yas

"The Duck Yas-Yas-Yas" or "The Duck's Yas Yas Yas" is a hokum jazz-blues song, originally recorded by James "Stump" Johnson, but the most well known version was recorded by Oliver Cobb and his Rhythm Kings. The song is perhaps best known for the lyrics:

View More On Wikipedia.org
  1. Kitimoto

    Mwamba Mwamba - Mixx by Yas

  2. Wakili wa shetani

    Haiwezekani kuzuia makampuni kubadili majina. Kama Tigo ilivyoenda kuwa Yas?

    Mambo mengine ni usumbufu mkubwa kwa walaji. Haiwezekani kuzuia makampuni yenye walaji wengi kubadili-badili majina?
  3. srinavas

    NAFASI ZA KAZI YAS - DIRECT SALES AGENTS

    Habari wakuu, Kama kichwa kinavyojielezea hapo juu, Ninahitaji vijana kwa ajili ya kufanya mauzo ya Ku Push products za Yas Business kama Vile Yas Routers, SME and Individual Bundles, Home Fiber, Mjasirianali Box, SME KINARA na zingine nyingi.. Zote hizi ni bidhaa za Yas Business Ajira hii...
  4. D

    YAS Postpaid Bundle

    Habari wakuu. Naunganisha vifurushi vya YAS POSTPAID vipo unlimited na ambavyo sio unlimited kwa kila mwezi. Pia nauza na device(ROUTER) Hiyo kubwa ni Tshs. 250000 Hiyo kubwa ya kati ni 105000 Hiyo pocket Wifi ndogo ni 50000 Package zake ni Unlimited kama ifuatavyo Pia nina bando za kawaida...
  5. At Calvary

    Unlimited za Yas, Speed test

    Habari za kazi Samahani wakuu. Natumia unlimited ya Yas. Lakini speed yake iko chini sana baada ya kurudishwa ila kabla ilikuwa vizuri. Ningependa kujua kwa wengine wanaotumia wanapata experience gani. Dar, kwa sasa.
  6. Amydiz

    Biashara ya Bando: katika Mitandao ya Yas, Halotel, Vodacom na Airtel

    Je ni namnagani ya kuanza biashara ya kuuza bando??
  7. Mkalukungone Mwamba

    TANESCO kuna Changamoto ya Manunuzi ya Umeme Kupitia Yas, Vodacom na NMB

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake kuwa kuna changamoto kwenye manunuzi ya umeme (LUKU) inayosababisha wateja kushindwa kununua umeme kupitia mitandao ya simu ya Yas, Vodacom na benki ya NMB hivyo kwa sasa tunawashauri wateja kutumia mitandao ya simu na njia za kibenki...
  8. yello masai

    Jinsi Mixx by Yas (Tigo Pesa) walivyonilaza stendi ya basi

    Jana baada ya kupatwa na safari ya ghafla kuelekea mkoani, nikafika stendi wakati hela yangu ipo kwenye simu. Nikaenda kutoa hela kwa bahati mbaya mawakala hawakuwa na fedha taslimu, nikaingia duka moja nikakuta ana Azam pesa. Nikahamisha hela yangu kutoka Yas / Tigo kwenda Azam. La haula...
  9. Pdidy

    Yas hizi sms zenu za zawadi mnasumbua wateja

    Nikiwaletea msg ya tar flan utazawadiwa zawadi.... Badae same day nakuta umepata gb 8 utumie ndan ya siku 30 nikangalia salio nkakuta na gb 1 yangu nilinunua asbh 1.4gb nikahisi labda uchunguzi unaenselea wamekosea kuntumia Keshoyake kimya nkapiga mchana wakasema wanalifanyia kazi mpaka...
  10. M

    Wizi wa pes Mix by YAS

    Imeshangasha Pesa imeweza kuhamishwa kutola kwenye namba yangu ya YAS bila mimi kujua au kuona meseji. Imenishangaza kwasababu nimeigundua baada ya kuangalia statement kwenye Yas app na kuona nimetuma hela mara tatu kiasi cha laki 3 kwa watu nisiyowafahamu. Hakuna msaada kutoka Yas wanasema...
  11. N

    Yas yatoa msaada vifaa tiba Hospitali ya wilaya Chalinze

    KAMPUNI ya mawasiliano hapa nchini, Yas imeonesha dhamira yake ya dhati katika kuboresha ustawi wa jamii kwa kutoa msaada wa vifaa tiba muhimu katika Hospitali ya Wilaya ya Chalinze, mkoani Pwani. Mpango huo, uliongozwa na Mkurugenzi wa Kanda ya Pwani Kusini, Fadhila Saidi ambaye alimkabidhi...
  12. ndege JOHN

    Natumia yas nampigia mtu wa Airtel hapatikan ila inajibu asante kwa kutumia Vodacom namba unayopiga haipatikani

    Nimejiuliza sana mitandao yenye watalaam unaruhusu kitu km huku katika biashara..mimi natumia yas 0678 na uhakika asilimia 100 na niliyempigia mshikaji wangu Sana na NI Airtel hata Jana nimetoka kumrushia hela kwa wakala 0695 sijui alikuwa ameishiwa chaji ikajibu asante kwa kutumia Vodacom namba...
  13. Pdidy

    Numetumiwa ujumbe na Yas kuwa kuwa nimezawadiwa GB 8 bure, lakini 30 mbona sizioni kwenye salio?

    Mnatupeleka wapi Muache kututumia msg za ajabu enyi yas Kwanza mnaatuma msg weka hela kuanzia bk 2000 tar flan tunaweka bk 5 Hakuna cha zawadi wala mawadiiii Sasa mnantumia niimepata gb 8 hizo gb za wifi ama??mbona sizioni?????? EnyiYAS ACHANENI NA HAYA MA MSG TUMECHOKA
  14. Mlupembe

    Mix by Yas wazembe ni wengi

    Imekuwa ni kawaida ya hawa My x by Yas customer service kuwa wazimbe na wasiofatilia shida za wateja wao . Nimefanya malipo kwa njia ya bank post paid lakini mpaka leo lain yang haifanyi kazi , na kila ukipiga wanajibu subiri 24hrs Kampuni ina shida hii
  15. Jamii Opportunities

    Data Protection Officer at Yas August 2025

    Job Opportunity: Data Protection Officer at Yas [NEW VACANCY] Let’s grow together, become our Data Protection Officer at Yas. If this description corresponds to you, grow with us by applying before September 03, 2025. Job Overview A degree in law, information technology, computer science, data...
  16. Teknolojia ni Yetu sote

    Tanzania kutumia satellite badala ya minara ya simu kufanya mawasiliano

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (Tcra) imetoa mwongozo mpya itakayoweza kubadilisha namna ambavyo Watanzania wanavyopata huduma za simu. 🗯️ Mwongozo mpya utoaji wa mawasiliano ya moja kwa moja toka kwenye simu kwenda kwenye satellite, iliyotolewa julai 2025, huruhusu simu za mkononi...
  17. Kalamu Nzito

    Idea ya Tangazo Kwaajili ya Kampuni ya YAS

    Habari wana JF Jobless hapa wa muda mrefu. Hata hivyo nimekua niki-develop various skills ikiwemo audio production na beat making. Hivi karibuni nimeandaa project (AUDIO) ya dakika 1 ambayo nimejiridhisha kuwa itafaa kama Tangazo la mtandao wa simu wa YAS. Sijui utaratibu na sifahamu...
  18. N

    Yas Yaendeleza Mapinduzi ya Kidigitali kwa Wakulima Kupitia Mpango wa Mikopo ya Simu Janja

    Dodoma, Agosti 2025 – Kampuni ya mawasiliano ya Yas imeendelea kuonesha dhamira yake ya kuleta mabadiliko ya kidigitali kwa wakulima kwa kuendeleza mpango wa Device Financing, unaowawezesha wakulima kumiliki simu janja kwa gharama nafuu kupitia malipo ya awamu. Kupitia mpango huu, mkulima...
  19. N

    Yas yawabadilisha wakulima kidigitali kupitia mikopo ya simu janja

    Mkurugenzi wa Yas Kanda ya Kati, Bw. Said Idd (katikati) akielezea kuhusu huduma za Yas na Mixx kwa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule (kulia) katika maonyesho ya NaneNane yanayoendelea jijini Dodoma. Ziara ya Mkuu wa Mkoa ilifanyika jana jijini humo. Kushoto ni Meneja wa Mixx by Yas...
  20. Mosri_Telematics

    Yas Ultra 4G+ Unlimited WiFi inauzwa

    Yas Ultra 4G+ Unlimited Wi Fi (Nane Nane Offer ) Ndio, Sasa ni kwa Tshs. 99,000/= tu!✔️ Unajipatia Router yako Popote ulipo🇹🇿, KIFAA MAALUMU & CHENYE KASI KUBWA🔥 (Kukidhi matumizi ya watu wote) ✔️ WANAFUNZI ✔️ WATUMISHI (Sekta zote) ✔️ TAASISI (Umma na Binafsi) ✔️ OFISI / KAMPUNI ✔️...
Back
Top Bottom