Maelezo yako ni mazuri lakn hapo namba mbili kinachozungumzwa ni kwa mke wako ambae umemuoa yaan kwa vyoyote vile historia yake haiwez kuwa clean na km umeshamuoa hakuna sababu ya kufukua makaburi.....Na ulichokiandika kinafaa kifanyike kwenye courtship sio marriage.Nimeishia namba mbili tu sitaki hata kuendelea.
Hiyo namba mbili.imewaingiza watu chaja sana, kama mtu ana tabia mbaya huko nyuma tena nyingine za kutisha wewe ni nani utegemee atabadilika, ni bora kuliepuka janga kabla halijakufikia.
Mahali popote ktk maisha history ina matter sana, ndio maana kila.siku tunasahauri kuzifanya hsitoria za maisha yetu kuwa nzuri maana zitatuathiri ktk maisha ya badae.
Mfano tu.
Ukitaka kuoa au kuolewa, mume au mke atakufatilia chini kwa chini kujua whi are you from.the past( this a very important factor).
Ukitaka ajira( employment history)
Ukitaka safari visa, pasport( personal history)
Hata ukishitakiwa mahakamani hakimu atatafuat mbinu za kukujua historia yako kabla ya kukuhumu.
Past makes future, huo ndio ukweli. Mwisho wa siku kila mtu ana anachopenda kuzingatia. Kwangu mimi history makes sense.
Kwa kifupi ukioa au kuolewa hupasw kujisahau sana mfano km mapenz wako ulikuwa unampigia simu mara 3 kwa siku ukishamuoa usiache kufanya hvo etcSatong no. 6 inaonekana kama vile marriage ni kifo au gereza, so what does it worthy, are you still advising me to marry/ get married??
Namba sita inatisha. Kama ni hivyo kuoa/ kuolewa soyo starehe tena, mnatutisha.
Ndo maana hii lugha siipendiVery facts indeed, but marriege life it like you live.
Hutakiwi kujaji au kufatilia sana historia ya nyuma,unaweza ukavunja ndoa/mahusiano,wengi historia zetu za nyuma sio nzuri kuhadithiaHiyo namba mbili si kirahisi hivyo "focus on the present and the future"... Hii inahitaji umakini sana.

Mbona huwa zinapungua na life linasonga?Kwa kifupi ukioa au kuolewa hupasw kujisahau sana mfano km mapenz wako ulikuwa unampigia simu mara 3 kwa siku ukishamuoa usiache kufanya hvo etc
Kwakweli mimi siko tayari kuoa mty nisiyejua historia yake bora hata iwe ya uongo lakini niiue, ndio maana ndoa nyingi zina changamoto sana maana watu hawajuani.Hutakiwi kujaji au kufatilia sana historia ya nyuma,unaweza ukavunja ndoa/mahusiano,wengi historia zetu za nyuma sio nzuri kuhadithia![]()
Watu wengi sana wanajificha hapa kwenye neno" kujaji".Hutakiwi kujaji au kufatilia sana historia ya nyuma,unaweza ukavunja ndoa/mahusiano,wengi historia zetu za nyuma sio nzuri kuhadithia![]()
Asante sana mkuu uko sahihi kabisa nadhani hata mimi siko clean, nikishamuoa/ olewa basi maana yake hiyo kazi ushaifanya na ukaridhika naye.Maelezo yako ni mazuri lakn hapo namba mbili kinachozungumzwa ni kwa mke wako ambae umemuoa yaan kwa vyoyote vile historia yake haiwez kuwa clean na km umeshamuoa hakuna sababu ya kufukua makaburi.....Na ulichokiandika kinafaa kifanyike kwenye courtship sio marriage.
Hapo mkuu ni kusameheana tu na kuendelea na maisha maana tayari ndoa ishabarikiwa unaweza sema umwache halafu ukaja ukapata mwenye historia hiyo na taarifa zake ukazipata tayri ushaoa tena utaacha wangapi ?Watu wengi sana wanajificha hapa kwenye neno" kujaji".
Mfano kijana anapojihusisha na madawa ya kulevya, uzinzi, na michezo yote hatarishi ktk maisha yake, ukiwa kama rafiki ukamshauri vizuri atakuona wewe ni.mshamba, huna pesa za kula bata ndio mana unamuonea wivu na maneno kibao ya kukashifu, baada ya muda majanga yanamkuta kama ajali, Ukimwi etc, ukimwamvia mkuu nilisema acha mambo hayo utajibiwa" who are you to judge?
Hahahaa huwa nacheka sana, mchuma janga siku hizi
Asante sana mkuu uko sahihi kabisa nadhani hata mimi siko clean, nikishamuoa/ olewa basi maana yake hiyo kazi ushaifanya na ukaridhika naye.
Tuseme kwa bahati tu some informations zikawa revealed na wala hujazifukua from somewhere au sponteneously tu zikawa revealed?
Mfano hakusema ukweli kama anamtoto au aliwahi kuolewa, au alikudanganya umri utafanyaje?
Sasa ndo uanze kabisa kumuuliza enhee umetembea na wanaume wangap? Tehe,akikwambia 20 si utakimbia,akikwambia alishawahi kua changudoa si utamblock wewe,haya akwambie alikua mwizi,mvuta bangi na mengine mabaya utamtaka?Kwakweli mimi siko tayari kuoa mty nisiyejua historia yake bora hata iwe ya uongo lakini niiue, ndio maana ndoa nyingi zina changamoto sana maana watu hawajuani.
History has big implications in your life, a serious spouse can not ignore it, unless there is something one is trying to hide, and why should you hide, for what purpose? Sema weakness zako ili tupate kucomplement najua mtu kama unamoensa huwezi kumwacha kwa sababu ndogondogo za history mbaya unless the history is too devastating.
Iko hiv,inawezekana hii kujudge tunaitumia vbay,kinachoongelewa hapo ni kutaka usukununu na utomaso wa kutaka kujua historia ya nyuma ya mpnz au mwanandoa mtarajiwa,let say,wewe una bby wako unataka kumuoa,sasa uko bize kumchunguza mambo yake ya nyuma kuliko mambo yake ya sasa,au kufatlia itakuaje future yenu huko mbele,yan unakua tomaso wa kutaka kujua huyu mtu huko nyuma alikua anafanya nini,sasa ukishajua kua nyuma alikua muovu lazima utamkwepa bila kujua hayo ni yalishapita na huenda alishayaacha akabadilika akaanza maisha mapya kabisa na tabia mpya ambazo ndo hizo umemkuta nazo.Watu wengi sana wanajificha hapa kwenye neno" kujaji".
Mfano kijana anapojihusisha na madawa ya kulevya, uzinzi, na michezo yote hatarishi ktk maisha yake, ukiwa kama rafiki ukamshauri vizuri atakuona wewe ni.mshamba, huna pesa za kula bata ndio mana unamuonea wivu na maneno kibao ya kukashifu, baada ya muda majanga yanamkuta kama ajali, Ukimwi etc, ukimwamvia mkuu nilisema acha mambo hayo utajibiwa" who are you to judge?
Hahahaa huwa nacheka sana, mchuma janga siku hizi
Asante sana mkuu uko sahihi kabisa nadhani hata mimi siko clean, nikishamuoa/ olewa basi maana yake hiyo kazi ushaifanya na ukaridhika naye.
Tuseme kwa bahati tu some informations zikawa revealed na wala hujazifukua from somewhere au sponteneously tu zikawa revealed?
Mfano hakusema ukweli kama anamtoto au aliwahi kuolewa, au alikudanganya umri utafanyaje?

Secret 1
Everyone you marry has a weakness. Only God does not have a weakness. So if you focus on your spouse's weakness you can't get the best out of his strength.
Secret 2
Everyone has a dark history. No one is an angel. When you get married or you want to get married stop digging into someone's past. What matters most is the present life of your partner. Old things have passed away. Forgive and forget. Focus on the present and the future.
Secret 3
Every marriage has its own challenges. Marriage is not a bed of roses. Every good marriage has gone through its own test of blazing fire. True love proves in times of challenges. Fight for your marriage. Make up your mind to stay with your spouse in times of need. Remember the vow *For better for worse*. In sickness and in health be there.
Secret 4
Every marriage has different levels of success. Don't compare your marriage with any one else. We can never be equal.With these quotes,marriage is possible.
Hahahahaa!Ndo maana hii lugha siipendi