1.3Tr kwa mwezi TRA wanazikusanya kutoka wapi!!

Kwa mfumo wa sasa wa Pole Pole (accrual Accounting) inawezekana! Yani hela inarekodiwa kwenye vitabu kama receivables (mapato) hata kabla haijakusanywa. So wanaweza wakajiandikia any amount then jinsi ya kuipata, itafahamika mbele kwa mbele.
NB: Mfumo huu ni kwa hisani ya 'Pole Pole accounting package and Software company ltd'...
 
Kila mwezi ni 1.3 trillion, haipandi wala kushuka. Hii inaleta walakin sana hasa ktk kipindi hiki ambapo nchi ni wazi ipo kwenye "Clear Economic Recession".

Nina uhakika kama kweli hayo ndio makusanyo kwa mwezi basi wangeshalipa yale madeni sugu ya wazabuni.
 
Wanakusanya kutoka kwa Wastaafu na Watumishi Wa Umma maana kodi kwa watumishi Wa umma ni kubwa mno.
Kwakweliii ni hatari kodi kwa watumishi wa umma kile ni kiama .......mungu awasaidie tu
 
TRA wanatumia vitisho na jeuri badala ya elimu kwa mlipa kodi..

Elimu kwa mlipa kodi itasaidia kuongexa idadi ya walipa kodi

Watanzania wafundishwe kufungua biashara, wasajiliwe na wapewe mafao yao...

Serikali inaleta kanuni kuwa ukiresign...ni kosa..ungojee mpaka ustaafu...Kanuni jeuri kabisa hixi

Bring back FAO LA KUJITOA
Andika vizuri
Kuongexa=×
Kuongeza=√

Hixi=×
Hizi=√

Hivi mnaona sifa kuandika vibaya au vipi yaani
 
Zinatoka Dodoma bhana, maswali mengi ya nini? Kwani wewe hujui kuwa wilaya ya Kibaha tu INA viwanda vikubwa elfu tatu?
Dah....
Bora yule boya wa Kihaya kapigwa chini, yaani aliwasadikisha mazuzumagic wa CCM kuwa eti ukiwa na mchi na kinu tayari unakuwa unamiliki kiwanda cha kutengenezea kisamvu
Hili limejitokeza leo kwenye mkutano wa TRA na tasisi za serikali ambapo rais alidokeza kuwa kwa sasa TRA wanakusanya 1.3T kwa mwezi, nimeona nilete kwenye wataalamu wachambuzi, ili tuweze kupima na kuangalia kama mazingira ya sasa ya biashara yanaendana na makusanyo ya 1.3T
Nawasilisah
 
Mwenyenzi Mungu mpaji wa vyote iwezeshe Tanzania yangu tukusanye hadi trillion 100 kwa mwezi.

Hili linawezekana
 
Back
Top Bottom