yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Yanga Fanyeni hivi Haraka iwezekanavyo Lazima Yanga icheze Nusu Fainali

    Aliyewahi kuwa Makamu wa Rais wa Bunge la Afrika (PAP) na Mbunge wa Shinyanga Mjini, Stephen Masele amesema Yanga inaweza kukata rufaa CAF kupitia kifungu cha sheria za mpira za CAF namba XVI kifungu namba 3 kupinga kitendo cha kukataliwa goli alilofunga Aziz Ki. Masele ameshauri Viongozi wa...
  2. JamiiForums Tanzania Yanga mnaolia sana malengo yenu ilikua makundi robo ni kama bonasi

    Inashangaza kuona yanga wanalilia goli ambalo sio goli ,mpaka refa anyoshe kati ndio linakua goli. Pili kujitoa ufahamu wa kulilia nusu fainali ilihali mnajua viongozi wenu walishawatangazia malengo yenu ni kufika makundi hiyo robo ni kama bonasi hivyo mjue viongozi wakienda chooni hucheka peke...
  3. JamiiForums Tanzania Mnapojadili kuwa Yanga kaonewa mjadili pia ubovu wa Yanga kwenye upigaji wa penati

    Mnalaumu eti refa kakataa goli la Yanga, mnaongea kwa uchungu na jazba huku mkitokwa mate na kamasi. Hamgusii chochote kuhusu kipindi cha penati. Katika kupigiana penati mlipata nafasi nzuri ya kumuumbua huyo aliyewanyima goli, lakini kwa sababu ya ubutu wa wapigaji hamkufanya lolote. Huyo...
  4. JamiiForums Tanzania Goli la Yanga dhidi ya Mamelodi mzozo ni mkubwa South Africa kuliko Tanzania, CAF inapoteza credibility

    Gumzo linaloendelea hapa South Africa kwenye mitandao ni kwamba Yanga ndio wameshinda mechi lakini Mamelodi ndio walionufaika. Nikiweka ushabiki wangu pembeni Mimi huwa napenda Sana kujifunza Vitu nisivyovijuwa. South Africa wapinzani ni Chiefs na Orlando, lakini ukiwafuatilia vizuri unakuta...
  5. JamiiForums Tanzania Endapo yanga wakikata rufaa naikagundulika ni goli, betpawa wanilipe pesa yangu nilibetia yanga ashinde

    Ni siku ya maumivu Sana Jana na Leo kukataliwa kwa goli la yanga walipocheza. Mameloni wamefanya hujuma. Maumivu yangu sio yanga kufuzu Ila ni pesa ambayo ilibid nile kwasababu nilibetia yanga apate goli moja Ninaomba yanga wafungue kesi ili wakishinda basi mm nipate pesa yangu, betpawa hii...
  6. JamiiForums Tanzania Mimi lawama zote nazielekeza kwa team ya azam fc wametimiza lengo lao la kuikomesha yanga

    Figisu kwa team ya young African zilianza kwenye match dhidi ya azam ile match tulioangalia wote tutakubaliana hapa kuwa azam alipania kuwaumiza wachezaji nyota wa young African kwa makusudi ili kuwakomoa kutokana na mgogoro uliokuwa umeibuka baina ya team hizo mbili na kupelekea yanga kupata...
  7. JamiiForums Tanzania Hongera Yanga! Mmeonesha mna na timu ya aina gani. Nawaona mbali ndani ya miaka 2 ijayo kwa ubora wenu

    Kwanza kabisa nichukue nafasi hii kuwapongeza viongozi, wachezaji, wanachama na mashabiki wa yanga popote pale walipo kwa kuiunga mkono timu yao ndani na nje ya nchi. Kusema na ukweli yanga imetengeneza timu ambayo inaanza kuwa tishio barani afrika kwa timu zote, pamoja na uchanga wake kwenye...
  8. JamiiForums Tanzania Timu ya yanga inachezesha wachezaji wengi wa nje kuliko wazawa

    TFf ilichuku.ie hili Wazawa tunakosa fursa ya kung'ara kimataifa. Tutapata wapi nafasi ya kuonekana kimataifa. Tunastahili kichezeshwa wengi https://www.jamiiforums.com/threads/wachezaji-12-wageni-kwenye-timu-ni-sumu-kwa-taifa-stars.2179131/
  9. JamiiForums Tanzania Kocha Mokwena: Yanga walinizidi kila kitu

    “Kwa kifupi sina cha kusema kuhusu Yanga wamenizidi karibia kila eneo kwenye michezo yote miwili hilo napaswa kulikubali, lakini pia siwezi kuzungumzia kuhusu goli lao kama ni halali au sio halali kwakuwa naelewa hata ingekuwa mimi ni Yanga nisingesema tofauti” Coach Rulani Mokwena kwenye...
  10. JamiiForums Tanzania Kwa heshima ya Motsepe na Mamelodi. Mamelodi wajitoe kwenye hatua ya nusu fainali ili nafasi yao ichukuliwe na Yanga

    Motsepe ametia aibu soka la Afrika. Hata waarabu huwa hawakataagi magoli ya wazi namna hiyo.. kiasi inakuwa ngumu ku rule out kwamba refa amekuwa bribed. Afrika nzima inaandamana mtandaoni wanasema "it was a clear goal" Kuna hashtag ina sanaa kama moto wa nyikani huko mtandaoni watu wanasema...
  11. JamiiForums Tanzania Kwa hakika Yanga Imeonewa kwa ukubwa sana japo mimi ni Simba ila ukweli usemwe kuwa lile ni goli

    Kama umetazama Mpira utagundua Lile lilikuwa ni Goli safi walilofunga yanga lakini Refa Na VAR ya kizushi imekataa. Naibu waziri wa michezo kasema Mhe Hamisi Mwinjuma au Mwanafalsafa kasema kuwa hilo watalifanyia kazi. Sasa Nakukaribisha na wewe Uangalia Kweli hili sio goli?
  12. JamiiForums Tanzania Wasemavyo wadau na club nyingine Afrika na kile Kinachoendelea katika Page ya CAF baada ya Goli la Yanga kukataliwa

    Kumekuwa na lawama na Malalamiko toka kila sehemu Afrika kupinga na kuonesha kukerwa kwa kuonewa kwa Yanga kwa kukataliwa kwa Goli lao. Ukienda kwenye page ya CAF ndio utaona namna wadau toka kila pembe ya Afrika wakilaumu huku wengine hususani baadhi ya vilabu kuonesha hisia zao na kusema...
  13. JamiiForums Tanzania Yanga wametoka kihalali kabisa

    Hamjambo!!!( utajaza mwenyewe) Yanga acheni kudanganya watu kuwa mmedhurumiwa goli. Nakuichafua CAF.
  14. JamiiForums Tanzania Kwa uonevu wa wazi dhidi ya goli la Yanga leo, suluhisho ni timu za Tanzania kujitoa mashindano ya Afrika. Na tujitoe kwa staili hii

    Goli limeingia, saa ya refa imelia kuashiria goli limeingia. Read anapokea maelekezo kutoka kwa watu wa v.a.r ( probably watu wa motsepe) Yani hata kwenda kuangalia tu var kimchongo amejistukia amekataa hata kwenda . Dah ushoga mtupu. Suluhisho ni kwa timu za Tanzania kujitoa kwenye...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Maumivu ya wana Yanga kwakunyimwa goli ni nusu tu ya maumivu wanayopitia wananchi wanapoibiwa kura na CCM

    Maumivu ya wana Yanga yanaweza yakawa maumivu yanayogusa wananchi wenye itikadi mbalimbali kisiasa na dini. Kwa wale mashabiki wa Yanga ambao pia ni wanachama wa CCM napenda kuwaambia maumivu waliyonayo kwa mwamuzi kutokutenda haki ni nusu ya maumivu waliyonayo wananchi wanapoibiwa kura...
  16. JamiiForums Tanzania Rasmi sasa Yanga waianza safari ya Mwakarobo waliyokuwa wanaibeza

    Usitukane Mamba wakati bado hujavuka mto. Yanga na kuibeza simba kwa kuiita Mwakarobo, sasa wao nao waianza safari ya Mwakarobo baada ya kuishia Robo Fainali.
  17. JamiiForums Tanzania CAF quater final; simba vs al ahly &mamelody sundown vs yanga

    Leo kutakiwa kuna kivumbi cha caf quarter final baini ya simba vs all ahly huku kule kuna mamelody sundown vs yanga Mijadala yote ya game hizi ijadiliwe hapa but poleni kwa atayepoteza na hongera kwa atakaye fuzu
  18. JamiiForums Tanzania Faida za Yanga na Simba kuingia nusu fainali

    Ukiacha Usimba na Uyanga pembeni kuna faida kubwa ya timu zetu kuingia nusu fainali kuliko unazi wetu a) Kwanza Simba atapanda kiwango na rank toka point 39 mpka 54 Hiyo ni regardless kama Es Tunis atafuzu b) Hivyo hata msimu ujao wa kwenye upangaji wa makundi atapanda Toka pot 3 kwenda pot 2...
  19. JamiiForums Tanzania FT: Mamelodi Sundowns 0-0 Yanga SC | CAF CL Quarter Final | Leg 2 | Loftus Versfeld Stadium | 05/04/2024 (Penat 3-2)

    2nd Leg Match CAF CHAMPION LEAGUE QUARTER FINAL. Mamelodi Sundowns vs Yanga Sc Time: 9:00Pm Stadium: Loftus Versfeld Stadium More Updates following... Kikosi Cha Yanga Kinachoanza Kazini kwetu kuna Kazi. Kikosi Cha Mamelodi Sundowns Kinachoanza. Mpira unaendelea kwa kasi . Timu...
  20. JamiiForums Tanzania Kauli zitakazotamba kesho baada ya mechi na Yanga CCL

    1.Hawa Simba wamoto sana.This time kombe wapewe mapema. 2.Nilijua tu Mamelod hawezi kutolewa na UTO. 3.Huyu Kibu karogwa siyo bure. 4.Viongozi hawajali hisia za mashabiki. Tutachekwa mpaka lini? Ongeza yako....
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…