ziara ya kikazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    Waziri Mkuu, Mwigulu kufanya ziara ya kikazi Rukwa, Namanyere

    Ni Rukwa tena ziara ya kikazi,Namanyere Mwigulu Nchemba, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 📅 Jumatatu – Machi 09, 2026 ⏰️ Kuanzia saa 3 asubuhi Lengo la Ziara: 1. Kuweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Shule ya Amali ya Mkoa – Namanyere 2. Mkutano wa Hadhara – Namanyere 3. Kukagua...
  2. onemediaonline

    Rais Museveni awasili Tanzania kwa ziara ya kikazi

    #onemediaupdates🇹🇿 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 07 Februari, 2026.
  3. PAYE

    Rais wa Uganda, Yoweri Museveni awasili Ikulu, Dar kwa ziara ya kikazi

    Rais wa Uganda, Yoweri Museveni akiwasili viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam na kupokelewa na mwenyeji wake Rais Samia Suluhu ambapo wanakutana kujadili mambo mbalimbali ya kiuchumi na maendeleo baina ya Tanzania na Uganda. Rais Museveni yupo nchini Tanzania kwa ziara ya kikazi ya siku...
  4. Mafyangula

    Rais Samia awasili Jijini Arusha kwa ziara ya kikazi ya siku 2

    Rais Dkt. Samia amewasili Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Kilimanjaro (KIA) tarehe 21 Novemba, 2025 tayari kuelekea Arusha kwa ajili ya kutunuku kamisheni kwa Maafisa wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kesho tarehe 22 Novemba, 2025 katika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli...
  5. Just Pray

    PostGE2025 RC Makalla: Rais Samia atafanya ziara ya Kikazi Novemba 21-22 Arusha, atawatunuku Kamisheni Maafisa wa JWTZ

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa na ziara ya Kikazi ya siku mbili Mkoani Arusha kuanzia Novemba 21-22, 2025, akitarajiwa kuwa Mgeni rasmi kwenye sherehe za kutunuku Kamisheni kwa Maafisa wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ kwenye Chuo cha...
  6. President of China

    Kamishna wa TANAPA CPA Musa Nassoro Afanya Ziara ya Kikazi Kituo cha Makumbusho ya Mtwa Mkwawa, Kalenga, Iringa

    Leo Novemba 15, 2025, Kamishna wa Uhifadhi wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA), CPA Musa Nassoro, amefanya ziara ya kikazi katika Kituo cha Makumbusho ya Mtwa Mkwawa kilichopo eneo la Kalenga, Mkoani Iringa. Ziara hiyo ni sehemu ya mpango wa kutembelea vituo mbalimbali vya...
  7. JanguKamaJangu

    Waziri Mahamoud Kombo awalisi nchini Singapore kwa ziara ya Kikazi

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahamoud Thabit Kombo (Mb) amewasili nchini Singapore kwa ziara ya kikazi inayotarajiwa kufanyika kuanzia tarehe 25 -29 Agosti 2025. Akiwa katika ziara hiyo Waziri Kombo atashiriki katika matukio mbalimbali ya kimkakati ikiwemo...
  8. Ojuolegbha

    Waziri Kombo amuaga Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa wa Canada baada ya kumaliza ziara ya kikazi nchini

    Waziri Kombo amuaga Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa wa Canada baada ya kumaliza ziara ya kikazi nchini Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb), ameagana na Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa wa Canada Mhe. Randeep Sarai katika Uwanja wa...
  9. Roving Journalist

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania awasili Nchini Belarus kwa ziara ya Kikazi

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb) amewasili jijini Minsk, Belarus kwa ziara ya kikazi ya siku nne kuanzia tarehe 21 hadi 24 Julai 2024. Alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa nchi hiyo, Mhe. Waziri Mkuu alipokewa na Naibu Waziri Mkuu wa Belarus...
  10. JanguKamaJangu

    Ujumbe kutoka PPAA wawasili Kosovo kwa ziara ya kikazi

    Ujumbe kutoka Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA) ukiongozwa na Mwenyekiti wa Mamlaka ya Rufani, Jaji Mstaafu Mhe. Awadh Bawazir umewasili Jijini Prishtina nchini Kosovo kwa ziara ya kikazi ya siku tano kuanzia tarehe 14 – 18 Julai, 2025. Katika ziara hiyo Mwenyekiti wa Mamlaka ya Rufani...
  11. Ojuolegbha

    Rais Daniel Chapo awasili Zanzibar kwa ziara ya kikazi

    RAIS DANIEL CHAPO AWASILI ZANZIBAR KWA ZIARA YA KIKAZI Rais wa Msumbiji Mheshimiwa Daniel Chapo tayari amewasili Zanzibar akitokea Jijini Dar Es Salaam ambapo akiwa Zanzibar atakua na ziara fupi ya kikazi Akiwa Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume amepokelewa na Waziri wa Nchi...
  12. Ojuolegbha

    Rais Samia ampokea Rais wa Jamhuri ya Msumbiji Daniel Chapo

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan amempokea Rais wa Jamhuri ya Msumbiji Daniel Francisco Chapo
  13. Ojuolegbha

    Waziri Kombo awasili nchini Vietnam kwa ziara ya kikazi

    WAZIRI KOMBO AWASILI NCHINI VIETNAM KWA ZIARA YA KIKAZI Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amewasili jijini Hanoi, Vietnam kwa ziara ya kikazi ya siku tatu kuanzia Aprili 27 hadi 30, 2025. Akiwasili nchini humo Aprili 27, 2025...
  14. Ojuolegbha

    Waziri Kombo awasili ANTALYA kwa ziara ya kikazi

    WAZIRI KOMBO AWASILI ANTALYA KWA ZIARA YA KIKAZI Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb), amewasili jijini Antalya, Uturiki kwa ziara ya kikazi anayotarajia kuifanya nchini humo kuanzia Aprili 11 hadi 13, 2025. Akiwa katika ziara hiyo...
  15. Mkalukungone Mwamba

    Rais Samia kufanya ziara Ethiopia kuanzia tarehe 15 - 16 Februari, 2025 kushiriki Mkutano wa Kawaida wa 38 wa Wakuu wa Nchi na AU

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya ziara ya kikazi Addis Ababa nchini Ethiopia kuanzia tarehe 15 - 16 Februari, 2025 kushiriki Mkutano wa Kawaida wa 38 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU). Soma Pia: Dar: Rais Samia ashiriki...
  16. Stephano Mgendanyi

    Shemsa Mohamed Ashiriki Ziara ya Kikazi ya Jumaa Aweso Aliyofanya Mkoa wa Simiyu

    SHEMSA MOHAMED ASHIRIKI ZIARA YA KIKAZI YA MHE JUMA AWESO ALIYOFANYA MKOA WA SIMIYU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu, Ndg. Shamsa Mohammed, ameshiriki ziara ya kikazi ya Mhe. Jumaa Hamidu Aweso, Waziri wa Maji, katika Mkoa wa Simiyu. Lengo la ziara hii lilikuwa kukagua...
  17. Ojuolegbha

    Waziri wa Mambo ya Nje, Mahmoud Thabit Kombo awasili Finland kwa ziara ya kikazi

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb) amewasili nchini Finland kwa ziara ya kikazi kuanzia tarehe 08 hadi 11 Oktoba 2024. Alipowasili kwenye Uwanja wa ndege jijini Helsink, Mhe. Waziri Kombo alipokewa na Balozi wa Finland nchini Tanzania, Mhe...
  18. Ojuolegbha

    Hodi Hodi Ruvuma Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya Ziara ya Kikazi Mkoani Ruvuma kuanzia

    Hodi Hodi Ruvuma Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya Ziara ya Kikazi Mkoani Ruvuma kuanzia Tarehe 23-28 Septemba, 2024.
  19. L

    Rais Samia kufanya ziara nzito ya kikazi mkoani Ruvuma wiki ijayo

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan ,Anatarajiwa Kufanya Ziara Nzito ya Kikazi Mkoani Ruvuma Wiki Ijayo ambayo inatarajiwa kutamatika Tarehe 29. Ambapo Akiwa Mkoani Ruvuma anatarajiwa kukagua utekelezaji...
  20. Mkalukungone Mwamba

    Rais Samia kwenda Kenya kushiriki katika Hafla ya Uzinduzi wa Kampeni ya Raila Odinga

    Wakuu, hivi hii ziara ina manufaa gani kwetu kama nchi? Rais kabisa unakwenda kwenye ufunguzi wa kampeni? Tunajua uchaguzi wetu Mkuu ni mwakani tu hapo, ndio naye anatafuta uungwaji mkono kwenye kampeni yake? Mambo yatakuwa yanatokota huko. Wacha tuone itakuwaje. Lucas Mwashambwa...
Back
Top Bottom