albab
JF-Expert Member
- Jul 6, 2018
- 2,000
- 3,395
Hiii siku inatia mashaka, Waratibu wanazunguka na mabegi ndani yana kile kilichoongelewa na Mhe. Leo 20/11/2025.
Mpango umefichuka itakua ni rasharasha kuelekea SIKUKUU baadhi washakamatwa lengo ni kupush to the maxmum ili serikali irudie kosa.
Kosa litarudiwa kwa sababu sasa mnachofanya ni uhuni, kuelekea SIKUKUU KAMA HUJALA CHOCHOTE WEWE LALA WENZAKO WAMEANZA MAPEMA KABISAA KULAMBISHWA KITU
CHANGANYA NA ZAKO HII NI BIASHARA YA WATU.