07-10-2012 Foreign Reserve za Tanzania hazijulikani....! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

07-10-2012 Foreign Reserve za Tanzania hazijulikani....!

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by thread critic, Oct 7, 2012.

 1. t

  thread critic Member

  #1
  Oct 7, 2012
  Joined: Jul 17, 2012
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimepitia mitandao ya BOT na wizara ya fedha

  so far hakuna up to daye data zozote zenye kuonyesha:

  1. Foreign currency assets and liabilities of the Government of Tanzania and the Bank of Tanzania.


  2. Trends in Lending za kila mwezi kwa biashara mbali mbali na watu binafsi ( nahisi wanaogopa tusije jua nani alipewa pesa za stimulus package)


  3. Hakuna chochote kuhusu financial stability.

  je mnajua kwa nini hizi taarifa zinafichwa? hivi kweli tunataka kuwa competitive kwa nini Gavana Ndulu hatupi taarifa ya hali halisi ya uchumi wa nchi hii?

  I cant wait kumsikia JK akitetea ARP mwaka huu.
   
 2. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #2
  Oct 7, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,531
  Likes Received: 884
  Trophy Points: 280
  Sijakuelewa kabisa mkuu

  Can you elaborate more?
   
 3. v

  viking JF-Expert Member

  #3
  Oct 17, 2012
  Joined: Aug 23, 2012
  Messages: 985
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 45
  You are having a lough .foregn reserve!
   
Loading...