naomba msaada waungwana nina kg 1 ya dhahabu naomba kujua wapi nitauza kwa bei nzuri kidogo.
aisee unahamu ya kutapeliwa wewe...watakuja pm
aisee unahamu ya kutapeliwa wewe...watakuja pm
Basi kama ni hivyo sawa tuwamtapeli wakati ye mwenyewe tapeli
Ha ha haHapo inaweza kutokea kama alieuziwa cheni bandia ametoa fedha bandia
hata mi nashangaa dhahabu kupigiwa debe wakati inajiuza yenyewe haya bi maajabu,ungesema umeokota hapo sawa kumbe menunua ,unanunua kitu hujui pa kuuzia