Kweli hata kama itakua ya uongoHaya mambo mi naona yapo tu kwenye maandishi lakini ki halisia hakuna, maana watu wapo ki maslahi zaidi, mahusiano yametekwa na pesa , na ukiwa na pesa basi yaani kila aina ya furaha na upendo utapata tu
Sky unaeza jishusha bt mwenzio akakuona kiatu..big ishu awe mwelewa afu awe ana kurespect..hizi ndoa uhalisia na tuyazungumzayo yana ukakasi coz watu tupo tofauti tena kila kitu..think itKila mtu akiongea hakuna atakaemsikiliza mwenzake, jifanye msikilizaji.
hakutalalika kamwe.....usiku utakuwa mrefu sana.....wkati mwingine better kulala na jambo ili utafakari namna ya kulimaliza kesho ,..
me nalala vizuri sema sa kumi nitaamka lazima na ndiyo mda tutaongea kwa upolehakutalalika kamwe.....usiku utakuwa mrefu sana.....
usiku utakuwa mrefu sana.....hakika hata ukilala bado msongo unakuzingua...me nalala vizuri sema sa kumi nitaamka lazima na ndiyo mda tutaongea kwa upole
yaha kuna mambo huwezi pata suluhu ukiwa na hasirausiku utakuwa mrefu sana.....hakika hata ukilala bado msongo unakuzingua...
na viroba vimepigwa stop.......mnayamaliza mnapiga na mechi ya ukweli.....baaaasyaha kuna mambo huwezi pata suluhu ukiwa na hasira
duh basi sawana viroba vimepigwa stop.......mnayamaliza mnapiga na mechi ya ukweli.....baaaas
then .....njozi njema,,,,,,duh basi sawa
nawe pia mkuuthen .....njozi njema,,,,,,
Yani rules zote hizo bado sijaona rule kuu kuliko zote:Kule kwetu Kwamtogole mafunzo yetu yana syllabus nyingine.
What about the house budgetHiyo namba 4 kwangu hapana kwakweli.
Labda kama tuna bishana kuhusu rangi ya mapazia ambayo tutapamba ndani sikuku ya x-mass.
Hapo kweli you are likely to win the argument.
Kuna siku za safari ya mwezini kwenda kulipa kodiYani rules zote hizo bado sijaona rule kuu kuliko zote:
USILALE BILA KULA CHAKULA CHA USIKU!!
Mkuu wakati ule wanawake hawakuwa na access ya pesa, maamuzi yote ya ndani yalitoka kwa mzee. Sikuhizi utamwambia nini mdada anaekunja mil3 wakati wewe unapokea laki tisa baada ya makato.Rules rules!!! wazee wetu hawakuzisoma na zilidumu!!!
Hizo ni siku chache zaidi kulinganisha na zile unazokuwa mapumzikoni... tunazi neglect. Rule inabakia palepale... usilale bila kula cha usiku, hata japo kwa kuonja. Tena hii ni Rule No 1.Kuna siku za safari ya mwezini kwenda kulipa kodi
.....tunaishi kipindi kigumu sana kwenye eneo la ndoa tofauti na Zamani.....shetani katushika pabaya sana.....sikariri kitu maana nadharia ni tofauti na vitendo.Mkuu wakati ule wanawake hawakuwa na access ya pesa, maamuzi yote ya ndani yalitoka kwa mzee. Sikuhizi utamwambia nini mdada anaekunja mil3 wakati wewe unapokea laki tisha baada ya makato.