10 things not to buy in 2014

10 things not to buy in 2014

Digital camera zimeanza kukosa soko kwani mimi nilikuwa mtumiaji mzuri sana, lakini leo sihitaji kwa vile simu yangu ina kila kitu hadi memory kard nikisha shoot picture ni kwenda kwenye computer au projector to develop picture. Bado upo ulimwengu wa zamani?[/QUOT
Nipo sana tu, ofisini kwangu landline siiachi maana "mpango wa namba unayopiga haipatikani kwa sasa" au "hebu toka nje ya ofisi unakatika katika" siyawezi! na hivyo camera simu ukija kwa pro havina mambo watahitaji mi camera yenye mi lens kama mkoga wa 'kinana'!
 
Tatizo Netflix hata ukiwa na smart TV mpaka uwe na wireless internet. Kibongo bongo kua na wireless internet nyumbani kwako ni anasa
Sijakuelewa unaposema lazima uwe na wireless internet. Ninachojua ni kwamba lazima TV au kifaa chako kiwe kimeunganishwa na internet hata kama ni wifi au kwa kutumia cable. Ingawa sijatumia netflix Tanzania, nadhani unaweza ukatumia 3G wifi dongle ambayo unaweka sim yenye bundle na kupata wifi.
 
Vilevile nimeacha kutumia camera za 'point 'n shoot' natumia zaidi simu ambazo zinatosha kabisa kwa kazi hiyo. Hata hivyo kwa sababu upigaji picha ni hobby yangu, pale ninapohitaji kupiga picha za kitaalamu, bado natumia camera yangu ya canon EOS SLR.
 
Nakualiana nawe, siko tayari kuweka kanda camera, maana simu haiwezi kuhimili wingi na kazi ya picha hata ubora ingawa simu za kiwango pia zina sim card. Camera bado ina nafsi yake, ila kwa wapiga moja mbili tu simu inatosha.
 
Sijakuelewa unaposema lazima uwe na wireless internet. Ninachojua ni kwamba lazima TV au kifaa chako kiwe kimeunganishwa na internet hata kama ni wifi au kwa kutumia cable. Ingawa sijatumia netflix Tanzania, nadhani unaweza ukatumia 3G wifi dongle ambayo unaweka sim yenye bundle na kupata wifi.

Ok. Kuhusu kutumia simu nilikua sifahamu. Hizi smart TV zipo za aina nyingi kama ilivyo tablet. Kuna zile zinazo-support wireless tu na zile zenye provision ya wireless na cable internet. Kwa ufupi zinatofautiana accessories kutegemea na aina na version. Yangu Sony Bravia KDL-50R550A ina provision zote, wireless na cable
 
most of these dont apply in tz.........

Tanzania gani ndugu yangu. Sema Most of these do not apply at your home. Dunia ni kijiji. Ulimwengu wako upo mfukoni kwako. People live in Tanzania far better life then those who live in Europe.
 
acha kujipa moyo wewe.....most tanzanians high tech ni msamiati....mimi natumia most of those shit but i know most tznians DONT....80% wako bush huko wanajua 3g/4g??hizo internet tv wanazijua hao?umeme wenyewe anasa less than 20% ndio wanatumia umeme hizo gadgets watatumia na mafuta taa
nipe % ya watz wenye cable tv,nipe % ya watz wenye credit card[hata bank account],nipe % ya watz wenye 3g/4g,nipe % ya watz wenye phone contacts[i hope unajua contract phones ni nini],nipe % ya watz wanaotumia usafiri wa ndege,ndege zenyewe mbili sijui tatu......
 
I can't argue.
 
Back
Top Bottom