yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. JamiiForums Tanzania Simba ikiifunga Yanga tarehe 25.06.2025 basi walimwengu tukaongeze Elimu

    🔮 Final Prediction: 🟢 Young Africans Sports Club is favored to win or draw, based on: Match and name numerology (4) Capricorn Moon (structure, defense) Astrological support from Venus and Saturn positions Strong advantage amplified by Sun in Cancer Likely Score (intuitive reading): Young...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kuhusu mechi ya Yanga vs simba

    Mechi hiyo kama itachezwa ,Yanga ataongoza kwa magoli la mapema kabisa,baadaye Yanga watapata penalt ya halali kabisa.mashabiki wa simba wataingia uwanjani na mchezo kuvurugika.
  3. JamiiForums Tanzania Mechi ya Yanga dhidi ya Simba, June 25 kuchezeshwa na Waamuzi kutoka Misri

    Mchezo wa Dabi ya Kariakoo kati ya Yanga SC na Simba SC utachezeshwa na waamuzi kutoka nchini Misri. Mwamuzi wa kati atakuwa Amin Mohamed Amin Omar, msaidizi namba moja ni Mahmoud Ahmed Abo El Regal, huku msaidizi namba mbili akiwa Samir Gamal Saad Mohamed. Dabi ya Kariakoo kati ya Yanga SC...
  4. JamiiForums Tanzania Kwenda VETA ni jau, lakini DEGREES ARE USELESS.

    Degree imekua nyepesi sana kuipata aseee!!! Toka lini kitu kinachopatikana kirahisi kiwe na thamani? Ushauri: Kabla ya kupoteza muda wako kwenda kusoma degree hebu jitafakari kwanza. Game imechenji, chawa wanapata kuliko wenye degree zao(sihamasishi uchawa) Tazama hiyo video hapo chini...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba hawakumwelewa Ahmed Ally alipowaambia kesho ni mechi ya mwisho Simba kucheza nyumbani na Kagera Sugar, alimaanisha hivi

    Washabiki wa soka nchini ni mtihani mkubwa sana, wana uelewa mdogo sana wa mambo, juzi Ahmed Ally amewaambia washabiki wajazane na familia zao kuwaaga wachezaji kwa sababu itakuwa mechi ya mwisho kwao kucheza nyumbani, wengi wametafsiri kauli hii kuwa Simba inamaliza mechi kesho.La hasha...
  6. JamiiForums Tanzania Mnguto na Kasongo hawakujiuzulu kwasababu za Yanga, bali kuitaja serikali mbele ya Ally Kamwe

    Kwa desturi za waafrika, watanzania na Karia, Kila nafasi ni ajira kamili, hivyo hatuna utamaduni wa kujiuzulu hata kama watu waseme nini. Hata Hawa hawakujiuzulu kwasababu wameboronga. Uwezekano nii mkubwa sana kwamba huenda wamejiuzulu kwasababu ya kuitaja serikali kwenye kikao kama chanzo...
  7. JamiiForums Tanzania Obrey Chirwa: Simba wakicheza kama walivyocheza hii leo watafungwa na Yanga

    Mchezaji wa Ken Gold Obrey Chirwa amesema kuwa kama Simba SC watacheza kama ambavyo wamecheza na Ken Gold kwenye mchezo wa Kariakoo Dabi dhidi ya Yanga basi watafungwa lakini wakibadilika watapata sare "Simba kama watacheza hivi kwa Yanga watapoteza ubingwa, Simba kama watacheza hivi kwa Yanga...
  8. JamiiForums Tanzania G. Lema Kweli Unakitu Macho Yetu Hayajakiona. Maombi Yako Kuhusu Yanga na Simba Kuharibu SiasaZetu FIFA Kaja Kulimaliza.

    Ulitamka katika vitu unamuomba Mungu vile ni Simba na Yanga maana (sio kwamba huzipendi) ndizo zinatumiwa na serikali ya CCM kupumbaza watu wasijue haki zao bali warubuniwe. Miongozo na kanuni za mpira duniani pote ni kuuweka mbali kabisa mpira na siasa. Ndio maana tuliona vita kule Angola...
  9. JamiiForums Tanzania Wakati Yanga walidai haki yao wao kama wao direct kwa mamlaka za soka, Simba wao wameenda kulia kwa mwandishi Micky apeleke FiFA

    I salute kinsmen Hakika kwa sasa tulishajua maji na mafuta ni kipi kimejitenga . Tumejua sasa kuwa simba alitakiwa kumaliza nafasi ya 8 ligi kuu msimu huu. Zaidi tumejua kuwa mbeleko ule walioupata msimu huu ulitoka wapi? Na kibaya zaidi tumegundua kuwa utofauti wa akili ni mkubwa sana kati...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Tetesi: FIFA kuifungia Tanzania kufutia saga la mechi ya Simba na Yanga

    Baada ya Mh Rais kuingiila utendaji wa TFF jambo lilopelekea baadhi ya viongozi wa bodi ya ligi kujiuzuru na wengine kufukuzwa sasa tusubiri kifungo kutoka FIFA Si https://www.youtube.com/watch?v=dfKDTNeySwU
  11. JamiiForums Tanzania Baada ya huu upuuzi wa Sisiemu kuingilia mpira wa Tanzania Rasmi nimeamua kuachana na mambo ya mpira wa simba na yanga

    Kwanza nikiri wazi mimi nilikua mpenzi, mwanachama na shabiki wa Simba sports Club.. Ila baada ya kumuona Mangungu ikulu na Kiongozi wa Sisiemu. Na kupewa maagizo na kutoka akiwa anachekelea na mwenzake Dalali.. Mimi kama kijana naamua Rasmi kuanzia tarehe ya leo kufanya bidii katika biashara...
  12. JamiiForums Tanzania Uswahiba baina ya Yanga na CCM unatuathiri mnoo sisi wana Simba

    Juhudi zozote za Simba kutaka kuipiku Yanga huenda zikawa ni mbio za sakafuni kwa sababu tu ya uswahiba uliopo baina Yanga na CCM. Kuna namna mbele ya macho ya watawala wa kiCCM inaonekana ni fedheha kubwa pale ambapo Yanga inapozidiwa kimpira na Simba. Kiburi chote cha Yanga kususia derby ya...
  13. O

    JamiiForums Tanzania Sakata la Yanga na Simba: Njia Mpya ya Kuepuka Mjadala Mkali wa Bajeti ya Taifa?

    Bajeti ya taifa ni nyenzo muhimu inayolenga kuhakikisha serikali inatoa huduma kwa wananchi na kuendeleza taifa. Ni hati ya fedha inayotoa dira ya mapato na matumizi ya taifa. Hata hivyo, bajeti ya mwaka 2025/2026 imeonyesha mazingira ya kipekee ambapo mjadala wa kitaifa juu ya bajeti uligubikwa...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Ikitokea Viongozi wa Pamba Jiji, Namungo, Singida au Mashujaa, GSM ataenda pia kama ilivyo kwa Yanga?

    Salaam Wakuu, Jana katika picha za Rais Samia na viongozi wa Yanga na Simba, Gharib alikuwepo kwa upande wa viongozi wa Yanga, sasa je, siku ikitokea Pamba, Singida, Mashujaa, Namungo na wenyewe wakiitwa huko Ikulu, GSM ataenda kama kiongozi wa hizo Timu? Kama hatoenda, inakuwaje watu...
  15. JamiiForums Tanzania Bodi ya Simba yasema walioenda Ikulu kutatua mgogoro wa derby sio viongozi wa Simba

    Kuna mgogoro mkubwa ndani ya management ya Simba, wengi wamekasirishwa na uwakilishi wa Hasan Dalali na Hasan Hasanoo na watu wengine walioonekana sio viongozi wa Simba. Tukumbuke Yanga waliwakilishwa na viongozi sahihi wa club ya Yanga ikiwa ni pamoja na Arafat Haji ambaye ni Makamu wa Rais wa...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Hadi sasa derby ya Kariakoo tarehe 25, Yanga anaongoza 2-0 nje ya uwanja

    Kisaikolojia mbumbumbu wamepigwa knock out ya kushtukiza ambayo imewaacha wakiwa Awana la kufanya! Viongozi wao ni juzi tu wametoa kipeperushi cha kutokucheza mechi endapo itaghairishwa ya trh 15,,lakini kabla jogoo ajawika bodi ikatangaza kughairisha mechi na kupeleka trh 25! Sasa viongozi wao...
  17. JamiiForums Tanzania Misimamo ya Yanga ilisaidia kwa kiasi kikubwa uhuru wa Tanganyika

    Mizizi ya klabu ya Yanga inaweza kufuatiliwa tangu miaka ya 1910, lakini historia iliyotambulika rasmi ya klabu hiyo ilianza mwaka 1935 wakati wakazi wa  Dar es salaam , ambao waliwekwa katika kundi la Waafrika na utawala wa kikoloni wa Tanganyika  , waliamua kuunda klabu ya soka ili kushiriki...
  18. JamiiForums Tanzania Mchezo namba 184 wa 25 june 2025 huwezi kuwa mchezo wa kumpa Simba wala Yanga ubingwa

    Naiona Simba ikipoteza mchezo mmoja,. Na kumfanya kuwa nyuma kwa alama 4 mbele ya Yanga. Hivyo mimi kama UwesuTanzania naiona Deby ya Kariakoo Simba ikicheza kwa kukamilisha tu ratiba, pia nikiendelea kumulika hapa naona kuna asilimia kubwa za Simba Kuto kwenda uwanjani siku ya mchezo...
  19. JamiiForums Tanzania Mliandika barua hamtashiriki mchezo wowote tofauti na june 15 haya tuone kama june 25 hamtaleta timu.Msimamo upo Yanga pekee

  20. JamiiForums Tanzania Karim Boimanda: Bodi ya ligi tunaendelea na maandalizi ya Dabi ya Kariakoo

    "Bodi ya Ligi Kuu Tanzania tunaendelea na maandalizi ya mchezo wa Dabi ya Kariakoo, na ni matumaini yetu kuwa wadau wengine, zikiwemo hizo timu mbili za Yanga na Simba, wanaendelea na maandalizi kuelekea huo mchezo. Ni mchezo mkubwa, mchezo ambao ni kioo cha ligi yetu." - Karim Boimanda, Afisa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…