yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. JamiiForums Tanzania Baada ya Eng. Hersi Kuchukua Form ya Ubunge - Wito kwa wana Yanga : NRNE

    Wakuu JF wana Yanga na wa Tanzania wote kwa Ujumla wenye Mapenzi mema na nchi yetu Amani ya Mungu wetu ikae nanyi Daima. Niweke wazi in advance kuwa mimi ni Mtanzania, shabiki wa Yanga na ni mwana CHADEMA, pia ni mmoja ya wa Tanzania tunao wish CCM ife hata hii leo Nimewiwa kuja na uzi huu...
  2. JamiiForums Tanzania Niliposema hapa hapa JamiiForums kuwa Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said anajipendekeza Serikalini na CCM kwa Ajili ya Ubunge Kigamboni mkanibeza

    Rais wa Klabu ya Yanga Injinia Hersi Said leo Juni 28, 2025 amechukua rasmi fomu ya kuwani Ubunge katika Jimbo la Kigamboni lilipo Jijini Dar es Salaam kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM). Hersi amekua miongoni mwa watu mashuhuri wanaokubalika katika jamii kutokana na uongozi wake...
  3. JamiiForums Tanzania Nimeipongeza Yanga SC kutufunga Simba SC na kwa mara ya 5 Mfululizo, ila nasikitika kuona huu Ukweli wa Kitakwimu umefichwa ili Kuikandamiza Simba SC

    Bado GENTAMYCINE naendelea Kuipongeza Yanga SC kwa Kutufunga hivi juzi (na kwa mara ya Tano mfululizo) na Kutwaa Ubingwa wa NBC Premier League ila kwa KUJIAMINI kabisa ninapingana na Watu ambao kwa AGENDA zao au kwa ama KUTOKUJUA wamekuwa wakisema kuwa Yanga SC imeweka Rekodi ya Kuifunga Simba...
  4. JamiiForums Tanzania Tetesi: Aziz ki kurudi yanga kama wydad wasipo lipa 10/07/2025

    Aziz Ki bado ana nafasi ya kurejea Yanga Aziz Ki alijiunga na Wydad kwa mkopo mfupi wenye kipengele cha kununuliwa mazima kabla ya tarehe 10/07/2025. Makubaliano ya Yanga na Wydad ni kulipwa pesa ya usajili wa Aziz (signing fee) ya Tsh 1.7b kabla ya tarehe 10/07/2025 lah sivyo Aziz atarejea...
  5. JamiiForums Tanzania Yanga hawakustahili kuchukua ubingwa

    Yanga hawakustahili kuchukua ubingwa msimu ila udhaifu wa Simba,Singida Black Stars ndio umesababisha Yanga kuchukua ubingwa,walippteza michezo miwili mfululizo na ile ilipaswa kuwa faida kwa hizi timu mbili kuchukua taji lakini kutokuwa na mpango mzuri kukasababisha Yanga kurudi na kukaa juu yao
  6. JamiiForums Tanzania Yanga tunaomba Wasabato mashabiki wachinjiwe ng'ombe, ngamia ni haramu kwa Wasabato.

    Yanga Ili kuwa na timu jumuishi ya mashabiki wote ni vyema mahitaji ya makundi yote ya washabiki ikiwemo Wasabato kuzingatiwa katika kipindi hichi cha kusherehekea ubingwa. Kutoa supu ya ngamia tu kunawanyima fursa mashabiki wasabato wasiokula ngamia kwani ni haramu kwao, ni vyema wao...
  7. JamiiForums Tanzania Yanga wanatoa supu kwa upendeleo~alex ngeleza

    Mchambuzi Alex Ngereza asema Yanga wanatoa Supu kwa upendeleo, kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika ✍️ "Yanga wanatoa supu kwa upendeleo,haiwezekani kila mwaka zinatolewa kwa watu wa dar peke yao,wanatakiwa kupewa pia watu wa mikoani kwa kwenda kufanya huko ili kuonyesha ushirikiano kwa...
  8. JamiiForums Tanzania ZakaZakazi: Hakuna Timu iliyofungwa matches tano mfululizo na Yanga kama Simba

    Alichokiandika Meneja Habari Wa Azam ZakazaKazi Baada Ya Yanga Kuishinda Simba… SASA NI TANO KWA TANO Agosti 9, 2023 Azam FC ilifungwa 2-0 na Yanga kwenye Ngao ya Jamii jijini Tanga, Shabiki mmoja wa Simba aliyefahamika kama Kisugu, alitokwa povu jingi sana na kuonesha dharau kubwa kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Yanga wamempa likizo ya lazima Ahmed Ally semaji la CAF

    Semaji la CAF mbona umetelekeza timu yako sio kawaida yako kukaa kimya hivi au ndo umesusa Semaji la CAF mara ya mwisho tulikubaliana na ulisisitiza simba haitaenda uwanjani kama tarehe 15 itabadilishwa Unachofanya semaji kwa kukaa kimya sio vizuri tumemis comedy zako
  10. JamiiForums Tanzania Yanga kupeleka kombe la ubingwa NBC PL ikulu, ni kutukera mashabiki

    Afisa habari wa Yanga amesema wana ratiba ya kupeleka ubingwa NBC PL, ili kama pongezi Kwa Rais Samia Binafsi nimekereka na mambo ya uswahili yanayofanywa na club yangu Kama viongozi wa Yanga wanataka kufanya uchawa wafanye wenyewe binafsi ila wasitumie nembo ya Yanga kufanyia uchawa Huu ni...
  11. JamiiForums Tanzania Hongereni sana Yanga SC wote kwa Kutufunga ki Haki, ki Mpira na ki Mafunzo ya Mpira wa Kisasa (wa Kiufundi) jana kwa Mkapa

    Wana Simba SC tutazunguka kila Kona, tutasema kila Maneno, tutatafuta Mchawi / Wachawi kila pembe ya dunia, Tutalaumiana mno, tutachukiana sana wenyewe kwa wenyewe ila Leo hii namaliza rasmi Utata kuwa Simba SC hatuwawezi Yanga SC na tusipojitathimini Kimkakati upo uwezekano mkubwa tukaendelea...
  12. JamiiForums Tanzania Yanga bingwa tena, hoja ya GSM kadhamini timu nyingi imezimwa na wamisri.

    Mungu kajalia mechi ya Simba na Yanga ndiyo iliyoamua ubingwa. Mungu amejalia pia timu inayodhaminiwa na GSM imeifunga timu ambayo imekataa kudhaminiwa na GSM kwenye mechi ya maamuzi nani awe bingwa wa ligi. Mungu huyu wa ajabu amezidi kuonyesha maajabu yake kwa mechi ya Simba na Yanga...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Mambo 10 Niliyoyaona Simba Ikidhalilishwa kwa Mara ya Tano Mfululizo na Yanga

    1. Kuna utofauti mkubwa sana baina ya Yanga vs Simba upande wa menejimenti, Yanga waliona wampe timu GSM awape furaha, GSM ndio anasajili wachezaji na kila jambo wanalisimamia wao, Simba kule Mo Dewji anaongoza, Mangungu anaongoza, kale kadada CEO kanaongoza kwa remote kutoka kwa friends of...
  14. JamiiForums Tanzania Derby ya Simba na Yanga ife rasmi, iwe Yanga na Azam

    Hongereni watani, hatuna kisingizio chochote mmetufunga kihalali. Michezo 5 mfululizo Simba tunanyukwa,ni tofauti kwa Azam na Yanga, Simba hawana ubabe tena mbele ya Yanga tuwaweke kando kwenye derby iwe Azam na Yanga Derby huwa mmoja hata awe dhaifu anakaza ila siyo kufungwa mara 5...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Yanga anakufa

    Mchana huu napokea taarifa kutoka Pangani naambiwa Yanga atakufa kifo kibaya sana Pia napewa taarifa wazee wa utopolo walishindwa kuchomoa mitego yote Wamepangua mitatu imebaki miwili Asanteni kwa kuniskiliza
  16. JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa Kibashiri: Simba vs Yanga – 25 Juni 2025

    Uchambuzi wa Kibashiri: Simba vs Yanga – 25 Juni 2025 Matokeo ya Mechi (Full Time Result / 1X2) Pendekezo bora: X (Draw) au X1 (Yanga au sare) Sababu: Yanga wanahitaji sare tu kuwa mabingwa, watajilinda sana. Simba wanahitaji ushindi, lakini Yanga wana rekodi nzuri dhidi yao. Double...
  17. JamiiForums Tanzania Simba ikimfunga Yanga leo nipigwe Ban ya Mwezi Mzima

    Hizi teams zina mambo ya kipuuzi sana lakini nashukuru YANGA MATAKWA YETU YOTE YALITIMIZWA ILI LEO TUIFUNGE SIMBA KWA UHAKIKA KABISA... SIMBA HAWAWEZI ISHINDA YANGA HII AMBAYO INAPIGA MTU BAO 3,4,5,6 bila huruma kabisa.
  18. JamiiForums Tanzania Leo Ndio 25.06.2025 Leo Ndio ile Siku Simba SC anaenda Kukichapa na Yanga. Je! Watacheza?

    Ya Ngoswe tumwachie Ngoswe. Leo ndio siku ile iliyokua inasuburiwa kwa hamu na Wadau na Mashabiki wa timu hizi mbili, hapa naizungumzia Dabi ndio ni Dabi ya Kariakoo, huku Simba SC kule Yanga SC nani atamtwanga mwenzie siku ya leo? Je! Ni kweli leo Simba SC hawataingiza timu yao uwanjani yaani...
  19. JamiiForums Tanzania Simba vs Yanga kutamatika kwa sare

    Kesho utapigwa mtanange mzito wa Derby ambapo Yanga wanaikaribisha Simba. Katika michezo mitatu Simba ameangukia pua Dhidi ya Yanga. Huku katika misimu 9 iliyopita yanga akishinda mara 6 sare mara 5 na simba akishinda mara 3. Utabiri wangu kuelekea mchezo nimchezo usiotarajiwa na magoli mengi...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Tafsiri ya kiroho mechi ya Yanga na Simba. Yanga atashinda

    hebu tuangalie utabiri wa mechi ya YANGA SC dhidi ya SIMBA SC tarehe 25 Juni 2025 saa 10 jioni, kwa kutumia numerology – sayansi ya kiroho ya namba, ambayo huangalia msingi wa namba ya tarehe, majina ya timu, na muda wa tukio 1. Jumla ya Tarehe: 25 Juni 2025 Tutazijumlisha tarakimu zote za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…