10 best touchscreen phones for 2012 !!!!

Thanks Mkuu, nakubali sana Samsung na Sony Ericson kwa kuwa na Consumerism ktk kutengeneza vimondo vyao.
Cjawahi kuipenda blackbery hata ukiinga GSM ARENA watu huwa wanaponda sana BB..
 
Hii inafanana na yangu nilinunua kwa pesa kiasi cha mboga tu.
Siemens C35....A legend!

sic35_00.jpg
 
Think P mimi nafikiri Blackberry na Nokia ni brand ambazo ni marehemu kwa sasa,mimi natumia Ideos napata huduma zote ambazo hapo nyuma ilikuwa unaweza kupata kwenye BB kwa kulipia monthly fee(BIS) Tsh 35000 kwa mwezi wakati kwa Ideos natumia 2500,pia natumia kama PDA ,na nina tumia kama modem kwa option ya tethering au hotspot ,kwa hotspot naweza kutumia zaidi ya laptop 3 kwa wakati mmoja,sasa zaidi ya hapo kipi cha zaidi pia apps kibao,nishindwe mwenyewe
 
Hakuna kama san francisco II ni kiboko ni sawa kama uko na laptop
 
Attachments

  • uploadfromtaptalk1355916240225.jpg
    uploadfromtaptalk1355916240225.jpg
    38.8 KB · Views: 109
mambo ya copy paste haya.. iphone 5, LG Nexus 4, Samsung Galaxy SIII, Nokia Lumia 920, HTC DROID DNA... mbona hizi ni more superior touchscreen phones kuliko ulizotaja, AND zimetoka mwaka huu. au ulikuwa unatumia criteria ipi? hmm?
 
mkuu hii sired ni toka mwezi april ipo hapa
 
u kidding that is totally bias, haiwezekani hio bb bold ipite lumia zote hahaha, dah then mpinzani mkuu wa iphone 4s nokia n9 pia hayumo. Kajipange uje tena na list yako

Mkuu Nokia Lumia 920, Samsung galaxy s3 hizo zote zimetoka mwisho wa mwaka huu na ndio kwanza zipo sokoni hata maeneo mengine bado hazijafika hivyo nakubaliana na hiyo list.
 
Young Master, yeye kasema best touch-screen phones for 2012 mimi nimepoint out the best nazojua za 2012. makosa yangu tena?? angeweka *question mark* mwisho wa heading yake labda ningemwelewa, AU angesubiri end of year ndo atangaze AU angesema for the first half/ quarter of the year. kuna movie moja niliona mwezi wa nane, kwa blog yangu niliandika (possibly the worst movie of the year??) becoz nilijua kuna uwezekano something worse inaweza tokea kabla mwisho wa mwaka, na sikutaka what wazungu wanasema *egg on my face*
 
Last edited by a moderator:

I dont wanna say this but you are right buddy.
 
  • Thanks
Reactions: leh
mambo ya copy paste haya.. iphone 5, LG Nexus 4, Samsung Galaxy SIII, Nokia Lumia 920, HTC DROID DNA... mbona hizi ni more superior touchscreen phones kuliko ulizotaja, AND zimetoka mwaka huu. au ulikuwa unatumia criteria ipi? hmm?

Na knachonishangaza n kwamba hzo alzoztaja n model za 2011 asa sjajua y aseme ndo best in this year .... Ikiwa mwaka huu zmetoka zlizokua advanced kama ulzoztzja hapo juu
 
Yeah, also the galaxy note 2 is pretty amazing. large screen and can be a desktop replacement.
 
Back
Top Bottom