zimbabwe

Zimbabwe (), officially the Republic of Zimbabwe, is a landlocked country located in Southern Africa, between the Zambezi and Limpopo Rivers, bordered by South Africa to the south, Botswana to the south-west, Zambia to the north, and Mozambique to the east. The capital and largest city is Harare. The second largest city is Bulawayo. A country of roughly 15 million people, Zimbabwe has 16 official languages, with English, Shona, and Ndebele the most common.
Since the 11th century, present-day Zimbabwe has been the site of several organised states and kingdoms such as the Rozvi and Mthwakazi kingdoms, as well as being a major route for migration and trade. The British South Africa Company of Cecil Rhodes first demarcated the present territory during 1890 when they conquered Mashonaland and later in 1893 Matabeleland after a fierce resistance by Matabele people known as the First Matabele War. Company rule ended in 1923 with the establishment of Southern Rhodesia as a self-governing British colony. In 1965, the conservative white minority government unilaterally declared independence as Rhodesia. The state endured international isolation and a 15-year guerrilla war with black nationalist forces; this culminated in a peace agreement that established universal enfranchisement and de jure sovereignty as Zimbabwe in April 1980. Zimbabwe then joined the Commonwealth of Nations, from which it was suspended in 2002 for breaches of international law by its then-government under Robert Mugabe, and from which it withdrew in December 2003. The sovereign state is a member of the United Nations, the Southern African Development Community (SADC), the African Union (AU), and the Common Market for Eastern and Southern Africa (COMESA). It was once known as the "Jewel of Africa" for its great prosperity.Robert Mugabe became Prime Minister of Zimbabwe in 1980, when his ZANU–PF party won the elections following the end of white minority rule; he was the President of Zimbabwe from 1987 until his resignation in 2017. Under Mugabe's authoritarian regime, the state security apparatus dominated the country and was responsible for widespread human rights violations. The country has been in economic decline since the 1990s, experiencing several crashes and hyperinflation along the way.
On 15 November 2017, in the wake of over a year of protests against his government as well as Zimbabwe's rapidly declining economy, Mugabe was placed under house arrest by the country's national army in a coup d'état and eventually resigned six days later. Emmerson Mnangagwa has since served as Zimbabwe's president.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Putin amzawadia Rais wa Zimbabwe Helikopta

    Rais wa Urusi Vladimir Putin amemzawadia mwenzake wa Zimbabwe helikopta ya Rais, kwa mujibu wa wizara ya habari ya Zimbabwe. Zawadi hiyo itatolewa hivi karibuni, taarifa hiyo iliyowekwa kwenye mitandao ya kijamii imesema. Rais Emmerson Mnangagwa anahudhuria Mkutano wa Wakuu wa Urusi na Afrika...
  2. JamiiForums Tanzania Zimbabwe: Upinzani waenda Mahakamani kulalamikia ukandamizaji wa Serikali

    Citizens Coalition for Change (CCC) ambacho ni chama kikuu cha upinzani Nchini Zimbabwe kimefikia uamuzi huo kikipinga uamuzi wa Polisi wa kupiga marufuku mkutano wa kisiasa uliopangwa kabla ya uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Agosti 2023. Zuio hilo linahusu kufanya mkutano katika Mji wa...
  3. JamiiForums Tanzania Zimbabwe: Bunge lapitisha Muswada wa kuwaadhibu wasio Wazalendo kwa Nchi

    Hatua hiyo imefanywa na Bunge la #Zimbabwe lenye idadi kubwa ya Wabunge wa Chama Tawala (Zanu PF) baada ya kukwama takriban miaka 5, ingawa Watetezi wa Haki za Binadamu wameipinga vikali. Muswada huo uliojadiliwa na kupitishwa kwa siku moja ulianza kutumika kama Sheria tangu mwaka 2018...
  4. JamiiForums Tanzania Zimbabwe nchi yenye hali mbaya zaidi duniani, Tanzania yashika nafasi ya 99

    Wakati tukiwaza maisha magumu embu tupige magoti tumshukuru Mungu na kuwaombea wenzetu kama zimbabwe, Somalia n.k ambao wanapitia kipindi kigumu cha maisha.Tunalalamika hali ni mbaya ila kuna wenzetu wanataman hata haya maisha tunayoishi sisi. #HABARI Zimbabwe imetajwa kuwa nchi yenye hali...
  5. JamiiForums Tanzania Mjue Maxwell Chikumbutso: Mgunduzi wa Zimbabwe ambaye Marekani imemchukua

    Amegundua TV isiyotumia umeme wa kawaida au solar. Amegundua Generator isiyotumia mafuta. Amegundua Helicopters na Magari ya umeme usio wa kawaida. Alianza kufanya majaribio ya kisayansi tangu mwaka 1997 ambapo alifanikiwa kuunda vifaa kama transmitter na vifaa vingine ambavyo alivipeleka...
  6. JamiiForums Tanzania Wabunge wa Uingereza wagomea mwaliko wa Rais Mnagangwa kuhudhuria kusimikwa kwa 'King Charles III'

    Wabunge wa Uingereza wametoa tamko la kumshinikiza Waziri Mkuu, Rishi Sunak kufuta mwaliko wa Rais Emmerson Mnangagwa kushiriki sherehe hizo kwa maelezo kuwa uongozi wake umekuwa ukivunja Haki za Binadamu. Kama mwaliko huo hautafutwa, Mnangagwa atakuwa Rais wa kwanza kuingia jijini London baada...
  7. JamiiForums Tanzania Zimbabwe: Msemaji wa Chama cha Upinzani apigwa faini kwa kusambaza taarifa za Uchochezi

    Mahakama Nchini Zimbabwe imemtoza Fadzayi Mahere ambaye ni mwanasheria na mwanachama wa Chama cha Wananchi (CCC), faini ya Dola za Marekani 500 (Tsh. Milioni 1.17) baada ya kumkuta na hatia ya kusambaza taarifa zilizotajwa kuwa ni uongo kupitia Twitter. Mahere alikamatwa miaka miwili iliyopita...
  8. JamiiForums Tanzania Zimbabwe: Wafanyakazi wa Umma waongezewa mshahara kwa 100%

    Serikali imebainisha kuwa lengo la ongezeko hilo ni kurahisisha maisha kwa Wananchi ili wamudu gharama mbalimbali kutokana na mfumuko wa bei ambao umeongezeka kwa 92.3%. Inamaanisha kuwa bei katika maduka imepanda kwa karibu kiwango sawa na nyongeza ya mishahara. Ongezeko la mshahara limeanza...
  9. JamiiForums Tanzania Zimbabwe yapiga marufuku usafirishaji nje Madini ya Lithium

    Wizara ya Madini na Maendeleo imesema mauzo yote ya Madini ya Lithiam nje ya Nchi yamesitishwa baada ya Uchunguzi kuonesha kuna upotevu wa Tsh. Trilioni 4.2 kila mwaka kutokana na kuuzwa kama Madini Ghafi badala ya kutengeneza Betri halisi. Lithium inayofahamika kama Dhahabu Nyeupe hutumika...
  10. JamiiForums Tanzania Zimbabwe: Mtoto wa Rais Mnangagwa awekewa vikwazo na Serikali ya Marekani

    Idara ya Hazina imetangaza kuwaongeza Wazimbabwe 4 na kampuni 2 zinazohusishwa na mfanyabiashara Kudakwashe Tagwirei na kampuni yake ya Sakunda Holdings, ambao tayari wako kwenye orodha ya vikwazo vya Marekani. Mtoto wa Mnangagwa ametajwa kwenye orodha hiyo baada ya kubainika kuwa ndiye...
  11. JamiiForums Tanzania Mke wa Rais Zimbabwe atunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari nchini Urusi

    Mapema leo, akiwa ziarani nchini humu kuimarisha uhusiano katika nyanja ya elimu, utamadan n.k, Bi.Auxillia Mnangagwa alitembelea Chuo Kikuu kijulikanacho kama "Russian State University for the Humanities (RGGU)". Huko kwenu mna Shahada za kimichongo, ujanja ujanja na speed kali! Ni wakati wa...
  12. JamiiForums Tanzania China yaikabidhi Zimbabwe 'zawadi' ya jengo la Bunge

    Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa amesifu uhusiano "bora" na kati ya nchi yake na Uchina alipotoa kwa mara ya kwanza hotuba kwa Taifa katika jengo jipya la Bunge lenye thamani ya mamilioni ya dola ambao China imelitoa kwa taifa hilo kama Zawadi China ilifadhili na kujenga jengo kubwa la Bunge...
  13. JamiiForums Tanzania Zimbabwe: Serikali yapitisha sheria ya kuwaadhibu 'wasio wazalendo' kwa nchi

    Serikali ya Rais Emmerson Mnangagwa imeidhinisha sheria iliyolalamikiwa kuwa inalenga kuwanyamazisha wakosoaji wake na kuwabana wanaoshawishi mataifa ya nje kuiwekea vikwazo Serikali yake. Pia, Sheria hiyo iliyopewa jina la Sheria ya Uzalendo, imeharamisha raia wasioidhinishwa kufanya...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Vikwazo dhidi ya Zimbabwe vyapaswa kuondolewa mara moja

    Tarehe 25 Oktoba ni “Siku ya Kupinga Vikwazo” iliyoanzishwa na Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC). Katika maadhimisho ya Siku hiyo, viongozi wa nchi nyingi kwa mara nyingine tena wametoa wito wa kuondolewa kwa vikwazo dhidi ya Zimbabwe. China pia imesisitiza kuwa, Marekani...
  15. JamiiForums Tanzania ugonjwa wa Ndui walipuka Zimbabwe

    WHO wameshtushwa na mlipuko wa ugonjwa wa ndui katika nchi ya Zimbabwe hasa kutokana na idadi ya vifi vilivyosababishwa na mlipuko huo. Mamlaka zimeanza kutoa chanjo dhidi ya ugonjwa huo ===== WHO triggers crisis response to Zimbabwe measles outbreak Isaac Kaledzi, Deutsche Welle - Yesterday...
  16. JamiiForums Tanzania FIFA yamfungia Afisa wa soka Zimbabwe kwa unyanyasaji wa kingono kwa waamuzi wa kike

    Afisa wa Chama cha Soka cha Zimbabwe (Zifa), Obert Zhoya amefungiwa kujihusisha na masuala ya soka kwa muda wa miaka mitano na faini ya Dola 20,300 kwa unyanyasaji wa kingono kwa waamuzi wa kike Adhabu hiyo imetolewa na Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) baada ya kumkuta na hatia Zhoya...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Zimbabwe latia fora kwenye International army games iliyohusisha nchi 30 huko Urusi

    Jeshi la Zimbabwe latia fora baada ya kuamua kushiriki International army games huko Urusi inayohusisha nchi 30 duniani. Katika mashindano hayo, kikosi bora cha tanks cha Zimbabwe kimeshindwa kulenga shabaha iliyowekwa, mbali ya kuchukua muda mwingi karibu mara mbili ya muda uliotumiwa na timu...
  18. JamiiForums Tanzania Vifo vya Surua vyafikia 157 Zimbabwe, maambukizi 2000

    Hali ya maambukizi ya Ugonjwa wa Surua Nchini Zimbabwe inazidi kuwa mbaya baada ya vifo kuongezeka mara mbli ya ilivyokuwa ndani ya wiki moja iliyopita, idadi ya waliofariki imefa Watoto 157, huku kukiwa na maambukizi zaidi ya 2,000. Waziri wa Afya wa Zimbabwe, Monica Mutsvangwa takwimu hizo ni...
  19. JamiiForums Tanzania Mikusanyiko ya kidini yalaumiwa kwa kuenea kwa Surua Zimbabwe

    Wizara ya afya ya Zimbabwe imesema Jumapili kwamba mlipuko wa Surua umeua watoto 80 nchini humo tangu Aprili, wakati ikidai mikusanyiko ya kidini imesababisha kuongezeka kwa maambukizi. Kwa mujibu wa shirika la habari la Reuters, wizara hiyo katika taarifa imesema kwamba mlipuko huo sasa...
  20. JamiiForums Tanzania Zimbabwe yaruhusu bangi kuuzwa kwenye maduka ya dawa

    Mamlaka ya Kudhibiti Dawa ya Zimbabwe imeruhusu uuzwaji wa bangi katika maduka ya dawa ambapo itakuwa zikitumika kama sehemu ya dawa, ambapo pia wauzaji wa rejereja na jumla waohitaji kufanya biashara nje ya Nchi hiyo kuomba kibali Serikalini. Mkakati huo ni sehemu ya kuongeza pato ikiwa ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…