yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. Yanga ni mwakambwembwe hawawezi kuwa makarobo

    Hizi ni koo mbili tofauti kabisa zenye vipawa visivyolingana kabisa. Ukitaka kuwa maarufu bila ya umaarufu, nenda Yanga ukasifiwe hadi ujione wewe ndiyo wewe. Ukienda Simba utapata mafanikio bila ya makele. Simba ni timu ya watu wasiojisifu. Yanga wana mbwembwe Sana, nakumbuka miaka ya tisini...
  2. M

    Asante sana Ibenge kwa ushindi wa Yanga SC

    Huo ndio undugu sasa. Maana sisi wenyewe tusingeweza Game yetu ya mwisho na waarabu tushindwe wenyewe sasa. Turejesheni calculator za watu Soma Pia: Full Time: AL Hilal 0-1 Young Africans | CAF Champions League | Stade de la Capitale | 12/1/2025
  3. Akiba ya Maneno: Al Hilal na Yanga inaenda kuisha kwa droo

    Wiki hizi mbili zimekuwa chungu sana kwa wana utopolo. Tumewananga kwa vikokotoo na hesabu za vijiti. Leo nitakuwa na akiba ya maneno. Mechi ya Al Hilal vs Yanga inaenda kuisha kwa sare. Kuhusu mechi ya mwisho na MC Algier, hilo ngoja niliweke kama akiba hadi siku husika. Hongereni wana...
  4. Yanga inamchapa Al Hilal kwao, Game itaisha ushindi kwa Yanga

    Ni kicheko tuuuuu.... Kwa raha zangu. Al Hilal wamejichanganya sana.wameingia kwenye mfumo kipigo ni halal yao. Kama ilivyoandikwa Al mil shalluh tunawah aanith watalah sal namil kasas. Kisasa lazima kiwaangukie hawa mbwa. Game imeisha.... Imesha mapema sana. Yaani mpaka raha. Natembea nacheka...
  5. Yanga wakiclick button ya answer kujua matokeo yao na Al hilal calculator unasema Math error. Nini maana yake?

    Wakuu mambo ni magumu sana utopoloni moja haikai. Najua wakifungwa calculator inazima.
  6. Ili Yanga Game ya Mwisho Ashinde Goli 3 Na Mc Alger

    HABARI. Ili yanga afuzu game la mwisho inatakiwa ashinde 3 goals game ya Mwisho na Mc Alger. AL hilal mechi 4 point 10 Mc alger mechi 5 point 8 Yanga mechi 4 point 4 Tp mazembe mechi 5 point 2.
  7. TP Mazembe rasmi waaga mashindano ya Klabu Bingwa CAF, Yanga SC na hesabu za Calculator kufuzu Robo Fainali

    Klabu ya TP Mazembe imeshindwa kufuzu hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF) mwaka huu baada ya kufungwa bao 1-0 na MC Alger katika mchezo uliochezwa usiku wa Januari 10. Timu hiyo ya DR Congo kwa sasa ina alama 2 baada ya mechi 5, na haina nafasi yoyote ya kusonga mbele hata...
  8. Kuna nini kinaendelea sasa Tanzania kiasi kwamba 'Calculators' zinanunuliwa kwa Wingi mno na Mashabiki wa Yanga FC?

    Kuna Mtu nimemtuma kuja Dar es Salaam kunifungia Mzigo wa Calculators ili nizilete hapa Kampala Uganda niziuze kwani zina Soko naambiwa kwa Wiki hii nzima hazipatikani Madukani kote kwa Kununuliwa kwa Fujo (kwa Wingi) na Mashabiki wa Yanga FC. Kwani kuna nini Kinaendelea huko Bongo?
  9. Ibenge hawezi kuiachia Yanga kirahisi rahisi

    Kuna hii dhana ipo vichwani mwa mashabiki wa Yanga kudhani Kocha wa Al Hilal Florent Ibenge anaenda kuilegezea Yanga ili ipate walau sare katika mechi ya Jumapili. Ngoja nikwambie kwa nini hilo ni gumu kutokea. 1. Al Hilal wanataka kumaliza group stage kwa alama nyingi inavyowezekana na bila...
  10. Mzee wa Jambia: Yanga inahitaji maombi zaidi kwasasa

    Ili Yanga iweze kufuzu hatua ya robo fainal basi ndiyo timu inayohitaji maombi zaidi kwasasa. Maneno hayo yamesemwa na Wilson Oruma a.k.a Mzee wa Jambia
  11. Nipigwe 'ban' ya mwezi iwapo Yanga atavuka hatua ya makundi

    Mimi Dabil nikiwa na akili zangu timamu bila kushurutishwa au kushawishiwa na mtu yeyote,Yanga akivuka hatua ya makundi na kuingia robo fainali nipigwe BAN ya mwezi. Ninetafakari sana,haitatokea Yanga kuvuka hili kundi maana hawana uzoefu wa kuingia robo fainali ya club bingwa mwisho wa ni...
  12. CAF wawe makini na Mechi za MC Alger vs TP Mazembe na Al Hilal vs Yanga, Sisemi sana ila waweke mitego yao kuna Timu itanasa

    Habarini wakuu, Mechi kati ya Mc Alger vs Tp Mazembe, Al Hilal vs Yanga Hizi mechi CAF waziangalie kwa jicho la ukaribu zaidi na la kijasusi zaidi wakitega mitego yao kuna Mtu atanaswa na ndo itakuwa mwisho wa Timu husika kwaherini.
  13. Tenzi za Rohoni;Cha Kutumaini Sina, unawafaa Yanga michuano ya CAF

    Aliyetunga wimbo huu ni kama aliwatungia Yanga kwenye michuani ya kimataifa? Wimbo sahihi kwa wakati sahihi
  14. Hii picha nimeona ameposti shabiki wa Yanga

    Angekua amepost shabiki wa Simba ningejua anamaamisha simba anaonea huko madogo maana yeye ni timu kubwa. Ila kwakua ameposti shabiki wa yanga anamaanisha Simba anacheza kombe la watoto (kubwa jinga).
  15. Maajabu ya Simba na Yanga kimataifa msimu huu

    Leo sitawananga ndugu zangu wa uto ila nakuja na mada fikirishi ila siyo serious kihiiivyo kwa hiyo wale ambao tunarushiana maneno kila siku embu leo nipumzisheni. Msimu huu kuna mambo kadhaa yanafanana kati ya Simba na Yanga katika mechi za kimataifa: 1. Simba na Yanga zote zilicheza ugenini...
  16. Karibuni sana simba na yanga na wana michezo wote

    Naomba tujiunge group letu pendwa la watani wa jadi Tanzania wewe ukitaka kujiunga gusa hapa tu : SIMBA VS YANGA utakuwa umeungana na wana michezo wenzako karibu sana mdau wa soka unakaribishwa kutoa hoja kuhusu Soka
  17. M

    Yanga kuingia robo fainali inabidi ashinde game zote mbili na si vinginevyo

    MC Alger akishinda game moja tu halafu Yanga atoke sare na Al Hilal (japo 99% Al Hilal atashinda) basi Yanga itajiunga na wachovu wenzao TP Mazembe kuyaaga Mashindano
  18. Sallam SK: Yanga inajua ku-brand wachezaji wao, awachana managers wa wachezaji

    Sallam SK aka Mendez ambaye ni international manager wa Msanii namba moja Africa yani Diamond Platnumz ametoa pongezi jinsi Yanga inavyofanya vizuri kwenye kuwaongezea thamani kwenye chapa zao wachezaji wake au kwa lugha nyingine branding. Sallam SK ambaye pia ni mdau mkubwa wa soka ambaye...
  19. G

    Safari ya Yanga kuishia kwenye makundi?, Mc Alger na Al Hilal zitasonga mbele Robo fainali?

    Good Bye Yanga !! Mpaka mwakani. Njia pekee ya Yanga kushinda mechi zote zilizobaki 😃😃 Yani amfunge Al Hilal Nyumbani kwao na amfunge Mwarabu kwa Mkapa, Walichobakiza Yanga ni kukamilishe Ratiba
  20. S

    Kama Yanga wanamweka benchi mshambuliaji hatari kabisa Jean Baleke vipi Simba imng'ang'ania Mukwala ambaye hana faida yoyote

    Leo Mukwala alipoingia tu kule Tunisia nilimchukia sana kocha Fahdu, sikuona sababu za kumtoa Ateba ambaye aliwashika sana waarabu.Kwani ni lazima ufanye sub? Hata Mpanzu alipotoka akaingia Mavambo niliona kabisa kocha anatuingiza shimoni. Anyway, Yanga wanakaribia kutemana na Baleke...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…