0713800800 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

0713800800

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Donnie Charlie, Feb 4, 2011.

 1. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #1
  Feb 4, 2011
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,581
  Likes Received: 848
  Trophy Points: 280
  Unapopiga tigo 'customer care service' number 100 wanaku - Direct kupiga hiyo number juu kwa tittle huku wakiongeza kuwa huduma hii itatozwa sh 50, ikitokea umepiga ni bora utumie headphone kabisa maana unaweza kumaliza saa zima na isipokelewe hata wiki nzima tena mara 3 kwa siku unaishia kusikiliza instrumental tu. huenda hii ni mbinu mpya ya kibiashara na inawaumiza wengi hasa walio nje ya mji
   
 2. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #2
  Feb 4, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Hao wana namba za ziada kuwasiliana nao ambazo ni 15301, 15302 & 15303 utawapata kirahisi kwa helpline,
  Ila bado nazo ni ngumu pia kuzipata, hiyo shilingi 50 ndo lol!!! Hapo huenda ni biashara mpya hiyo
   
 3. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #3
  Feb 4, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  mhn huu unyonyaji ndio maana mie I am happy with Airtel sie tuna huduma yetu tofauti ukipiga unapokelewa hapohapo "high value customer"
   
 4. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #4
  Feb 4, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Tigo imekuwa ti...gooooo:coffee:
   
 5. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #5
  Feb 4, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  mkuu chunguza tuu kunamahali wanakunyonya hawana huruma hawa kabisa mfano walisema kupiga mitandao mingine nikiwango kmoja ila ukipiga unakuta wanakula pesa zaidi
   
Loading...