Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,897
- 6,933
- Thread starter
-
- #21
I say all of them do not apply in TZ!we still buy 'new laptop,desktop"ditch landline? not a chance!
most of these dont apply in tz.........
We all the whole world affected by western civilization. Kwa vile vifaa hivyo wao ndio wanaovitengeneza lazima vitafutiwe soko, ndio maana unaona kwao wameondoa analog TV na sisi ndani ya miaka miwili iliyofuata tumefuta mkumbo. Unaona kinachoendelea?Tuko huku 3rd world,tunaamka,tunafikiri,tunalala in a western manner,tunajidanganya.
Ungeweza kunifanyia utafiti ongezeko la watumiani wa landline phone siku hizi wakati mobile phone zimetapakaa hadi huko machungani wanakoswaga ngo'ombe?
Una point labda,ila sasa huu uzi na nchi unayoiongelea ndio tatizo au ni kwa ajili ya dunia huu uzi wako???!!!
Kama nimeelewa mawazo ya wengi walitegemea uongelee maisha ya Ipogolo, Mafisa, Ulyampiti,Bomang'ombe, Dongobesh, Mlali na wilaya,mikoa na miji ya Tanzani ila mkuu umeanzia ughaibuni huko ambako wenzetu habari ya kuchemsha maji ya kunywa ilishatoweka hata kwenye historia labda!!!!!!!
Hospitali ya Taifa haina CT scanner ya uhakika we unamuambia mwananchi aachane na cable ili kutegemea wire less!!!!!!
Yale yale ya uraia pacha!!!!!!!
Mwili Tanzania mawazo nje ya mipaka!!!!!
Half full or half empty???!!!!
Dunia ni global village, kiendeleacho upande huu wa dunia leo kesho asubuhi kitaamkia uapnde mwingine wa tufe hili. Staye tuned.
yes, lakini sio kila mwana jf anaishi tanzaniamost of these dont apply in tz.........
yes, lakini sio kila mwana jf anaishi tanzania
Mbona huko kote unakosema analog tv imeshazimwa wakati bado wanahitaji walio wengi?
Mbona huko kote unakosema analog tv imeshazimwa wakati bado wanahitaji walio wengi?
unajichanganya sasa....analog imezimwa wameleta digital[satellite/cable] ambazo kwenye thread yako tunatakiwa tuziditch tuingie kwenye internet tvs....itachukua muda kidogo
unajichanganya sasa....analog imezimwa wameleta digital[satellite/cable] ambazo kwenye thread yako tunatakiwa tuziditch tuingie kwenye internet tvs....itachukua muda kidogo
Na hiyo ndio furaha yako ili tu tufanane na waliotutangulia sio????!!!!
Haya mambo yanataka stable base ya uchumi,technology, manpower na mengine kama hayo sio kukurupuka tu kama tulivyofanya halafu unazalisha utitiri wa decoder ambazo serikali haina say on them na kuacha raia kama yatima kwenye utata mkubwa sana!!!!!!
Hao unaowaongelea wamejipanga mwanzo mwisho mifumo ipo na inafanya kazi sasa nchi kama hii ambayo umeme tu tiamajitiamaji, sms unatuma leo inafika kesho,internet slow kama nini ukitegemea hapa kwa TV taarifa ya saa nne si utaipata saa tisa alasiri achilia mbali mtngazaji wa kike aonekane babu!!!!!!?????
Logic hapa ni kwamba, kinachofanyika huko nchi zilizoendelea na nchi za ulimwengu wa pili na tatu huathirika, ndio maana analogia zimezimwa ulimwengu wa nchi za magharibi imekuja kuathiri hata nchi za kiafrika na asia kuzima analogia kwa kupisha digital. Watengenezaji wa bidhaa hizo ni nchi hizo lazima kushurutisha bidhaa zao ziwe na soko.
Kimsingi cable TV siyo digital, ni wired kama ilivyo kwa landline phone.
huko ulikotoa hii thread hata hizo digital subscribers wamepungua wanaingia kwenye internet tv,unafikiri ina apply bongo??wangapi wana proper smart tvs[sio za mchina]???wangapi wana 3g/4g internet access??kibongobongo ni ngumu
Kasi ya kuingia vitu hivyo imeanza, wengi wana hizi smartphone, android nk, hii ni dalili tosha kwamba teknolojia hiyo imeshasambaa hadi huku kwetu.
Umeona, nashukuru umewasha kurunzi na kuangaza wengine pia waone. Nililivalia njuga jambo hili kutetea analogia kwamba kwetu ni bado na ingefaa kuwapa wananchi muda pengine hata miaka mitano ijayo, nilipopolewa kwa mawe hapa hadi kuokolewa na kikose cha mwema. Basi wengine ni ile kitu cheer leaders kwa kila kitu bila kutia akili ndani kwanza.