ziara rais samia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Prof. Kitila: Rais anapofanya ziara haendi kutafuta MISAADA. Hatutakubali kuchaguliwa rafiki wala adui

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo, akiwasilisha Bungeni Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa kwa mwaka 2025 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa mwaka 2026/27, leo Juni 11, 2026, amempongeza Rais Samia kwa ziara yake nchini Urusi, huku akisitiza kuwa Tanzania...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Ziara za Rais Samia nje ya nchi zina tija gani?

    Serikali hii fake sasa imekuwa kama dalali wa madini tu. Hizi nchi zinataka madini tu. Yaani kwa ujinga Watanzania tunachukuliwa ardhi yetu wanapewa Urusi eti walime! Kwani Watanzania hawawezi kulima? Sasa eti Singapore nayo ipewe mashamba ya kulima! Tunaenda wapi Sasa huyu Mama badala ya...
  3. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Zile ziara za nje ya nchi za rais wetu mpendwa Samia Suluhu Hassan siku hizi zimeenda wapi?

    Wakuu zile ziara za Rais wetu tumpendaye Samia Suluhu siku hizi zimepotelea wapi? Hili siyo jambo la kawaida kwa Mama Samia ambaye hobby ni kukwea pipa kutembea mataifa tofauti tofauti kwa ajili ya shughuli kadha wa kadha ikiwemo kuimarisha diplomasia maana Tanzania siyo kisiwa. Hii ndo kusema...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuisimamisha Dunia kutokea Cuba hapo Kesho

    Ndugu zangu Watanzania, Siku ya kesho Zaidi ya Nusu Billion ya watu Duniani Kwote wataelekeza macho na masikio yao Nchini Cuba .pale Ambapo kinara wa Dunia wa kupigania matumizi ya nishati safi ya kupikia Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi...
  5. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo aongoza kikao cha maandalizi ya ziara ya Rais Samia nchini Cuba

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo ameongoza kikao cha Ujumbe wa Serikali ya Tanzania uliowasili Havana, Cuba kwa ajili ya maandalizi ya ziara ya kitaifa ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan nchini humo...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuondoka leo Oktoba 29 kuelekea Marekani kuhudhuria mjadala wa Norman E. Borlaug

    Ndugu zangu Watanzania, kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti. Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
  7. kichongeochuma

    JamiiForums Tanzania CCM acheni utaratibu wa kubeba wanafunzi kwenye mikutano kwa maelekezo wasivae nguo za shule. Mnamdanganya nani?

    Nimeona hii inafanyika maeneo mengi anapopita Rais, sasa hapa sasa lengo huwa ni kumdanganya nanii? Je? Rais, wananchi, vyombo vya habari au nani? Watoto darasa la 5,6,7 na wanafunzi wa sekondari na vyuo wanabebwa na malori,wengine na mabasi kutoka maeneo mbali mbali hata kama ni siku za...
  8. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais Samia mkoani Morogoro leo tarehe 03 Agosti kufanya yafuatayo

    ZIARA YA RAIS DKT. SAMIA MKOANI MOROGORO LEO TAREHE 03 AGOSTI, KUFANYA YAFUATAYO: ▪️Kuzindua Kampeni ya Tutunzane Mvomero Uwanja wa Sokoine Mvomero. ▪️Kuzindua Bwawa la Umwagiliaji la Kiwanda cha Sukari Mtibwa. ▪️Kuzindua Kiwanda cha Sukari Mkulazi-Mbigiri ▪️Kutembelea Kiwanda cha Mbegu...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anatarajiwa kufanya ziara ya siku sita mkoani Morogoro mwanzoni mwa mwezi Agosti

    Rais Samia Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kufanya ziara ya siku sita mkoani Morogoro mwanzoni mwa mwezi Agosti mwaka huu. Akitoa taarifa ya ziara ya Rais Samia, Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Adam Malima amesema ziara hiyo itaanza Agosti 2- 7 mwaka huu. Kwa mujibu wa mkuu wa mkoa huyo...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania ADC wa Rais Samia asijisahau Kiitifaki hawaruhusiwi Kucheka wala Kutabasamu awapo kazini

    Najua kuna watu watakuja hapa kunishanga na kunishambulia ila kwakuwa huwa najiamini kwa kile ambacho nakisema na nakimaanisha wala sitojali. Narudia tena Mpambe yoyote yule wa Rais (ADC) tena akiwa na Sare zake za Kijeshi huwa haruhusiwi Kucheka au Kutabasamu katika Mazingira yoyote yale awapo...
Back
Top Bottom