10 things not to buy in 2014

10 things not to buy in 2014

I say all of them do not apply in TZ!we still buy 'new laptop,desktop"ditch landline? not a chance!

Digital camera zimeanza kukosa soko kwani mimi nilikuwa mtumiaji mzuri sana, lakini leo sihitaji kwa vile simu yangu ina kila kitu hadi memory kard nikisha shoot picture ni kwenda kwenye computer au projector to develop picture. Bado upo ulimwengu wa zamani?
 
Tuko huku 3rd world,tunaamka,tunafikiri,tunalala in a western manner,tunajidanganya.
We all the whole world affected by western civilization. Kwa vile vifaa hivyo wao ndio wanaovitengeneza lazima vitafutiwe soko, ndio maana unaona kwao wameondoa analog TV na sisi ndani ya miaka miwili iliyofuata tumefuta mkumbo. Unaona kinachoendelea?
 
Ungeweza kunifanyia utafiti ongezeko la watumiani wa landline phone siku hizi wakati mobile phone zimetapakaa hadi huko machungani wanakoswaga ngo'ombe?

Una point labda,ila sasa huu uzi na nchi unayoiongelea ndio tatizo au ni kwa ajili ya dunia huu uzi wako???!!!

Kama nimeelewa mawazo ya wengi walitegemea uongelee maisha ya Ipogolo, Mafisa, Ulyampiti,Bomang'ombe, Dongobesh, Mlali na wilaya,mikoa na miji ya Tanzani ila mkuu umeanzia ughaibuni huko ambako wenzetu habari ya kuchemsha maji ya kunywa ilishatoweka hata kwenye historia labda!!!!!!!

Hospitali ya Taifa haina CT scanner ya uhakika we unamuambia mwananchi aachane na cable ili kutegemea wire less!!!!!!

Yale yale ya uraia pacha!!!!!!!
Mwili Tanzania mawazo nje ya mipaka!!!!!

Half full or half empty???!!!!
 
Mbona huko kote unakosema analog tv imeshazimwa wakati bado wanahitaji walio wengi?
 
unajichanganya sasa....analog imezimwa wameleta digital[satellite/cable] ambazo kwenye thread yako tunatakiwa tuziditch tuingie kwenye internet tvs....itachukua muda kidogo
 
Utegemee kuangalia tv online au program nyingine na internet za Tanzania zilivo taratibu na zinavyokata itakula kwako.

* Nonsense *
 
Mbona huko kote unakosema analog tv imeshazimwa wakati bado wanahitaji walio wengi?

Na hiyo ndio furaha yako ili tu tufanane na waliotutangulia sio????!!!!

Haya mambo yanataka stable base ya uchumi,technology, manpower na mengine kama hayo sio kukurupuka tu kama tulivyofanya halafu unazalisha utitiri wa decoder ambazo serikali haina say on them na kuacha raia kama yatima kwenye utata mkubwa sana!!!!!!

Hao unaowaongelea wamejipanga mwanzo mwisho mifumo ipo na inafanya kazi sasa nchi kama hii ambayo umeme tu tiamajitiamaji, sms unatuma leo inafika kesho,internet slow kama nini ukitegemea hapa kwa TV taarifa ya saa nne si utaipata saa tisa alasiri achilia mbali mtngazaji wa kike aonekane babu!!!!!!?????
 
unajichanganya sasa....analog imezimwa wameleta digital[satellite/cable] ambazo kwenye thread yako tunatakiwa tuziditch tuingie kwenye internet tvs....itachukua muda kidogo

Logic hapa ni kwamba, kinachofanyika huko nchi zilizoendelea na nchi za ulimwengu wa pili na tatu huathirika, ndio maana analogia zimezimwa ulimwengu wa nchi za magharibi imekuja kuathiri hata nchi za kiafrika na asia kuzima analogia kwa kupisha digital. Watengenezaji wa bidhaa hizo ni nchi hizo lazima kushurutisha bidhaa zao ziwe na soko.

Kimsingi cable TV siyo digital, ni wired kama ilivyo kwa landline phone.
 
Simu tu za mkononi mji kama Dar maeneo ya Bunju hapo Tigo inazingua baadhi ya maeneo sasa ndio analeta habari ya internet TV hapa bongo???!!!!
 
Na hiyo ndio furaha yako ili tu tufanane na waliotutangulia sio????!!!!

Haya mambo yanataka stable base ya uchumi,technology, manpower na mengine kama hayo sio kukurupuka tu kama tulivyofanya halafu unazalisha utitiri wa decoder ambazo serikali haina say on them na kuacha raia kama yatima kwenye utata mkubwa sana!!!!!!

Hao unaowaongelea wamejipanga mwanzo mwisho mifumo ipo na inafanya kazi sasa nchi kama hii ambayo umeme tu tiamajitiamaji, sms unatuma leo inafika kesho,internet slow kama nini ukitegemea hapa kwa TV taarifa ya saa nne si utaipata saa tisa alasiri achilia mbali mtngazaji wa kike aonekane babu!!!!!!?????

Umeona, nashukuru umewasha kurunzi na kuangaza wengine pia waone. Nililivalia njuga jambo hili kutetea analogia kwamba kwetu ni bado na ingefaa kuwapa wananchi muda pengine hata miaka mitano ijayo, nilipopolewa kwa mawe hapa hadi kuokolewa na kikose cha mwema. Basi wengine ni ile kitu cheer leaders kwa kila kitu bila kutia akili ndani kwanza.
 
Logic hapa ni kwamba, kinachofanyika huko nchi zilizoendelea na nchi za ulimwengu wa pili na tatu huathirika, ndio maana analogia zimezimwa ulimwengu wa nchi za magharibi imekuja kuathiri hata nchi za kiafrika na asia kuzima analogia kwa kupisha digital. Watengenezaji wa bidhaa hizo ni nchi hizo lazima kushurutisha bidhaa zao ziwe na soko.

Kimsingi cable TV siyo digital, ni wired kama ilivyo kwa landline phone.

huko ulikotoa hii thread hata hizo digital subscribers wamepungua wanaingia kwenye internet tv,unafikiri ina apply bongo??wangapi wana proper smart tvs[sio za mchina]???wangapi wana 3g/4g internet access??kibongobongo ni ngumu
 
Kasi ya kuingia vitu hivyo imeanza, wengi wana hizi smartphone, android nk, hii ni dalili tosha kwamba teknolojia hiyo imeshasambaa hadi huku kwetu.
 
Umeona, nashukuru umewasha kurunzi na kuangaza wengine pia waone. Nililivalia njuga jambo hili kutetea analogia kwamba kwetu ni bado na ingefaa kuwapa wananchi muda pengine hata miaka mitano ijayo, nilipopolewa kwa mawe hapa hadi kuokolewa na kikose cha mwema. Basi wengine ni ile kitu cheer leaders kwa kila kitu bila kutia akili ndani kwanza.

Hili tuko pamoja kabisa kaka mkuu yaani mengi tunaiga appearance halafu tunakuja kujikuta hatuna mechanisms and processes za kuifanya hiyo appearance iwe kamili!!!!!
 
Back
Top Bottom