Hahahahaaa....eti usukununu... Jamani watu wana tujimaneno...Iko hiv,inawezekana hii kujudge tunaitumia vbay,kinachoongelewa hapo ni kutaka usukununu na utomaso wa kutaka kujua historia ya nyuma ya mpnz au mwanandoa mtarajiwa,let say,wewe una bby wako unataka kumuoa,sasa uko bize kumchunguza mambo yake ya nyuma kuliko mambo yake ya sasa,au kufatlia itakuaje future yenu huko mbele,yan unakua tomaso wa kutaka kujua huyu mtu huko nyuma alikua anafanya nini,sasa ukishajua kua nyuma alikua muovu lazima utamkwepa bila kujua hayo ni yalishapita na huenda alishayaacha akabadilika akaanza maisha mapya kabisa na tabia mpya ambazo ndo hizo umemkuta nazo.
Ndo mana wanakwambia usifatlie sana historia ya mtu ya nyuma "everyone has a dark history,no one is an angel.
[HASHTAG]#DuhNdoNimeandikaPoteHapo[/HASHTAG]![]()
Uko sahihi, lakini historia kama ipo huwezi kuipuuza. Hakuna mkamilifu, hakuna extents tu ndio huws tofauti.Iko hiv,inawezekana hii kujudge tunaitumia vbay,kinachoongelewa hapo ni kutaka usukununu na utomaso wa kutaka kujua historia ya nyuma ya mpnz au mwanandoa mtarajiwa,let say,wewe una bby wako unataka kumuoa,sasa uko bize kumchunguza mambo yake ya nyuma kuliko mambo yake ya sasa,au kufatlia itakuaje future yenu huko mbele,yan unakua tomaso wa kutaka kujua huyu mtu huko nyuma alikua anafanya nini,sasa ukishajua kua nyuma alikua muovu lazima utamkwepa bila kujua hayo ni yalishapita na huenda alishayaacha akabadilika akaanza maisha mapya kabisa na tabia mpya ambazo ndo hizo umemkuta nazo.
Ndo mana wanakwambia usifatlie sana historia ya mtu ya nyuma "everyone has a dark history,no one is an angel.
[HASHTAG]#DuhNdoNimeandikaPoteHapo[/HASHTAG]![]()
Hahahaaaaa utakimbia. Hata huvyo ukishajikita kumchimba sana mtu ujue hujampenda bado. Kuna mambo madogo madogo tu utayajua na hutahitaji hata kumhoji, mchumba mzuri kwa uzoefu wangu huwa anakuwa mwazi na utsmuona anajutia mambo mabaya aliyilopitia na utaona kabisa kuwa kabadilika na unaweza kumuoa kwa kumhurumia( sympathy)Sasa ndo uanze kabisa kumuuliza enhee umetembea na wanaume wangap? Tehe,akikwambia 20 si utakimbia,akikwambia alishawahi kua changudoa si utamblock wewe,haya akwambie alikua mwizi,mvuta bangi na mengine mabaya utamtaka?
Hahahahaaaaa.....kipindi kizuri ni kuhakikisha unamjua huyo unayetaja kumuoa/ kuewa naye kana vipi uamue kujilipua mwenyewe. Mkisha oana huwa inakuwa ngumu, then ushauri wako una maana sana. Usifukue makaburi!Hapo mkuu ni kusameheana tu na kuendelea na maisha maana tayari ndoa ishabarikiwa unaweza sema umwache halafu ukaja ukapata mwenye historia hiyo na taarifa zake ukazipata tayri ushaoa tena utaacha wangapi ?
Fact kabisaHahahaaaaa utakimbia. Hata huvyo ukishajikita kumchimba sana mtu ujue hujampenda bado. Kuna mambo madogo madogo tu utayajua na hutahitaji hata kumhoji, mchumba mzuri kwa uzoefu wangu huwa anakuwa mwazi na utsmuona anajutia mambo mabaya aliyilopitia na utaona kabisa kuwa kabadilika na unaweza kumuoa kwa kumhurumia( sympathy)