yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. M

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza Derby ya Simba vs Yanga itakosa mvuto na mapato kwa sababu ya ulofa wa Simba

    Kila shabiki na mwanachama pamoja na viongozi wa Simba hawana tena hamu na mpira, mara ya kwanza akina Jaribu Tena walikuwa wakidanganya watu kuwa Simba ni dude kubwa, Simba ndio timu bora Tanzania, wengi wakaingia mtumbwi wa kibwengo, mara Yanga inabebwa, Yanga mbovu, cjui nini sasa leo ukweli...
  2. JamiiForums Tanzania Tetesi: Hiki kinachofanyika hapa kwenye ligi kuu ya bongo ni dhahiri Yanga atakua bingwa kila msimu!

    Nimeangalia michezo ya Yanga vs Ihefu(Singida black stars) na mchezo wa leo ni hakika hizi timu mbili zipo hapo kumtengenezea Yanga point 12 kila msimu, na hiyo imefanywa kwa makusudi na mmiliki wa hizo timu ambae ni mmoja wa baraza la wadhamini wa Yanga. Wengi wasichokijua nyuma ya pazia...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Beno Kakolanya atoroka kambini kuelekea Mechi na Yanga SC

    Kablu ya Singida Fountain Gate imesikitishwa na kitendo cha gilikipa wao Beno Kakolanya cha kutoroka kambini muda mchache kuelekea game yao dhidi ya Yanga. Singida wanakichukulia kitendo hicho kama ni hujma na wanafatilia kwa undani pamoja na wachezaji wengine wote wenye viashiria vya kuihujuma...
  4. JamiiForums Tanzania Ni kweli Simba SC ya sasa ina 'dema dema' na kukatisha Tamaa, ila Yanga SC nawaonya acheni Kubweteka, Kutudharau na Kumaliza maneno yote sawa?

    Na kumbukeni Simba SC ikifanikiwa tu Kuwafunga katika Derby ijayo Pengo ( Gap ) litabaki la Alama ( Points ) Tatu ( 3 ) na kwa Mkakati wa Dharula wa Kimafia ambao nimeusikia unapangwa mahala upo Uwezekano mkubwa wana Yanga SC wanaojiamini kuwa tayari Wameshakuwa Mabingwa kutokana na Matokeo...
  5. JamiiForums Tanzania Tarehe 12.5.2024 Yanga atatangazwa Bingwa Msimuu huu na Mimi Tarehe hio itakua siku ya Birthday Yangu.

    Hatimae ndoto ambayo niliyokua naiota Miaka Mingi inaenda kutimizwa..Nimekua nikiomba sana Siku ninayosherekea siku yangu ya kuzaliwa Mtu wa soka,Mtu ambae nimezaliwa Kutoka kwa mama Mnyarwanda Mpenda Football ambae Ndoto yake kubwa ilikua siku moja anione nachezea Manchester United ila sema tu...
  6. JamiiForums Tanzania FT: Singida FGT 0-3 Yanga SC | NBC Premier League | CCM Kirumba | 14.4.2024

    Leo kutakuwa na Sportpesa derby baini ya Singida vs Yanga FC mnamo saa 10:00 jioni CCM Kirumba. Ni mechi Kali ya kusaka pointi muhimu tena kwa Yanga na mwenyeji Singida. Kikosi cha kwanza cha yanga kinachoanza
  7. JamiiForums Tanzania April 20 Yanga atashinda goli 2+

    Tukielekea mechi ya watani 20 apr yanga atashinda kuanzia 2+ FT KUANZIA KOLI 3+ Mechi itakuwa ngumu kipindi cha kwanza cha pili magoli yatakuwa ya kutosha Wafungaji wa yanga kati ya Mzize Mudathir Aziz.K Jgwede...... Mwisho nawatakia mechi njema wote mtakaoelekea taifa
  8. JamiiForums Tanzania Klabu Yanga yafungiwa kusajili na Shirikisho la soka Duniani (FIFA)

    Klabu ya Young Africans iliyoko Ligi Kuu ya NBC imefungiwa kufanya usajili kwa kukiuka kanuni za Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA). Uamuzi huo umefanywa na FIFA baada ya klabu hiyo kukiuka Annexe 3 ya Kanuni ya Uhamisho wa Wachezaji (RSTP) ya Shirikisho hilo. Pamoja na masuala...
  9. JamiiForums Tanzania Pacome ameanza mazoezi Yanga na atajumuishwa kwenye msafara wa Mwanza

    Habari nilizonazo mpaka sasa afya ya Pacome imeimarika na atasafiri na kikosi kuelekea Mwanza. Lolote linaweza kutokea haswa mechi ya derby. Yao Kwasi bado kuna uwezekano akaikosa mechi tatu zinazokuja.
  10. JamiiForums Tanzania Naomba kujua Faini ambayo Simba SC ikijivunja Kucheza na Yanga SC itapigwa ili niichangishe kalipwe haraka tukikwepe Kikombe kijacho cha Aibu Kubwa

    Yaani una Job na Fred halafu kabisa Mtu mzima umekalisha Kende zako Komavu kama Kungu ndio umfunge Yanga SC?
  11. JamiiForums Tanzania Licha ya mapungufu ya Mayele ila pale Yanga kuna kitu hakipo sawa

    Kumekuwa na misuguano ya mara kwa mara kwa clabu ya Yanga dhidi ya wachezaji wake tena wakubwa tu. Morrison Feisal Mayele Bangala Shaban djuma Kwa mantiki hii inaonyesha kuna ukandamizaji mkubwa sana wa kimkataba kwenye hivi vilabu vyetu. Kama hawa wachezaji wakubwa tu wanalalama vipi kina...
  12. JamiiForums Tanzania Patrick Nyembera ndio adui mkubwa wa Yanga. Wananchi tuunganishe nguvu kuingia nae vitani

    Wananchi huyu shabiki wa Simba aitwae Patrick Nyembera anaefanya kazi Azam media amekuwa akitumia nafasi yake pale Azam kuihujumu Yanga. Popote utapomuona huyu kolo mwambie kaa mbali na Yanga ikibidi tumia ile kauli mbiu sisi tuna watu.
  13. JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa makolo

    Wanathiimbaaaa!!! Naaam kama mbumbumbu efusii walivyoitwa na msemaji wao mwenye upeo finyu ndugu Ahmed ally, nami sina budi kushuka na uzi huu utakaojikita kuchambua masuala mbalimbali yanayowahusu makolo, Simbilizi, mbumbumbu au ukipenda waite mazumbukuku academy !! Kuwa shabiki wa makolo ni...
  14. JamiiForums Tanzania Nitawahadithia watoto wangu na wajukuu kuwa Yanga ilifika hatua ya nusu fainali baada ya kuitoa Mamelod Sundowns lakini ikafanyiwa hila

    Hivi ndivyo ninavyojua na ndivyo itakavyobaki katika Halmashauri ya Kichwa changu. Kwamba Young Africans mwaka 2023-2024 walishiriki CAF CC na kufika hatua ya nusu fainali kwa kuifunga timu ya Mamelod Sundowns Goli 1 -0. Timu hiyo ilinyimwa ushindi huo kwa maksudi ya VAR officials kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Ni kwanini SIMBA SC ndiyo timu pekee iliyofungwa Home and Away kwenye CCL 2023/2024 na pia ndo timu iliyofungwa magori mengi zaidi kwe michuano hii

    Mashabiki na viongozi wa SIMBA SC wamekua wakijinasibu ya kwamba SIMBA SC ni timu bora. SIMBA SC pamoja na kupangwa kundi bovu lakini ilifuzu kwa tabu sana. SIMBA SC imetolewa kwa kipigo cha aibu cha nje ndani kutoka kwa Ahly iliyojichokea sana msimu huu. Je ubora wa SIMBA ni upi? Je, nini...
  16. JamiiForums Tanzania Physics principal inasema sio goli, sawa Yanga!

    Tuliosoma physics tunasema Lile sio goli, kutokana na principal za physics...kama mpira ungezama wote possibility ya mpira kurudi uwanjani bila kugusa nyavu ni 0%
  17. JamiiForums Tanzania Bein Sport yatoa ufafanuzi na ushahidi wa goli Tata la Yanga dhidi ya Mamelodi

    Hatimaye, kituo cha bein Sport kimetoa ufafanuzi na ushahidi kuwa goli la Azizi Ki halikuwa goli halali kwakuwa mpira haukuvuka wote kwa asilimia 100 kama kanuni zinavyotaka. Video imeambatanisha. NB: mjumbe hatukanwi jamani maana raia Wana jazba hatari
  18. JamiiForums Tanzania Dalili zinaonesha, Yanga lazima ichukie ubingwa klabu bingwa msimu ujao

    Nimeangalia katika angle mbalimbali, ninejiridhidha, kombe linatuwa Jangwani. Ukibisha, bisha kwa hoja.
  19. JamiiForums Tanzania Yanga mlishawahi kufungwa goli Refa akasema ni kona. MNAKUMBUKA??

    Kwenye ligi yetu iliwahi kutokea. Yanga MNAKUMBUKA??
  20. N

    JamiiForums Tanzania Klabu ya Yanga itakuwa maarufu sana

    habari zenu. Klichotokea ijumaa wengi tulikiona kwenye TV na wengine ambao hawajacheki mpira wameona clip zikitembea kwenye kila social network duniani kote,mjadala mkubwa umekuwa kwanini yanga wanyimwe goli la wazi?? Kumekuwa na mjadala mkubwa kwa wachambuzi duniani kuhusu goli la azizi ki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…