10 STEPS to make a happy marriage

10 STEPS to make a happy marriage

Ukijichunguza utagundua huwa tunafanya zaidi ya haya kwa complete srangers. Yaani ukikutana na mtu huko kazini you play nice, ukifika home kama umekamuliwa ndimu! Tukiamua kufanya wenza wetu kama washkaji yanawezekana kabisa. Kama office mate akipiga chafya tu namuambia pole; why not paw wangu?
easier said than done....but if u can do these may be!
 
Ukijichunguza utagundua huwa tunafanya zaidi ya haya kwa complete srangers. Yaani ukikutana na mtu huko kazini you play nice, ukifika home kama umekamuliwa ndimu! Tukiamua kufanya wenza wetu kama washkaji yanawezekana kabisa. Kama office mate akipiga chafya tu namuambia pole; why not paw wangu?

Una pwenti lakini sasa si mpaka huyo mwenza naye ayaone hayo!!!!!
Tatizo la ndoa ni watu kuchukuliana poa, office mates ni casuals so hatuna emotions nao ki hivyo yaani unamuambia asipojibu vizuri wala haizingui ila sasa huko ndani we unasema pole mtu anajibu kama katoka kukamuliwa jipu anapewa pole na aliyemkamua!!!

Uchaguzi tu mwanzoni ukibugi bhana ndio baaas tena!!!!
 
it begins with you kakangu. Kama casual emotions zitaleta furaha nyumbani, basi have a casual attitude kwa kuanzia afu utafall in love upya na huyo huyo mwenza wako.
hehehe akijibia tumboni unamuambia pole tena huku unamshika bega na kumuangalia machoni. :A S 11::A S 11:
Una pwenti lakini sasa si mpaka huyo mwenza naye ayaone hayo!!!!!
Tatizo la ndoa ni watu kuchukuliana poa, office mates ni casuals so hatuna emotions nao ki hivyo yaani unamuambia asipojibu vizuri wala haizingui ila sasa huko ndani we unasema pole mtu anajibu kama katoka kukamuliwa jipu anapewa pole na aliyemkamua!!!

Uchaguzi tu mwanzoni ukibugi bhana ndio baaas tena!!!!
 
Mkwe kumbe ulikua unatia somo la mapenzi🤸 sumbai
Hata sijui ilikuwaje🤣🤣🤣🤣

Nadhani ilikuwa Ile new member fever

Yaani wakati natype hii mambo jasho lamikono lilikuwa linatoka.

Nimesoma upya kwakweli dah
 
Ulikua vizuri now umezeeka upandishi nyuzi
 
Back
Top Bottom