zanzibar

  1. JamiiForums Tanzania Namba 10: Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Prof. Makame Mbarawa achukua fomu ya kuwania Urais Zanzibar

    Waziri wa maji na umwagiliaji Mhe.Makame Mbarawa amechukua fomu ya kuwania kuteuliwa kugombea Urais Zanzibar kwa tiketi ya CCM katika ofisi kuu ya CCM Zanzibar. Career Highlights Professor Makame Mbarawa has been a Member of Parliament since 2010 and currently is the Minister for Water...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo picha Zanzibar CCM Urais itachezwa

    Igweee! CCM ndio chama lao full jasusi kukitetea chama na kamwe hawajashindwa. Hii Ramani ndio ya mchezo mzima plz do not ask me more question. Baada watoto wa vigogo kuingia ulingoni na kuusaka urais CCM, kama kawa wanatengeneza mpango wa kufanya kazi kuwa rahisi kama sio lahisi. Watoto wa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Urais wa Zanzibar siyo jambo la Muungano. Si sahihi kwa Watanganyika kushiriki kwa namna yoyote ile kumpata Rais wa Zanzibar

    Tunayo mambo mengi tu ya Muungano lakini suala la Uraisi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar siyo mojawapo. Hivi sasa Chama cha Mapinduzi kiko busy kutafuta Mgombea Uraisi wa Zanzibar, katika vitu ambavyo ni makosa ni kuwahusisha Watanganyika katika mchakato wa kumtafuta mtu ambaye atakuwa...
  4. JamiiForums Tanzania Urais Zanzibar 2020: Barua kwa Balozi Ali Abeid Amani Karume (Barua ikilenga kumchafua)

    Urais Zanzibar 2020: Barua kwa Balozi Ali Abeid Amani Karume Ndugu yangu Ali, As-salamu alaykum. Nakuandikia barua hii ya wazi kwa upendo wangu wa kikamaradi kwako. Nafsi yangu imenisukuma kufanya hivyi kwa muda mrefu lakini msukumo zaidi uliniingia jana tulipokutana Kisiwandui. Nimekufahamu...
  5. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mohammed Gharib Bilal chukua fomu ya Urais Zanzibar

    Mheshimiwa Bilal. Popote ulipo, bado wapo Watanzania tunaokukumbuka kwa utumishi wako makini wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Elimu yako haina Chembe ya shaka, wewe ni mtaalamu wa Physics ya masuala ya Nyukilia, kwa hiyo naturally wewe ni kichwa. Ndani ya Afrika mko wachache. Huwa...
  6. JamiiForums Tanzania Namba 8: Mohamed Hija Mohamed achukua fomu kuwania Urais wa Zanzibar kupitia CCM

    Aliyekuwa Naibu Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa na Mwambata Ubalozi India, Mohamed Hija Mohammed amechukua fomu ya kuwania kuteuliwa kugombea Urais Zanzibar kwa tiketi ya CCM katika ofisi kuu ya CCM Zanzibar, ambapo sasa anakuwa ni mgombea wa 8 kuchukua fomu hiyo.
  7. JamiiForums Tanzania Namba 7: Mohamed Jaffar Jumanne achukua fomu kuwania Urais wa Zanzibar

    Bwana Mohamed Jaffar Jumanne amechukua fomu ya kuwania kuteuliwa kugombea Urais Zanzibar kwa tiketi ya CCM katika ofisi kuu ya CCM Zanzibar Kisiwandui, ambapo sasa anakuwa ni mgombea wa 7 kuchukua fomu hiyo.
  8. JamiiForums Tanzania Namba 8: Shamsi Vuai Nahodha achukua fomu ya kuwania Urais wa Zanzibar kupitia CCM

    Waziri kiongozi mstaafu wa Zanzibar ambaye alihudumu kuanzia mwaka 2000 – 2010, Shamsi Vuai Nahodha amechukua fomu ya kuwania kuteuliwa kugombea urais Zanzibar kwa tiketi ya CCM mapema leo asubuhi katika ofisi kuu ya CCM Zanzibar Kisiwandui. WASIFU Shamsi Vuai Nahodha alizaliwa 20/11/1962 na...
  9. JamiiForums Tanzania Namba 6: Dokta Salhina Amour Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Zanzibar ajitupa ulingoni kuwania Urais

    Katibu Mkuu Wizara ya Fedha katika serikali ya Mapinduzi Zanzibar Dokta Salhina Amour amefika katika ofisi za chama cha Mapinduzi (CCM) Kisiwandui mjini unguja na kuchukua fomu kwa lengo la kuwania nafasi hiyo. Hii ni mara ya pili kwa Dokta.Salhina Amour ambaye pia amewahi kuwa katibu mkuu...
  10. F

    JamiiForums Tanzania GE2020 Huu u-chifu Zanzibar unakubalika?

    Naona huko Zanzibar mnaleta mambo ya ki-chifu. Abeid Amani Karume-Rais wa Kwanza Zanzibar Aman Abeid Karume- Rais Mstaafu Zanzibar Ali Hassan Mwinyi -Rais Mstaafu Zanzibar na Tanzania Hussein Mwinyi -Mgombea urais 2020 Ali Karume -Mgombea urais 2020 Hii yote ni himaya ya CCM, ndugu Watanzania...
  11. JamiiForums Tanzania Namba 4: Omar Sheha Mussa achukua fomu ya kugombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM

    Mwanachama mwengine wa Chama Cha Mapinduzi CCM, Ndugu Omar Sheha Mussa amechukua fomu kwa ajili ya kuwania nafasi ya uraisi wa Zanzibar kupitia tiketi ya chama hicho Mgombea huyo akiwa ni mgombea wa nne kuchukua fomu ya kugombea nafasi hio kutoka Chama Cha Mapinduzi Ccm Zanzibar. Aliwahi...
  12. JamiiForums Tanzania Namba 3: Kada wa CCM, Mbwana Yahya Mwinyi achukua fomu kuwania Urais wa Zanzibar

    Zoezi za kuchukua fomu za kuwania nafasi ya Urais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) limeendelea ambapo Mzanzibar mwingine Mbwana Yahya Mwinyi amefika katika ofisi za chama hicho Kisiwandui mjini Unguja na kuchukua fomu hizo kwa lengo la kuwania nafasi hiyo...
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini CCM Zanzibar haipambanii Dkt. Ali Mohamed Shein kuongezewa muda kama huku bara?

    Ukianzia na Bunge, UVCCM na baadhi ya makundi ya watu wachache hasa wanaccm wako mstari wa mbele kabisa kupaza sauti na kupambana Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ibadilishwe ili tu kuweza kumpa Magufuli nafasi ya kuongoza kwa kipindi cha zaidi ya miaka mitano. Wengi wa wanaodai...
  14. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Urais wa Zanzibar hauuzwi bali ni kwa ajili ya Wananchi wa Unguja na Pemba

    Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar balozi Idd Seif amesema urais wa Zanzibar hauuuzwi bali upo kwa ajili ya wananchi wa Unguja na Pemba. Balozi Idd ametoa onyo kwa wote waliojipanga kutumia rushwa ili kununua uongozi na kwamba wazanzibar watampendekeza Rais wanayemtaka kabla ya kupitishwa na...
  15. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 UCHAGUZI WA ZANZIBAR: Great thinkers, inabidi iwashangaze kuwa mpaka sasa hakuna mwana CCM yeyote aliyechukuwa fomu ya kuomba ridhaa ya chama hicho.

    Amani iwe nanyi, Mimi binafsi imenishangaza na kunishtua kuona kwamba mpaka sasa hakuna yoyote aliejaribu hata kujitokeza tu kuchkua fomu. Kuna maswali mengi sana fikirishi katika hili. Je ni kweli viongozi wa juu wa chama ndio watahusika moja kwa moja kutoa jina pendekezwa na kumpa green...
  16. J

    JamiiForums Tanzania CCM Zanzibar yakaribisha wanaccm kuchukua fomu za Urais, yasema uteuzi utafanyika Dodoma siyo Unguja

    CCM Zanzibar imesema ni ruksa kwa wanaccm wanaotamani urais wa Zanzibar kwenda kuchukua fomu. Naibu Katibu mkuu wa CCM Zanzibar amesema uteuzi wa jina la Mgombea utafanyika jijini Dodoma na siyo Zanzibar na kisha litapelekwa Tume ya uchaguzi. Chanzo: ITV habari Maendeleo hayana vyama!
  17. JamiiForums Tanzania Kamwe Joni hawezi Kusafiri na Hussein kwenda nae Zanzibar, ila atasafiri na Makame ambaye si tu amemzoea bali pia anammudu sana

    Kuna Mzee Mmoja ( Jina Kapuni ) japo alishawahi Kuniongoza Kikatiba huko nyuma taratibu sasa naanza kuona jinsi ambavyo huenda Ugonjwa wa Moyo utakavyoanza Kumuathiri na pengine hata Israeli anaweza Kuamua Kuondoka nae mapema tu kwenda katika Mapumziko yake ya Milele. Sababu kubwa ni kwamba...
  18. Z

    JamiiForums Tanzania Wasifu: Dkt. Hussein Ali Hassan Mwinyi, Rais ajaye wa Zanzibar

    Hakuna cha Makame Mbarawa wala nani. Huyu ndiye atayeiingiza Zanzibar kwenye karne ya 21. Wasifu wake ni huu hapa: Dk Hussein Mwinyi ni Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa katika Serikali ya Awamu ya Tano, ameteuliwa katika baraza la mwanzo la mawaziri la Rais John Magufuli. Kiongozi...
  19. JamiiForums Tanzania GE2020 Ado Shaibu: CHADEMA ni chama cha siasa. Kina haki ya kuandaa Wagombea Zanzibar

    MAJIBU YA KATIBU MKUU WA ACT WAZALENDO ADO SHAIBU ALIPOULIZWA KUHUSU KAULI YA CHADEMA KUSIMAMISHA WAGOMBEA ZANZIBAR. Kwenye Mkutano wake na waandishi wa habari, Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ndugu Ado Shaibu aliulizwa na waandishi wa habari kuhusu msimamo wa ACT Wazalendo baada ya CHADEMA...
  20. JamiiForums Tanzania Wamarekani weusi wa Zanzibar

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…