07/11/2011 Mnyika ATOA TAMKO DODOMA. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

07/11/2011 Mnyika ATOA TAMKO DODOMA.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by zubedayo_mchuzi, Nov 7, 2011.

 1. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #1
  Nov 7, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Mbunge wa jimbo la ubungo leo katika mkutano wa hadhara Dodoma,ametoa tamko kwa Magamba,hawawezi kukaa kuzungumzia maswala ya Uniform katika taasisi za elimu,mpaka Watoe lile bango pale UKUMBI WA CHIMWAGA DODOM.LINALOSOMEKA kwa MAANDISHI MAKUBWA CCM,watafikiria kukaa nao.
   
Loading...