Unajiita Techman mwenyewe!!!Chukua hii,kama battery imeisha charge kabisa na unataka kuiwasha simu walu ucheki sms 1,toa battery,lamba kwa ulimi wako sehemu ambapo charge huwa inaingilia (yaani kwenye positive na negative) kwa muda wa sekunde 60 ukiirudishia kwenye simu,itawaka kwa walau sekunde kadhaa!Onyo,usimeze hayo mate(tema) baada ya kuilamba battery.