100% Original human hair

100% Original human hair

MWENDAKULIMA,Hebu angalia hawa wadada walivyopendeza...kwanza ni wazuri by nature lakini huo urembo wa kichwani umewafanya waonekane warembo. Hizo siyo picha za kwenye google bali ni dada zako wa kibongo ambao nimekuambia uanze kutembea na fimbo kila uendapo ili ukikutananao uwe unawachapa bakora.

Karibu tuendelee
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    495.8 KB · Views: 123
  • image.jpg
    image.jpg
    450.3 KB · Views: 151
Tulia ikuingie na ikiwezekana ikatie na kiuno kabisaa

Kwanza viwanda vya nywele ambavyo vimezagaa dunia mzima na Tanzania ikiwemo vyote ni vya wanawake?

Maduka yote yanayouza artficial hair yote ni yanawake? Usiende mbali…fanya utafiti ndani ya Dar tu utapata jibu.

Wasambazaji wote wanaotoa nywele nje ya nchi na kuzileta Bongo wote ni wanawake? So iweje unishangae sisimizi kama mimi wa chini kabisa?

Wewe hauna hoja bali unavioja na ligi tu. Ukweli utabakia pale pale kuwa huwezi kumtenganisha mwanamke na urembo.
 
Akili zako zipo miguuni, kichwani umejazwa upepo.... I wish ungekielewa unachonena, maana umekosa strong point umebak unapayuka.....
Mjadala ufungwe nadhani.
 
Akili zako zipo miguuni, kichwani umejazwa upepo.... I wish ungekielewa unachonena, maana umekosa strong point umebak unapayuka.....
Mjadala ufungwe nadhani.

Ha ha haaaa mjadala ufungwe kivipi? kwani kitu ambacho nakisimamia na ninakijengea hoja wewe ukioni?

*Hivi siyo kweli wanawake waliowengi hapa Dar na mikoani wanapenda urembo wa weaving na kusuka misuko ya rasta?
*Hivi siyo kweli kuwa Mamiss Tanzania wote walioshinda taji hilo la mwanamke mzuri Tanzania wameshinda wakiwa na weaving kichwani?
*Hivi siyo kweli hatujawahi kumuona Miss world na miss Tanzania yeyote aliyeshinda hilo taji akiwa natural?
*Hivi siyo kweli kuwa viwanda vya kutengeneza nywele vipo hapa Bongo na dunia mzima kwa ujumla?
*Hivi siyo kweli kuwa kila uangaliapo filamu za kibongo na muziki wa kibongo karibu ya wanawake wote au wacheza show wote wamesuka au kushonea weaving?…jamani hapo ninaongopa kitu gani hadi useme eti nikakojoe nilale?

Haya Dream Girl naomba unijibu ili tuendelee…napenda fact na siyo blah blah
 
Okay ni hv, usemayo ni ukweli mtupu kua wanawake wanapenda urembo, ila ishu iliyoongelewa zaidi ni kua urembo wa mtu upo kwa mtu mwenyewe, kuna ulazima gan mpk ujiongeze manywele sijui makatani, makucha n.k....
Hapo ndipo uliposhindwa kuelewa ndugu yangu, hatujasema hakuna viwanda au hakuna watumiaji point ni MWANAMKE MPAKA AWE MREMBO NI LAZIMA ABANDIKE NYWELE???? kwan akichana nywele zake akasafisha kucha zake hawez kuonekana MREMBO???
 
Ni sawa na kusema mwanamke akivaa nguo fupi ndio anapendeza.... Je ni kweli????
 
Wewe endelea kuwauzia wenzako hizo nywele za bandia uendelee kuishi na wahubirie kuwa kubandika nywele za bandia juu ya nywele halisi ndiyo urembo,waambie pia wabandike kucha,kope na hata kama kuna lips za bandia waambie waweke ila watawapata wajinga wenzao.Mimi sahau

Chris Rock comedian wa America kwenye movie yake Ya GOOD HAIR 2009, ameelezea vizuri sana kuhusu nywele za badandi
I was surprised when he interviewed some Indian women who sell their hair for money - big business.
I think whatever you do - you must ensure you keep your hair as clean as possible in any format. Na kama watu wanapata faraja kwa kuweka nywele bandia good for them. Japo mimi mh hapana
 
Hahahahahahaha yani jamani wewe Mmmmmmh kazi unayo

Haya naona kwisha habari yako na mpaka hapo huna cha kunijibu. Hizo nilizokueleza na kukuuliza hapo ni fact tupu.

Nataka kukuambia kitu dada angu…achana na kitu kinachoitwa mwanamke na swala la urembo.
Mwanamke ananunuwa nywele za laki 6,anafanya hair treatment ya elfu 50,anashonewa hizo weeaving(nywele) kwa elfu 40,anafanyiwa pedicure ya elfu 30,anabandika kucha au kupaka color Gel ya elfu 50…

Baada ya kufanyiwa huduma zote hizo na kupendeza…anajongea reception na analipa bili ya laki 7 au 8 bila wasiwasi wowote. Huyo ndiyo mwanamke na huwezi kumtenganisha na Urembo.

Ukipita au kwenda pale Mwenge utawakuta wadada wamekaa chini kabisa kwenye mavumbi wanasukwa na wanawake wenzao au wakaka wa kimasai…baada ya hapo analipa elfu 50 au 70 kisha huyooo anasepa zake. Huyo ndiyo mwanamke na huwezi kumtenganisha na urembo.
 
Okay ni hv, usemayo ni ukweli mtupu kua wanawake wanapenda urembo, ila ishu iliyoongelewa zaidi ni kua urembo wa mtu upo kwa mtu mwenyewe, kuna ulazima gan mpk ujiongeze manywele sijui makatani, makucha n.k....
Hapo ndipo uliposhindwa kuelewa ndugu yangu, hatujasema hakuna viwanda au hakuna watumiaji point ni MWANAMKE MPAKA AWE MREMBO NI LAZIMA ABANDIKE NYWELE???? kwan akichana nywele zake akasafisha kucha zake hawez kuonekana MREMBO???

Hawezi kuonekana mrembo ila ataonekana mzuri…tambuwa urembo na uzuri ni vitu viwili tofauti. HUTAKI UNAACHA
 
image.jpgimage.jpgimage.jpgimage.jpgimage.jpgimage.jpg
MWENDAKULIMA na Dream Gal...Hamuwezi kuwatenganisha wanawake na urembo au usafi wa mwili. Hizi picha zinaongea maneno elfu moja. Picha kwa hisani ya Million Hairs Salon.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom