10 Rules For A Long And Happy Marriage.

Hilo somo sio kila mtu anafanyiwa,
Sasa huo uzungu umpelekee Mwanashilingi Wa kwabibi paka, Unadhani atakuelewa??
 
Hilo somo sio kila mtu anafanyiwa,
Sasa huo uzungu umpelekee Mwanashilingi Wa kwabibi paka, Unadhani atakuelewa??
Kule kwetu Kwamtogole mafunzo yetu yana syllabus nyingine.
 
Haya mambo mi naona yapo tu kwenye maandishi lakini ki halisia hakuna, maana watu wapo ki maslahi zaidi, mahusiano yametekwa na pesa , na ukiwa na pesa basi yaani kila aina ya furaha na upendo utapata tu
 
Shukurani kwa somo

Ila namba moja ni ngumu. .hasira kama ninazo sasa hivi na mume wangu anazo sasa hivi siwezi kujisemea nitakasirika badae
 
Shukurani kwa somo

Ila namba moja ni ngumu. .hasira kama ninazo sasa hivi na mume wangu anazo sasa hivi siwezi kujisemea nitakasirika badae
Kumbuka "when you go low you go high" (Michelle Obama).
 
Sawa,naona inaelekeana kidogo na #4
Hiyo namba 4 kwangu hapana kwakweli.

Labda kama tuna bishana kuhusu rangi ya mapazia ambayo tutapamba ndani sikuku ya x-mass.

Hapo kweli you are likely to win the argument.
 
Hiyo namba 4 kwangu hapana kwakweli.

Labda kama tuna bishana kuhusu rangi ya mapazia ambayo tutapamba ndani sikuku ya x-mass.

Hapo kweli you are likely to win the argument.
Basi yeye atakuachia ushinde
 
Basi yeye atakuachia ushinde
Kuna argument za kumwachie mwanamke ashinde ambavyo ni some how insignificant kwa mwanaume.

Lakini kwangu mimi hata jina tu la mtoto siwezi kumwachia.
 
Kuna argument za kumwachie mwanamke ashinde ambavyo ni some how insignificant kwa mwanaume.

Lakini kwangu mimi hata jina tu la mtoto siwezi kumwachia.
Jina la mtoto mara nyingi linatoka kwa mwanaume so it's normal kutokumuachia
 
hiyo no #7 inaweza kuokoa mengi sana....................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…