengeneza mpendeze? Inakuwaje unavaa kichwani minywele ambayo ht hujui huyo marehemu alikuwa na nuksi gani kwny maisha yake, Faiza Foxy mshauriane wanawake m'badilike bwana
Kwani mkibaki na nywele zenu kuna shida gani? my woman will never do that
Nywele bandia
Nyusi bandia
Kope bandia
Kucha bandia
Mawowowo bandia
manyonyo bandia
Hehehehe...jamani...hamuikubali kazi ya Mungu
#Jikubalini
Huyo ni mke wako na unapaswa kumtreat unavyotaka na hasa kama na yeye atakuwa ameridhia.
Kama unaishi Dar,kwa leo nakupa ki home work kidogo sana…hebu hesabu wanawake kumi kwa kila sehemu utakayo unapita leo. Alafu niambie ni wangapi kati ya kumi wako natural na wangapi kati ya kumi wamesuka rasta au kushonea weaving. Twende kwa fact na siyo mambo ya hisia na mipasho.
Niwekee picha ya Miss Tanzania wa mwaka wowote ule hapa akiwa ameshinda hilo taji akiwa na natural hair,kipara,short hair au kasuka twende kilioni.
Karibu tuendelee
Kama utapenda tufanye mjadala wa kuelimishana kuhusu hizi nywele basi karibu sana…ila kama unataka kubishana tu basi nakupa ushindi. Ila nilipenda sana kama utapenda kujuwa biashara hii ya nywele na matumizi yake.
Karibu tuendelee
Nakubaliana na wewe 7 out of 10 hawako natural.....na nimekuonesha vitu wanavyofake...Nikakwambia;
Nywele bandia
Nyusi bandia
Kope bandia
Kucha bandia
Mawowowo bandia
manyonyo bandia
Na nikajiuliza kwa nini hawaikubali kazi ya Mungu?
Miss Tanzania si ndo wale wale tu wapuuzi wenzenu
Hiyo biashara nihaina tofauti na biashara haramu ya kuuza viungo vya watu. Ni mbaya kuliko utumwa.
Hao waouza nywele zao India mpaka zikafiika wewe kuziuza wanafanya hivyo kwa ajili ya dhiki zao, vipi dhiki ya mrtu wewe uifanye biashara?
Siwashangai wauzaji, wana dhiki nawashangaa nyinyi mnaofanya biashara hiyo na wanaozitumia, hivi hamuoni kinyaa wwala hamna ubinaadam wa kununuwa kiungo cha mtu mwingine na kukitumia kwa ajili una pesa tu au kwa ajili huna kinyaa, huoni uchafu au una maradhi yasiyotibika?
Hauna cha kunielimisha katika hilo, inabidi wewe ujielimishe:
Much of the hair on sale comes from small agents who tour villages in India, China, and eastern Europe, offering poverty-stricken women small payments to part with their hair. As one importer, based in Ukraine, told the New York Times recently: "They are not doing it for fun. Usually only people who have temporary financial difficulties in depressed regions sell their hair." More worryingly, back in 2006, the Observer reported that in India some husbands were forcing their wives into selling their hair, slum children were being tricked into having their heads shaved in exchange for toys, and in one case a gang stole a woman's hair, holding her down and cutting it off. When Victoria Beckham said in 2003 that her "extensions come from Russian prisoners, so I've got Russian cell block H on my head", she may have been joking, but it was not long until the Moscow Centre for Prison Reform admitted it was possible:
Soma zaidi: The hair trade's dirty secret | Life and style | The Guardian
Kwanza hii link yako uliyoniwekea hapa hakuna mahala popote ambapo wamesema hizi ni nywele za maiti na hata kama utaniletea link inazungumzia hizi human hair ni nywele za maiti pia sitakataa maana wapinduwaji ukweli wako wengi sana Duniani.
Kwa faida yako tu…ni hivi hawa wadada au wanawake wengi unaowaona wanashonea maweaving au wigs kwenye vichwa vyao usije ukafikiri hizo zote ni unprocessed hair kutoka India au Brazil laahasha…hizo ni nywele ambazo zinatengenezwa hapa hapa na viwanda vya Bongo kama Darling,Angel,Prima,Stella nk au Zinakuwa zimetengenezwa na viwanda vya China. Na nyingi za hizo nywele za Bongo au kutoka China zinakuwa Synthetic,Fiber,na Normal human hair tu…na hizi ndiyo wanawake wengi wa Kibongo au wa bara la Africa ndizo wanazo zimudu kuzinunuwa kwa sababu ni chipu sana. So siyo kweli kuwa weaving zote ni nywele za maiti.
Hizo nywele za maiti unazozisema wewe japo siyo kweli…hizo zinaitwa Unprocessed origina human hair na bei yake ni ghali sana!. Zinatengenezwa Brazil,Malasiya,India na Peru…Narudia tena hawa wanawake wenzio unaowaona hapa Bongo wakiwa na hizi weaving kichwani siyo nywele za maiti hizo ni nywele zinazotengenezwa na viwanda vya hapahapa Bondo na China tu. ukikutana na wanawake kumi wa kibongo wameshonewa weaving au wigs basi ni wawili au watatu tu ndiyo watakuwa na unprocessed hair kichwani…hao nane au saba waliobaki watakuwa na weaving ya synthetic,fiber au normal human hair from Bongoland au China.
Je, kanekalon ya kusukia mitindo ya Rasta nayo ni nywele ya maiti?
Nakubaliana na wewe 7 out of 10 hawako natural.....na nimekuonesha vitu wanavyofake...Nikakwambia;
Nywele bandia
Nyusi bandia
Kope bandia
Kucha bandia
Mawowowo bandia
manyonyo bandia
Na nikajiuliza kwa nini hawaikubali kazi ya Mungu?