10 mil.gari gan?

10 mil.gari gan?

Mjasiriamali1

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2009
Posts
891
Reaction score
240
Mtakubaliana na mm. Kuna tofaut kati ya kuona na kutumia. Kwa watumiaj wa magar madogo plz nishaurini wakuu wa jukwaa gar lipi ninunue? Ambayo haisumbuwi upatikanajii wa spare part. Ukubwa ingin 2cc zisizidi. Nina 10 million.
 
2cc mkuu ndio cc ngap?au 2000cc?unaeza pata corrolla ya mwaka 1999 model ina cc 1,300
 
Carina Ti, Noah, Nadia, Spacio nk, ndio magari ya around budget yako na hayana matatizo ya spare parts... Yapo mengine mengi tu. Uchaguzi ni wako.
 
Back
Top Bottom