Hapo vipi.
Kwa mpira waleo siwashauri yanga wawelete wale wazee uwanjani watakuja kuwasababishia kisukari na presha.
Kwa mpira wa leo waliocheza Simba dhdi ya APR ilyoifunga Yanga juzi bao 3 kwa 1 naona Yanga watapasulia kama mayai pale uwanjani
Siku zote mpira ni sayansi na sio propaganda Wala mipasho, bado Simba wanayo kazi ya ziada kuijenga timu yao!
Muunganiko na uwezo wa wachezaji waliosajiliwa bado ni mdogo sana, yule Joshua mutale anayesifiwa ni mchezaji machachari na sio mchezaji hatari. Hana tofauti na kisinda aliyekuwa yanga...
Kwenye hii video Manara anadai kuna Fact ambayo haisemwi kuwa Simba ilianza kuuza jezi na tiketi wiki 5 nyuma.
Yanga wametumia wiki 1 tu kuuza tiketi na jezi na zimeisha, huku akisema kuna propaganda ambazo yeye alikuwa anatumia huenda ndio Simba wametumia kuonesha wamemaliza tiketi zao( Sold...
Kuna mchuano mkali hapa, atakayetangaza nadhani ndo picha halisi kwamba ana nguvu kuliko mwenzake ndani ya Yanga.
Hapo lazima kutakuwa na anguko la mmoja kati ya hao hapo
Labda kuondoa sintofahamu atangaze Maulid Kitenge.
Je, kwa mawazo yako nani atapewa kipaza sauti siku hiyo?
For the upcoming match between Simba SC (Tanzania) and APR (Rwanda) on August 3, 2024, let's consider the current form, previous performances, and other relevant factors to make a predictive score.
Given that Simba SC is one of the top teams in Tanzania and has a strong squad, while APR is also...
Hii timu kweli huu ubingwa wanaupata kihalali au wanatumia uchawi wa kizungu kwa timu kinzani.? Haiwezekani timu inachukua ubingwa 3 years consecutive lakin mashabiki wake bado wanashabikia mtandaoni na hawana imani zaidi ya timu yao.
Kutwa kubishana mshahara wa Azizi Ki mara azizi anatoka na...
Jamaa bana wakimuomba Diamond akapige show siku yao ya jumapili pale kwa mkapa, maana wao wanacheza trh 4 na sisi tunaanza trh 3 kuutumia, tunaujambiaaa halaf wao wanakuja kutumia kudadeki, basi walimuomba mzee wa Komasava akapige show, unajua alichowajibu.
Aliwaambia anawaheshimu sana na...
Wimbo mzuri sana ila umewataja tu kina Yao, Bacca, Zingeli, Aucho, Chama, Aziz, Dube na Baleke.
Kipa wetu bora kabisa Diara hujamtaja. Huyo Aziz uliyemtaja ungemalizia Ki maana haijulikani ni yupi kati ya wawili tulionao. Hivi unamuachaje Musonda.
Kwanini usiwakumbuke wachezaji wazawa kama...
klabu ya Yanga imemtangaza msanii harmonize kutumbuiza katika kilele cha siku ya wananchi tarehe august4 siku ya jumapili na tayari msanii huyo ametambulisha nyimbo yake mpya atakayo tumbuiza siku hiyo ya wananchi. Huyu ni miongoni mwa wasanii wengi watakao tumbuiza siku hiyo, huu ni ushahidi...
Napenda kuushukuru uongozi wa Yanga ambao kupitiabmsemaji wetu Ali Kamwe walitutangazia kuwa Tickets za VIP zote ni Sold Out.
Naomba niwakumbushe kwamba, maadam VIP zimeshauzwa zote, ni vyema wakatutangazia mapema kuhusu kuingia bure siku ya Wananchi ili tuweze kujiandaa kuujaza Uwania, na...
🟢Kila Siku naskia mnatamba kuwa nyie ni Timu kubwa sana Africa, inakuwaje mpaka Sasa sold out ni VIP A tu?
Wananchi inaonekana ikifika swala la Hela huwa mnavua jezi kabsaa mnasubili tamasha liishe ndio mvae tena jezi.
Hii sio sawa igeni mfano mzuri kwa mashabiki wa Simba.
Na Walianza kuuza...
Msimu uliopita tumekwazika sana, pengine katika maisha yetu ya soka hasa kwa vijana wa kizazi hiki wasioijua simba msimu uliopita tulipoteana sana, sisi ndio tumewafanya Yanga waonekane wako juu kutokana na kuhujumiana, kusalitiana, migogoro ya wenyewe kwa wenyewe nk.
Hata hivyo mambo yote hayo...
Ifike pahali hawa Vibonde Yanga na Simba ipigwe mbugi hata kama ya pre season ama kirafiki kwa neutral ground, namanisha sio bongo lets say ngoma inapigiwa Kasarani huko ama kwa Madiba na ikibidi Ulaya Ulaya.
Wanaogopana mbona wenziwe huko utasikia City anakichapa na Barca, mara Chelsea vs Man...
Nimerudia kuitazama mara tatu ile mechi kati ya Kaizer Chiefs vs Yanga mashindano ya TOYOTA Cup nimebaini kuwa Kaizer Chiefs haikuwa timu mbovu hata kidogo, ni makosa madogomadogo ya kukosa pumzi na muunganiko kuliko Yanga kulikosababisha Kaizer kuchapwa 4-0. Nabi hana kazi ngumu sana kuifanya...
kikosi cha timu ya wanawake simba queens kimesajili viungo wapya kutoka timu ya yanga princess. viungo hao washambuliaji ni Precius Christopher, kiungo mkabaji Saiki Atinuke na mlinzi wa kushoto Winkate Kaari. mambo ya ubaya ubwela
Ratiba ya wiki ya Mwananchi inaonesha kuwa siku ya ijumaa ni siku maalumu ya dua kwaajili ya timu yetu.
Napendekeza kuwa kwakuwa wachezaji, wanachama na mashabiki wa Yanga ni watu wa imani mbalimbali, basi tukio hili liheshimu imani zao kwa kuwa na uwakilishi wa viongozi wa imani mbalimbali...
Kitu kizuri ni kizuri tu. Lakini sio kwa hii jezi. Weka ushabiki pembeni ugundue hizi sio jezi za mpira bali ni vitenge.
Kwa nini Yanga inatumia nguvu kuaminisha vitenge vinaweza kutumika kwenye mpira? Mara Daimond, mara Manara. Hii ni soka, sio sawa kuwavisha watu vitenge kwenye soka