Haha ni kama mkuu mmoja alisema kama hizi rules zingeongezwa na usisahau kumuoma Mungu ingekuwa bomba sana......tunaishi kipindi kigumu sana kwenye eneo la ndoa tofauti na Zamani.....shetani katushika pabaya sana.....sikariri kitu maana nadharia ni tofauti na vitendo.
Na hauwezi kuwa perfect! pale ulipo na kasoro ndio hapo patakusumbua.....mf. una fedha nyingi ila huna muda-shida!!!Haha ni kama mkuu mmoja alisema kama hizi rule zingeongezwa na usisahau kumuoma Mungu ingekuwa bomba sana.
That has correlation with her shared percentage in family's income, but still my approval weighs.What about the house budget
Kuna siku za safari ya mwezini kwenda kulipa kodi
To my understanding, half of a woman's salary can go to house budget and rest is for her up keep,serving or anything she wants to do with it.That has correlation with her shared percentage in family's income, but still my approval weighs.
Saa nyingine chakula cha usiku kinaleta suluhisho kwa no 7.Hii tuna add pamoja na rule number 7.
Nlitamani nikujibu lakini nimekwazwa na hiyo red hapo...Mkuu kuna hasira nyingine kwanza hata mwili hauwezi kurespond kwenye chakula cha usiku.
Haina tiba??dyslexia.
Ntalipia tuition fee... kama kuna ulazima wa darasa...Tena ninatakiwa nipewa msaada na serikali.
Hapana... lile ni Janga la Kitaifa...Tunamlaumu bure Daudi Bashite si ajabu alikua na tatizo kama la kwangu.
Mhhhh mie sitaki hayo makitu bado nahitaji kuwepo kuwepo sanaUsiniambie na wewe umebashitika...
Kama umeshindwa kuelewa basi ujue kiingereza ulibashitika...Mhhhh mie sitaki hayo makitu bado nahitaji kuwepo kuwepo sana
MhhhhhKama umeshindwa kuelewa basi ujue kiingereza ulibashitika...