yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. S

    JamiiForums Tanzania Kama Yanga inabebwa na waamuzi, kwanini Simba walifumua karibu kikosi kizima? Na je, waamuzi wa CAF nao wanaibeba Yanga iliyofika fainali ya CAFCC?

    Tangu msimu uliopita, Simba wamekuwa wakilaumu waamuzi kuwa wanaibeba Yanga na huku Mfadhili wa Yanga, Bwana GSM akibebeswa lawama zaidi. Mbali na waamuzi, pia wamekuiwa wakiilaumu TFF kuwa inashiriki kuihujumu Simba. Tukiacha haya ya humu nchini, wakati Yanga anafika mpaka fainali ya CAFCC...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Mabao ya Yanga na Kisa cha asiyeridhishwa

    Ukweli usemwe tu, Hili bao Moja Moja la Yanga, limekuwa kero sana hivi Sasa huku mtaani. Waliopigwa bao wanabeza sana na kuona sasa mmeanza kukata pumzi. Utasikia bao lenyewe Moja, hawana kitu wale!! Kocha Gamondi vipi? Ulishazoesha watu mechi ni bao tano bila kukata pumzi huku wao wakiomba...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kuna siku Yanga itatufunga goli 7

    Ndugu zangu, wana-msimbazi wenzangu kwanza tujipe pole kwa kupoteza derby ya nne mfululizo. Ila tukubaliane kwamba timu yetu ni takataka na ya hovyo sana mbele ya ma-giant Yanga Africa, sisi ni mbumbumbu tunaopelekeshwa. Yanga ndio timu bora ya muda wote, takwimu zinathibitisha hilo, sisi...
  4. JamiiForums Tanzania Yanga Tupunguze Maneno, Jana hatujashinda Goli hata moja, kuna cha kujifunza hapa

    Huu mpira wa Media ndio iliifanya SSC kuporomoka sana na kufikia hapo ilipofikia. Goli ambalo hatuwezi kujivunia nalo deep down lisitutoe kwenye reli kuwa kuna TAFSIRI 2 1. Inawezekana Yanga SC Imeanza kuwa na kiwango cha kawaida au wachezaji wetu wameanza kuchoka, Sijaona Shambulia la hatari...
  5. JamiiForums Tanzania KESHO YA SIMBA NI BORA KULIKO LEO YA YANGA

    Ni kweli Simba kafungwa mechi 4 mfululizo na kapoteza ubingwa mara 3 mfululizo lakini haiondoi ukweli kwamba muelekeo wa ni sahihi na wanakaribia kuupata ule ubora wao wa misimu minne iliyopita. Simba kwa sasa haifungwi kwa makosa ya kiufundi ya Timu nzima bali inafungwa kwa makosa ya...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mtaa zilivyofanyika kwenya mechi ya Simba Vs Yanga

    Mashabiki wa mpira wa miguu waliamua kutumia mabango mbalimbali wakati wa mchezo wa Simba na Yanga kupata picha za ukumbusho nje ya Uwanja wa Benjamini Mkapa ambazo zimetumika pia kutangaza uchaguzi wa Serikali za Mtaa. Mashabiki wa Simba na Yanga wametumia mchezo wa Derby ya Kariakoo leo...
  7. JamiiForums Tanzania Niliposema hapa hapa JamiiForums kuwa Simba SC isipoteze muda Kucheza na Yanga SC na iwape tu Points zao 6 nilikosea au nilikuwa sawa?

    Na leo narudia tena kusema hicho hicho kuwa Simba SC iwaombe TFF iwape Yanga SC alama (points) zao Sita (6) kwani kamwe kwa aina ya Viongozi Wanafiki na Virusi Watano walioko Klabuni akiwemo Msemaji Ahmed Ali Simba SC haitoifunga kamwe Yanga SC. Kwa kujiamini kabisa leo narudia tena kusema...
  8. JamiiForums Tanzania Derby ya Kariakoo ichezeshwe na Marefa kutoka nje

    Marefa toka nje wawe wanachezesha derby ya kariakoo,inashangaza marefa wa ndani kurudia makosa yale yale kubeba timu moja.  Sehemu ambayo kadi nyekundu inatakiwa haitolewi,penati zinazostahili zinaminywa kubeba timu flani. Rushwa nje nje, Chama anaingia kupiga foul aliyotengenezewa mazingira.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Huwezi kufungwa mara 4 mfululizo kwa bahati mbaya, siku mkiukubali ubora wa yanga na kuwaheshimu mtafanikiwa kupata matokeo!

    Napenda kuwaeleza Hawa mashabiki na wanachama oya oya wa Simba pamoja na viongozi wao kwamba daraja aliloweka yanga kwa sasa na wao bado awajalifikia, bado yanga Wana ubora mkubwa ukilinganisha na Simba! Ukiangalia ubora wa mchezaji Mmoja Mmoja pamoja na uzoefu kwa vikosi vyote viwili utagundua...
  10. JamiiForums Tanzania FT: Simba 0 - 1 Yanga | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | Oktoba 19, 2024

    Kariakoo Derby! Simba Vs Yanga, mchezo wa kukata na shoka. Je, Simba atafuta Uteja wa kufungwa na Yanga mfululizo? Kwa LigiKuu msimu huu, Simba imecheza michezo 5 ikikusanya alama 13 na Yanga michezo 4 ikikusanya alama 12. Katika siku hizi za karibuni Yanga imeonekana kupata matokeo Chanya...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ramadhan Kayoko ndiye mwamuzi mbovu katika NBC Premier League! Freekick uliyowazawadia Yanga imeigharimu Simba

    Yaani baada ya kuona TFF imemchagua Kayoko kuwa mwamuzi katika mechi ya Derby ya Kariakoo moja kwa moja nikajua Simba hashindi mechi hii. Yaani kila nikirejea picha za tukio ambalo ameizawadia Yanga freekick sioni kosa alilolifanya Okejepha. Na baada ya kuona Chama ameingia na anaenda kupiga...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Mambo 10 Niliyoyaona Leo Simba ikiadhibiwa tena na Yanga mara ya Nne Mfululizo

    1. Timu yetu ya Simba imecheza vizuri sana kilichotugharimu ni sub, kiukwel hatuna wachezaji wazuri wa sub ndio maana kipindi cha pili sikushangaa kuona Yanga wakipata bao la pili 2. Yussuf Kagoma ni mchezaji mzuri sana lakini Simba isimtegemee sana kwa sababu pancha nyingi sana 3. Kocha wetu...
  13. JamiiForums Tanzania Orodha ya wachezaji wa Yanga walioshuka kiwango 2024

    1 Aziz Ki 2.Dube 3.Mzize 4.... Endelezeni.......
  14. JamiiForums Tanzania Wazazi wengi wa Kitanzania hawana mali za kuwarithisha watoto wao zaidi ya Simba na Yanga

    Habari zenu! Mada inajieleza. Wazazi wengi bongo hawana cha kuwarithisha watoto wao zaidi ya Simba au Yanga. Jitahidi ufanye chini juu uache urithi wa kueleweka.
  15. JamiiForums Tanzania Tuwakumbushe watoto wa 2000 na waweka mabango kuhusu mechi za simba na yanga

    Tuweke kumbukumbu sawa yanga ashapigwa na simba 1.6-0 2.5-0 3.4-1 4.3-1 5.2-0 6.1-0 Yanga washakimbia kabla ya mechi mara mbili na moja kipindi cha pili wakaingia mitini hizi ni rekodi za simba kuinyanyasa yanga Uto tunaitaka rekodi kama hii tuione!
  16. JamiiForums Tanzania Mechi ya saa kumi na moja kawaida yanga anakufa na hili ndilo linakwenda kutokea!

    Mnakumbuka yanga walipokimbia mechi ya saa kumi na moja basi aliendesha tuisila kisinda basi lilikua bovu lakini speed yake ilikuwa ni ya kimondo, Wazee wa yanga wanajua mananzili muda saa kumi na moja kinyota si muda wao. Kiutaalamu majini yao yanakuwa yamelala yakilala hayataki usumbufu hivyo...
  17. JamiiForums Tanzania Tabiri mechi ya Simba Vs Yanga itaishaje baada ya filimbi ya mwisho

    Kama uzi unavyojieleza; Simba 2-1 Yanga Twende kazi,tuone utabiri wako…
  18. JamiiForums Tanzania Uongozi wa Yanga ujitafakari

    Aliyekuwa Mchezaji wa Yanga Hafiz Konkoni ameshinda kesi yake ya madai dhidi ya Klabu hiyo (Yanga) akidai fidia yake baada ya kuvunjiwa mkataba, Yanga wamepokea barua ya maamuzi ya kesi hiyo kutoka FIFA Jana Oktoba 17, 2024. Hii inakuja siku chache baada ya Mchezaji mwingine Augustine Okrah...
  19. JamiiForums Tanzania Simba ikimfunga Yanga narusha humu picha bila nguo. Kuonesha ni aibu na impossible

    Simba ni kikundi cha wahuni wamekusanywa wakaamua wawe wanacheza pamoja. Hamna kitu kabisa pale. Haiwezekani wakamfunga Yanga. Nitapost picha bila nguo kabisa muone kuwa nimedhalilika sana kufungwa na wahuni wa Simba.
  20. JamiiForums Tanzania Nimechungulia mahali Yanga anapigwa 3-0

    Nipo nje ya mji hapa . Nimechungulia mahali . Yanga anazabuliwa 3-0.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…