10 Habits you never know they are destroying your kidneys

10 Habits you never know they are destroying your kidneys

Sina cha kunisumbua hapo...
Labda kwa mbali # 4 & 5,....
Sema ukiepuka hili......
linakuja hiliii...

Kifo saa nyingne kikikosa sbb ya kukuondoa...
kinakutengenezea sbb au hata kufufua yaliyopita...

Babu yangu aligonga 107yrs na still energetic...
kwa nature ya maisha yake yote....sbb nyingi zinazopelekea vifo Vya sasa zilikosa pa kuanzia.....

Akakumbushiwa kakijidonda ka mguu ka Mwaka 1938 ili kuzuga asionekane kafa bila sbb.....
Hio ndio ikawa njia yake Kurudisha jezi...


KWA KUONGEZEA...

Epuka sana kutumia hizi dawa za kutuliza maumivu
HASA Diclofenac, ibuprofen, Naprofen, COX-2 inhibitors na Asprin, KWA MDA MREFU.

Hizi zinasifa ya kuharibu ile Chemical / Uteute wa asili uliopo ndani ya tumbo kwa ajili ya kulikinga na ACIDS inayokuja....
Matokeo ya Ya kuharibika kwa hio chemical...
Ni ULCERS...

Na ndio ile unatibu ulcers kwa mda mrefu unajiuliza kwa nn huponi...
Kumbe unatumia dawa za kutibu ulcers inayosababishwa na H.Pyroli bacteria,
badala ya kutumia dawa za hii Iliyosababishwa na NSAIDs...
Matokeo yake yaweza ije Cancer...
 
Back
Top Bottom