yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. M

    JamiiForums Tanzania AZAM TUNAWAPONGEZA KWA USHINDI, GSM AWEZI KULAUMIWA LEO KUWA ANAHARIBU LIGI KWA KUWA YANGA KAPOTEZA, BASI TUISHI HUMO!

    Ni vizuri tukawapa hongera zao Azam fc kwa ushindi wao Leo hii dhidi ya yanga ndio Mpira akuna timu inaweza kumaliza ligi nzima yenye ushindani bila kufungwa ama kuruhusu goli ni ngumu! Lakini pia tunapenda kutoa angalizo kwa wale wote walioujulia Mpira ukubwani kwamba timu yako inapopoteza ama...
  2. JamiiForums Tanzania Si tulisema hatufungwi na Uwanja wa Chamazi ni wetu Kinyota je, leo imekuwaje?

    Asante Mungu
  3. L

    JamiiForums Tanzania Djibril Sulla AIP Didy Yanga

    Ubaya ubwela, wamefanyiwa u P Didy mbaya sana leo, kudadeki
  4. JamiiForums Tanzania Ali Kamwe Ashindwa Kujieleza Baada ya Mechi ya Yanga na Azam 🀣🀣

    Amesikika akishindwa Kumalizia Sentensi na Kuishia Neno Hatu baada ya Kipigo kizito kutoka kwa Azam.. https://x.com/Roma_Mkatoliki/status/1852758396245799166
  5. M

    JamiiForums Tanzania Azam tunawapongeza kwa ushindi, GSM awezi kulaumiwa leo kuwa anaharibu ligi kwa kuwa yanga kapoteza, basi tuishi humo!

    Ni vizuri tukawapa hongera zao Azam fc kwa ushindi wao Leo hii dhidi ya yanga ndio Mpira akuna timu inaweza kumaliza ligi nzima yenye ushindani bila kufungwa ama kuruhusu goli ni ngumu! Lakini pia tunapenda kutoa angalizo kwa wale wote walioujulia Mpira ukubwani kwamba timu yako inapopoteza ama...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Naacha kabisa Siasa

    Baada ya kutafakari kwa kina .nimeamua kuacha kabisa na siasa. 1. Nimesikiliza na nimesoma historia ya siasa ktk vitabu na nimewaikiliza wanahistoria nimegundua madaraka matamu, kumuondoa mtu ktk madaraka mtu ni kazi kubwa sana na unahitaji kujitoa muhanga 2. Nimehundua pia unaweza kuwa chawa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania YANGA wamejiteka au wametekwa?

    Leo kabla ya mechi ya Azam yanga walisema wanaenda kuteka. Baadae wakaja kusema kuuteka uwanja. Sasa leo wametekwa au wamejiteka
  8. JamiiForums Tanzania Tetesi: Unateswa na Mapenzi afu ukigeuka huku Unateswa na YANGA 😭😭😭😭😭😭

    Unateswa na Mapenzi afu ukigeuka huku Unateswa na YANGA 😭😭😭😭😭😭
  9. JamiiForums Tanzania Tetesi: Unateswa na Mapenzi afu ukigeuka huku Unateswa na YANGA 😭😭😭😭😭😭

    Unateswa na Mapenzi afu ukigeuka huku Unateswa na YANGA 😭😭😭😭😭😭
  10. JamiiForums Tanzania Unateswa na Mapenzi afu ukigeuka huku Unateswa na YANGA 😭😭😭😭😭😭

    Unateswa na Mapenzi afu ukigeuka huku Unateswa na YANGA 😭😭😭😭😭😭
  11. JamiiForums Tanzania Yaani bora kidooogo uwaamini Singida Black Stars FC ikicheza na Yanga SC kuliko Wanafiki wa leo Azam FC

    Tegemeeni kumuona Afisa Habari mwana Yanga SC lia lia Hashim Ibwe akizuga Kulia, kulalamikia Mwamuzi na Kuumia kwa Kipigo watakachokipata kutoka kwa Yanga SC leo jioni / usiku huku Moyoni mwake na Rohoni kwake Akifurahia hakuna mfano. Wale wana Simba SC Wenzangu hapa JamiiForums mnaodhani Azam...
  12. JamiiForums Tanzania Yaani bora kidooogo uwaamini Singida Black Stars FC ikicheza na Yanga SC kuliko Wanafiki wa leo Azam FC

    Tegemeeni kumuona Afisa Habari mwana Yanga SC lia lia Hashim Ibwe akizuga Kulia, kulalamikia Mwamuzi na Kuumia kwa Kipigo watakachokipata kutoka kwa Yanga SC leo jioni / usiku huku Moyoni mwake na Rohoni kwake Akifurahia hakuna mfano. Wale wana Simba SC Wenzangu hapa JamiiForums mnaodhani Azam...
  13. JamiiForums Tanzania Nafurahia kufungwa kwa Yanga

    Kusema kweli ninafurahia kufungwa kwa YANGA 🀣
  14. JamiiForums Tanzania Bila Maxi Nzengeli, Yanga haiwezi kushinda kirahisi

    Yanga wana tabia ya kuwasifia wacheza sindimba wao, lakini mchezaji wa maana anayeifanya Yanga iwe inashinda kwa sasa ni Maxi Nzengeli. Hao wacheza sindimba kina Chama, Ki na Pacome wanakuzwa tu na walanguzi wa habari za michezo bongo. Maxi Nzengeli asipocheza, Yanga huwa inapwaya Sana.
  15. JamiiForums Tanzania Udhamini wa GSM kwenye vilabu zaidi ya 5,Je unaweza kuibeba Yanga zaidi au kuleta upangaji wa matokeo?

    Wakuu kwema! Kama tunavyofahamu hapa jukwaani kumekuwa na mijadala tofauti tofauti kuhusu udhamini wa GSM na vilabu zaidi ya 7 kwenye Ligi ya NBC. Ambapo kuna wadau wa soka wanasema hii si nzuri na inawabeba Yanga zaidi kwa kuzingatia GSM ni Yanga na ni Mwanachama wa klabu hiyo. Lakini Pia ni...
  16. JamiiForums Tanzania Gamondi hana furaha na Uwanja wa Azam Chamanzi Complex

    Kocha wa klabu ya Yanga Miguel Gamondi leo katika mkutano na Waandishi wa Habari ametamka wazi kwa mara nyingine kuwa hana furaha na Uwanja wa Azam Chamanzi Complex bali Uwanja pekee anaofurahia ni Benjamini Mkapa. Ikumbukwe kesho ni mchezo kati ya Yanga dhidi ya Azam katika Uwanja wa Chamanzi...
  17. JamiiForums Tanzania Hivi huyu Shabiki Mchome mapovu ni Shabiki kweli wa Simba SC au ni mwana Yanga SC aliyenunuliwa Jezi ya Simba SC ili atudhalilishe?

    Nadhani sasa ifike muda Mashabiki wa Simba SC tuanzishe Mtindo wa Kuwaadabisha hawa Wanafiki kwa Vipigo Oky?
  18. K

    JamiiForums Tanzania Sisi mashabiki wa klabu ya Yanga tumefurahi sana jana usiku

    Hongereni sana wachezaji wa Yanga kwa ushindi wa jana. Kweli sisi mashabiki wa Klabu tulifurahi sana. Ule usemi wa Yanga inapendelewa sasa waseme mengine. Wachezaji walicheza kama timu. Nkane, Kibabage, Job, Pacome, Chama na wengineo walitufurahisha. Msimu huu ndiyo utakuwa msimu wa historia...
  19. JamiiForums Tanzania Ila Yanga SC mnajua sana 'Kutukoga' wana Simba SC na hivi Mnatufunga mnavyotaka kila Derby mbona tutawakomeni

    Kuna Jezi zao kadhaa wamezichapisha zimendikwa UBAYA UBWEGE KIJILI 1:0. Yaani nimejikuta Ninacheka sana tu!!!!!
  20. JamiiForums Tanzania Huyu Dada alikuwa ni kati ya Mashabiki wa kweli wa Yanga. Sasa hivi yuko wapi!?

    Nimeileta hii hapa ili kummpa heshima. She was the best fan. Miaka ile ya kina Ngasa, kabla. Ya filters ktk cm.. 2011..2013.. Mimi binafsi nilimpenda na nikamfolow FB. YUKO WAPI SASA, ANYONE p'se.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…