yard

The yard (symbol: yd) is an English unit of length, in both the British imperial and US customary systems of measurement, that comprises 3 feet or 36 inches. Since 1959 it is by international agreement standardized as exactly 0.9144 meters. 1,760 yards is equal to 1 mile.
The US survey yard is very slightly longer.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali tusaidieni wananchi, magari yanayouzwa kwenye yard za Wapakistan mitaa ya Morocco na Victoria ni mabovu sana

    Serikali itupie macho uhuni unaofanywa na hawa wafanyabiashara wa magari wenye asili ya Pakistan. Jana mida ya saa sita mchana tulienda na rafiki yangu kwenye moja ya maduka (yard) ya kuuzia magari. Rafiki yangu alikuwa anataka Toyota Probox kwa ajili ya kubebea mizigo yake Kariakoo na kwenye...
  2. JamiiForums Tanzania Ni ipi yard ya kuaminika ya kuuza magari Dar?

    Wakuu habari ya mchana? Nimechoka kutembea kwa miguu, nataka nikavute gari yadi leo. Ni yadi gani ya kuaminika hapa Dar achana na zile yadi kwa kutuuzia magari ambayo wameyatoa Zanzibar.
  3. JamiiForums Tanzania Tambua namna ya kujua uhalali wa mileage ya gari unalonunua Yard au kwa mtu

    Wakuu Habari, Leo nimeona nielezee kidogo kwa namna gani unaweza kujua uhalali wa kilometer zinazosoma kwenye gari unalotaka kununua either mkononi kwa mtu ama yard. Hii njia haitaweza kuapply kwa magari yote kwa sababu mbali mbali ikiwemo kwamba kipindi fulani hapa nyuma magari yalikuwa...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto akataa Scotland Yard kusaidia uchunguzi mauaji yenye utata

    Ni majibu ya Rais William Ruto kwa Raila Odinga aliyetaka wapelelezi hao kuchunguza mauaji ya aliyekuwa Meneja wa Mifumo ya TEHAMA wa Tume ya Uchaguzi IEBC mwaka 2017. Ruto amesema "Hatuhitaji ushauri kutoka Scotland Yard kuondoa na kuvunja vitengo vya mauaji katika jeshi letu la polisi...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania President Kenyatta is expected to launch a ship yard in Mombasa.

    Eneo la kujengea meli linatarajiwa kuzinduliwa na rais Kenyatta huko Mombasa.
  6. JamiiForums Tanzania Msaada nataka kufungua yard ya mbao Dar es Salaam

    Kwa wazoefu naomba kujua faida na changamoto za kufungua Yard ya mbao jijini Dar es Salaam au Arusha na Mwanza. Ushauri wako ni Muhimu sana ndugu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…