Kati ya mashindano ya Miss Tanzania niliobahatika kuyashuhudia hili kwangu litakuwa Bora ki ukweli wadada walipendeza na walikuwa Bomba sana.
hivi yule aliyepiga picha 400 na warembo yupo huru?Vyakula vya Hashimu vipo tayari kupakuliwa na kuliwa
hivi yule aliyepiga picha 400 na warembo yupo huru?